Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
- Thread starter
-
- #101
Sasa wewe ni mjinga , Takwimu hizi ni za PPP na Takwimu nilizoleta ni za chapisho rasmi kutoka NBS sio kipeperushi kama hiki hapa,na zime base kwenye per capita at Current Market Prices by 2019Danganya ndina!View attachment 1774060
Swala sio watawala ni tu watanzania wengi vichwa vibovu kikiwemo chakoTofautisha kuwa na rasilimali na kuwa na utajiri. Rasilimali zinaweza kukuletea utajiri if and only if zinatumika katika namna inayoleta tija kiuchumi.
Mfano mzuri ni Tanzania yetu ambayo ni miongoni mwa nchi zilizobarikiwa utajiri wa rasilimali lakini kwa kuwa 'maboga' yanatawala, nchi imebaki kuwa ombaomba huku wananchi wake wakiishi under extreme poverty for years.
Dah!! We kiumbe unahitaji maombi aisee, sio kwa reasoning hiyo uliyo nayo.Uongo mbona bakheresa ni bilionea namba Moja Afrika Mashariki kwa kuuza juice na vyakula
Pale Chadema iliposhamiri pana maendeleo. CCM ni laana inapokita mizizi ni umaskini mtupu.Habari zenu wadau!
Mwaka 2020 tulitangaziwa Tanzania kusajiliwa kuwa miongoni mwa nchi ambazo wananchi wake wamefikia kiwango cha Uchumi wa Kati wa chini yaani Lower Middle Income Country.
Hesabu hiyo huwa inazingatia GNI per Capita Income ambayo ina range Kati ya $1'036-$4,045 ,,ambapo kwa Tanzania hapa ni mikoa michache Sana ambayo wananchi wake ndio wako Uchumi wa Kati,yaani wenye kipato kuanzia milioni 3 kwenda juu.
Ifuatayo ni orodha ya mikoa 7 ambayo wananchi wake Wana mapato yaliyofikia hicho kigezo cha Uchumi wa Kati, pato la kila mwananchi kwenye mkoa husika limeanishwa.
Regional Per Capita GDP at Current Market Prices,Tanzania Mainland, financial year 2019.Figures in Million TZS
1. Dar es Salaam (4,529,876)
2. Iringa (3,868,283)
3. Mbeya (3,675,999)
4. Kilimanjaro (3,302,915)
5. Ruvuma (3,288,252)
6. Arusha (3,198,260)
7. Njombe (3,073,361)
Sambamba na hiyo kuna Mikoa 5 iliyopo mkiani ambayo hali ya vipato kwa wananchi wake ni mbaya sana,mikoa hiyo ni;
1. Shinyanga (1,857,610)
2. Tabora (1,740,554)
3. Dodoma (1,677,901)
4. Singida (1,578,040)
5. Kagera (1,143,992)
MY TAKE;
Hongera Sana wachapa Kazi wa Nyanda za Juu Kusini.
ANGALIZO,
Kwa kweli hali za sisi wananchi ni mbaya, Serikali ijitahidi kuwekeza kwenye uchumi wa watu la sivyo tunakoelekea hali itazidi kuwa mbaya maana na kasi ya kuzaliana ni kubwa mno. Ikumbukwe Tanzania ni kati ya nchi 5 zenye idadi kubwa ya watu na pia zenye idadi kubwa ya maskini barani Afrika.
SOURCE-TANZANIA IN FIGURES 2019.(pg 50-53)
CREDITS-National Bureau of statistics,Ministry of Finance and planning, 2020.
View attachment 1773908
Angalia hiyo distribution ya umaskini na mtawanyo wa ccm vs chadema. Utajua mikoa iliyokumbatia CCM ni mafukaraSwala sio watawala ni tu watanzania wengi vichwa vibovu kikiwemo chako
Japan haina raslimali yeyote na ni tajiri hasa sababu private sekta watu wana akili sana
Fikiria familia moja ya TOYOTA inajaza magari Tanzania nzima kila uendapo unakutana na TOYOTA
Wewe na familia yako cha maana mlichogundua na kuzalisha ni nini?
Uko sahihi, hawa watu wanapambana kwenye kufanya kazi ni hatari. Kuna kipindi niliona Mbeya inasumbuliwa na malnutrition sana nikashangaa mno kwa kuzingatia hali ya uzalishaji wa chakula, ikabidi nimuulize Sister angu ni Doctor hapo.Kila sehemu kuna ardhi mkuu ila wako aggressive kutafuta pesa na ni hard working kweli kweli si wamama si wanaume
Umenifilisi kwa hoja nzito! Hakika uwezo na utashi wa viongozi inabidi pia uangaliwe kwani wao ndio wasimamizi wakuu wa maendeleo kwenye maeneo husika. Ila mahali kama Dar tayari pamejiimarisha muda mrefu.Ndio utajua kwamba kitu muhimu cha kuleta maendeleo sio tuu rasilimali bali aggressive manpower
Kuwa makini
Kataja mikoa Saba
Wewe umejuaje km kagera haipo top ten?
ELImuKila sehemu kuna ardhi mkuu ila wako aggressive kutafuta pesa na ni hard working kweli kweli si wamama si wanaume
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah!! We kiumbe unahitaji maombi aisee, sio kwa reasoning hiyo uliyo nayo.
Kwani huyo Bakhresa utajiri wake kaupatia Mwanza pekee? Fine, Bakhresa ni tajiri kwa kuuza juice na vyakula, kwa hiyo na kila anayenunua juice na chakula naye anatajirika kama Bakhresa?! Kati ya mnunuzi na muuzaji ni nani anatengeneza 'utajiri' in the process?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kagera ipo kwneye low five za mwisho.
True mkuu ifike mahala watu tuthubutu kwa ujuzi,maarifa na ubunifu.Swala sio watawala ni tu watanzania wengi vichwa vibovu kikiwemo chako
Japan haina raslimali yeyote na ni tajiri hasa sababu private sekta watu wana akili sana
Fikiria familia moja ya TOYOTA inajaza magari Tanzania nzima kila uendapo unakutana na TOYOTA
Wewe na familia yako cha maana mlichogundua na kuzalisha ni nini?
Mikoa yote iliyokuwa inamwendekeza Mwendazake, imethibittisha kabisa kuwa alikuwa mtetezi wao...Peleka malalamiko yako NBS sio kwangu,hiyo mikoa yenu inaongoza kwa maskini sababu ya kuzaliana hovyo.Next week nitakuletea takwimu za birth rate utaona
Mkuu katika kutathmini uchumi wa mtu/taifa wanahusisha hadi vitu vingine ambavyo ukivitazama kwa kawaida haviongezi welfare za watu kimaisha.Kwahiyo wewe binafsi unaamini tupo uchumi wa kati??
sikubaliani na utafiti huo. mikoa uliyoiacha mfano Geita na Shinyanga na Mwanza, kuna mzunguko mkubwa wa pesa which means watu wengi wana pesa mifukono kuliko huko nyanda za juu kusini. wafanyabiashara watakubaliana na mimi. mkoa kama iringa ambako mzunguko n i mdogo sana kuna watu hawana hela mifukoni balaa, sasa sijui uchumi wenu wa kwenye vitabu huo kama unalingana na uhalisia.Habari zenu wadau!
Mwaka 2020 tulitangaziwa Tanzania kusajiliwa kuwa miongoni mwa nchi ambazo wananchi wake wamefikia kiwango cha Uchumi wa Kati wa chini yaani Lower Middle Income Country.
Hesabu hiyo huwa inazingatia GNI per Capita Income ambayo ina range Kati ya $1'036-$4,045 ,,ambapo kwa Tanzania hapa ni mikoa michache Sana ambayo wananchi wake ndio wako Uchumi wa Kati,yaani wenye kipato kuanzia milioni 3 kwenda juu.
Ifuatayo ni orodha ya mikoa 7 ambayo wananchi wake Wana mapato yaliyofikia hicho kigezo cha Uchumi wa Kati, pato la kila mwananchi kwenye mkoa husika limeanishwa.
Regional Per Capita GDP at Current Market Prices,Tanzania Mainland, financial year 2019.Figures in Million TZS
1. Dar es Salaam (4,529,876)
2. Iringa (3,868,283)
3. Mbeya (3,675,999)
4. Kilimanjaro (3,302,915)
5. Ruvuma (3,288,252)
6. Arusha (3,198,260)
7. Njombe (3,073,361)
Sambamba na hiyo kuna Mikoa 5 iliyopo mkiani ambayo hali ya vipato kwa wananchi wake ni mbaya sana,mikoa hiyo ni;
1. Shinyanga (1,857,610)
2. Tabora (1,740,554)
3. Dodoma (1,677,901)
4. Singida (1,578,040)
5. Kagera (1,143,992)
MY TAKE;
Hongera Sana wachapa Kazi wa Nyanda za Juu Kusini.
ANGALIZO,
Kwa kweli hali za sisi wananchi ni mbaya, Serikali ijitahidi kuwekeza kwenye uchumi wa watu la sivyo tunakoelekea hali itazidi kuwa mbaya maana na kasi ya kuzaliana ni kubwa mno. Ikumbukwe Tanzania ni kati ya nchi 5 zenye idadi kubwa ya watu na pia zenye idadi kubwa ya maskini barani Afrika.
SOURCE-TANZANIA IN FIGURES 2019.(pg 50-53)
CREDITS-National Bureau of statistics,Ministry of Finance and planning, 2020.
View attachment 1773908
Ni sahihi but taarifa ya hali ya uchumi au house hold survey huwa inaleta picha nzuri zaidi maana kunakuwa na bidhaa na huduma ambazo zimeainishwa kama za lazima ndizo zitaangaliwa na kuleta hitimishoMkuu katika kutathmini uchumi wa mtu/taifa wanahusisha hadi vitu vingine ambavyo ukivitazama kwa kawaida haviongezi welfare za watu kimaisha.
Mfano mataifa mengi ya ulaya yanahitaji vifaa kama heating systems na kwa raia wengi wa nchi husika. Sasa ukianza kurecord assets na heater zitahusika ila kiuhalisia haziongezi tija kwenye maisha halisi ila zinaboost figure za kiuchumi.
Nnacho taka kusema ni kuwa, ukijumlisha thamani ya miradi inayoendelea nchini (SGR, Stiegler's Gorge, Ndege nk) lazima figure za kiuchumi kwa taifa zipae. Kwamba miradi hii inaongeza tija kwenye maisha ya raia ama lah, hilo ni jambo jingine kabisa.
Ni kama tu ambavyo Ethiopia inasifika kwa ukuaji wa kiuchumi ila raia wake daily wanakamatwa mataifa mbalimbali wakikimbia hali ngumu ya maisha kwao.
Vitu vingine tembea ujifunze sio umekaa ndani kama utumbo huku umekumbatia smartphone yako kubisha. Mikoa ya nyanda za juu kusini ina hali nzuri sana za maisha.Mikoa ya kusni mbona hawana madini na grits na mwanza kuna mzunguko wa pesa kuliko mikoa ya kusni. Source of your information please, short of that unaweza kuwa umejiandikia tu kadri ya mapenzi ya nafasi yakp. Hivi mahindi ya Njombe na ruvuma yanayouzwa gunis 18,000/- kea gunis ndiyo yafanye hiyo mikoa iwe juu? . Tujengebtabia ya kuhoji chanzo cha taaria , tusiwe tunalishsa fake news. Kazi iendelee!
Kwetu huko, tupo juu juu.Nyanda za juu kuna fursa kibao.
Kumbuka hii kitu inahusisha GDP against population sasa hili la mzunguko wa pesa halina mashika hapa.Inawezekana watu wa mijini wakawa na pesa kuliko wengi wa vijijini.sikubaliani na utafiti huo. mikoa uliyoiacha mfano Geita na Shinyanga na Mwanza, kuna mzunguko mkubwa wa pesa which means watu wengi wana pesa mifukono kuliko huko nyanda za juu kusini. wafanyabiashara watakubaliana na mimi. mkoa kama iringa ambako mzunguko n i mdogo sana kuna watu hawana hela mifukoni balaa, sasa sijui uchumi wenu wa kwenye vitabu huo kama unalingana na uhalisia.