Rege Jean Paige: Mwanaume handsome duniani

Na Weee ukoje? Chura na kiuno kama mtungi na shingo yake, au ndio'… usimuone hivi huyu Demu ana pesa balaa …'
Handsome kwangu lazima awe black, tall na ka body flani amazing. wuuhuuuuu.

Sio mwanaume anakuwa portable jamani.

Mwanaume unakuwa portable ubebwe na nani aisee.
 
Uko kwenye izo picha zake na ukikutana nae live unaweza ukazimia kwa uzuri wake
Kwa kuwa wewe ulizimia?

Mi nawajua wanaume watanzania zaidi ya 5, wale anapaswa kuitwa most handsome men.
Sasa hao ninaowajua mimi.

Wapo aiseeeh.
Huyo ni handsome yes, but not kuliko wanaume wote duniani.

Kenneth Edmonds unamuweka wapi?
Enrique Iglesias?
 
Wamezeeka hao kila generation ina watu wake
 
Mkuu fanya kunidm kabisa asee nitoe gundu. Naona utaufanya mchana wangu kua poa tunguja mimi... Karibu dm
Labda nikusalimie tu ila Niko na tunguja langu (pacha wako) nainjoi😅😅
 
Hiyo ndio tofauti yako na wadada wa mjini ni choice na ndio maana wadada wengi hawaolewi ili uwe na future nzuri ya maisha yako kuna mambo ya msingi yakuangalia kwa mwanaume au kwa mwanamke zaidi kuliko sura,uhandsome au six pack au shape kwasababu ukiwa na mwanamke au mwanaume mwenye hivi utafika kipindi utamuona wakawaida na hamu nae kuisha ila ukimpenda mwanaume au mwanamke kwa kutazama zaidi tabia yake, uvumilivu, upendo, usmart wake kichwani namingine mengi kama hayo Unaweza ukadumu nae na usimchoke.Hongera dada yangu kwa kuwa smart kichwani
 
Shukrani,
 
Back
Top Bottom