ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Sasa ni nani huyo zaidi ya uchoko.wp ulisikia mwanaume mzuri......Hapo utasikia ni choko
uzuri upo kwenye walet
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ni nani huyo zaidi ya uchoko.wp ulisikia mwanaume mzuri......Hapo utasikia ni choko
Handsome kwangu lazima awe black, tall na ka body flani amazing. wuuhuuuuu.
Sio mwanaume anakuwa portable jamani.
Mwanaume unakuwa portable ubebwe na nani aisee.
Kwa kuwa wewe ulizimia?Uko kwenye izo picha zake na ukikutana nae live unaweza ukazimia kwa uzuri wake
Wamezeeka hao kila generation ina watu wakeKwa kuwa wewe ulizimia?
Mi nawajua wanaume watanzania zaidi ya 5, wale anapaswa kuitwa most handsome men.
Sasa hao ninaowajua mimi.
Wapo aiseeeh.
Huyo ni handsome yes, but not kuliko wanaume wote duniani.
Kenneth Edmonds unamuweka wapi?
Enrique Iglesias?
Umeolewa?Haunisaidii kitu huo uhb kwa mwanaume sicho nachoangalia
Uyo levy ameshajizeekea wee mwanaume ana miaka zaidi ya 40 ananzaje kua handsomeJamani mwenye picha ya William levy aiweke hapa tuone nani zaidi.
Anyway, kwangu mwanaume handsome ni mrefu na pesa na kunijali hayo mengine ta kwenu.
NdioUmeolewa?
Ahaa mzee ndo mtamu banaUyo levy ameshajizeekea wee mwanaume ana miaka zaidi ya 40 ananzaje kua handsome
Labda nikusalimie tu ila Niko na tunguja langu (pacha wako) nainjoi😅😅Mkuu fanya kunidm kabisa asee nitoe gundu. Naona utaufanya mchana wangu kua poa tunguja mimi... Karibu dm
Tunarudi kule kule uzur wa mtu uko machoni pa muangaliajiUyo levy ameshajizeekea wee mwanaume ana miaka zaidi ya 40 ananzaje kua handsome
Hiyo ndio tofauti yako na wadada wa mjini ni choice na ndio maana wadada wengi hawaolewi ili uwe na future nzuri ya maisha yako kuna mambo ya msingi yakuangalia kwa mwanaume au kwa mwanamke zaidi kuliko sura,uhandsome au six pack au shape kwasababu ukiwa na mwanamke au mwanaume mwenye hivi utafika kipindi utamuona wakawaida na hamu nae kuisha ila ukimpenda mwanaume au mwanamke kwa kutazama zaidi tabia yake, uvumilivu, upendo, usmart wake kichwani namingine mengi kama hayo Unaweza ukadumu nae na usimchoke.Hongera dada yangu kwa kuwa smart kichwaniNdio
Pohamba niache kidogo.Na Weee ukoje? Chura na kiuno kama mtungi na shingo yake, au ndio'… usimuone hivi huyu Demu ana pesa balaa …'
Shukrani,Hiyo ndio tofauti yako na wadada wa mjini ni choice na ndio maana wadada wengi hawaolewi ili uwe na future nzuri ya maisha yako kuna mambo ya msingi yakuangalia kwa mwanaume au kwa mwanamke zaidi kuliko sura,uhandsome au six pack au shape kwasababu ukiwa na mwanamke au mwanaume mwenye hivi utafika kipindi utamuona wakawaida na hamu nae kuisha ila ukimpenda mwanaume au mwanamke kwa kutazama zaidi tabia yake, uvumilivu, upendo, usmart wake kichwani namingine mengi kama hayo Unaweza ukadumu nae na usimchoke.Hongera dada yangu kwa kuwa smart kichwani