View attachment 1912353
Uzi una mazombi kama yote [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwenye biashara ya jezi we ni mweupe mno.Yanga wanapata 1300/ shillings tu..kati ya kila mauzo ya jezi moja.
Aibu nimeona Mimi
Hivi kumbe upo serious kwamba zimeuzwa jezi milioni moja? Maana mwanzoni nilidhani 'ni kusherehesha tu'!1,300 x 1,000,000= na sh ngap?
Hivi kumbe upo serious kwamba zimeuzwa jezi milioni moja? Maana mwanzoni nilidhani 'ni kusherehesha tu'!
Mkuu unaonekana suala la hesabu lilikuwa mtihani mzito kwako ukiwa shuleni.Kwenye biashara ya jezi we ni mweupe mno.
mbona huongelei 2B anazozitoa GSM kwa mkataba wa jezi kwa msimu huu?
1,300 x 1,000,000= na sh ngap?
Niletee hii jezi nitakupa Tshs. 2,500,000
Boss Mo ametuambia Duniani sisi Simba tuna mashabiki zaidi ya milioni 800, kwa kifupi jezi zetu mpaka saa tumeshauza zaidi ya milioni 100(100,000 000).Sisi Simba zetu uwa tunauza 25,000 na club inapata 10,000 kwa kila jezi
So bora hiyo 1300 kuliko kukosa kabisa kama mikia wanavyo ambulia patupu kwenye makolokoloZiuzwe tu...
Jezi 35000 yanga inapata 1300 kwa kila tshirt
Ofisi ya CAG ebu fanyeni ukaguzi wa mahesabu kwenye klabu yangu pendwa ya SimbaBoss Mo ametuambia Duniani sisi Simba tuna mashabiki zaidi ya milioni 800, kwa kifupi jezi zetu mpaka saa tumeshauza zaidi ya milioni 100(100,000 000).
Klabu yetu ya Simba imeshajipatia TZS . 1,000,000,000,000!
Wewe Kolokolo mbona upo high hivyo?Yani haya Manyani ya Utopolo kuyadanganya huhitaji nguvu nyingi na ndiyomana hakuna hata Linyani limoja lililohoji chanzo cha taarifa ya Mtoa Post.
Eti Jezi 1M × 35K = 35B pumbavu zenu.
Mupate 35B kwa jezi Dunia ingekalika kweli!!!!
Yani Jezi mulizouza hazizidi 1000 na ndiyomana wengi wanaishia kuziona Jezi zilizojaa Vibwengo kwenye Mitandao tu na sio Mitaani.
1,300,000,000Mara mil 1 ni sh ngapi?
Wewe unabisha nn? Wivu umekujaaa unajifanya mshabiki wa Yanga ili kuhaminisha mawazo yako finyu wewe ni Kanjubari FCMi yanga lia Lia ....lakin kuamin tumeuza jezi milioni moja sio kweli ...pic miliona moja sio mchezo!! Ukizingatia sis tunategemea local market pekee ..... just imagine Liverpool timu ambayo inauza worldwide jezi zake msimu wa mwaka Jana ndo waliongoza kuuza jezi kwa ngazi ya vilabu ulimwenguni ndo waliuza pic milioni 1...Sasa sis wananchi ndani ya siku mbili tuuze nakala milioni!?...sio kweli ...ingkuwa hivyo makampumi makubwa like Nike na Adidas wangkuwa wanapishana korido za jangwani pale kugombea tender ya kutengneza jezi zetu
Wivuuuu , tunataka Taarifa ya mapato na matumizi ya Club ya Simba.Taasisi gani Haina Taarifa za fedha,kaeni chonjo mtafakari ndiyo maana mashabiki wa Simba mnaitwa Mambumbumbu hamtafakari wala kuhoji yanayoendelea kwenye Club yenu nyie kila kitu anafanya Muhindi na familia yake.Njaa yenu na umasikini wenu umepitiliza mpaka umewahondoa ufahamu mnaburuzwa kama mkokoteni.Mashabiki wa Makolokolo FC ,Mbumbumbu FC,Kanjubari FC, Mjitafakari sanaUzuri jezi ya yanga inauzwa 35000 Club ya yanga inajipatia buku mia tatu kila jezi(1300).
Kwa hiyo katika Tsh bil.35, yanga anapata Tsh. 1.3 Bil. Zinazobaki Tsh bil. 33.7 ni za GSM ( Baada ya kutoa gharama)Ziuzwe tu...
Jezi 35000 yanga inapata 1300 kwa kila tshirt
Sa mbona unantemea mate si uongee taratibuWivuuuu , tunataka Taarifa ya mapato na matumizi ya Club ya Simba.Taasisi gani Haina Taarifa za fedha,kaeni chonjo mtafakari ndiyo maana mashabiki wa Simba mnaitwa Mambumbumbu hamtafakari wala kuhoji yanayoendelea kwenye Club yenu nyie kila kitu anafanya Muhindi na familia yake.Njaa yenu na umasikini wenu umepitiliza mpaka umewahondoa ufahamu mnaburuzwa kama mkokoteni.Mashabiki wa Makolokolo FC ,Mbumbumbu FC,Kanjubari FC, Mjitafakari sana