REKODI: Jezi mpya za Yanga zaidi ya Milioni 1 zanunuliwa ndani ya masaa 6 tangu zilipozinduliwa

REKODI: Jezi mpya za Yanga zaidi ya Milioni 1 zanunuliwa ndani ya masaa 6 tangu zilipozinduliwa

Yanga wanapata 1300/ shillings tu..kati ya kila mauzo ya jezi moja.

Aibu nimeona Mimi
Kwenye biashara ya jezi we ni mweupe mno.
mbona huongelei 2B anazozitoa GSM kwa mkataba wa jezi kwa msimu huu?

1,300 x 1,000,000= na sh ngap?
 
Hivi kumbe upo serious kwamba zimeuzwa jezi milioni moja? Maana mwanzoni nilidhani 'ni kusherehesha tu'!

Hao ndiyo Uto sasa,wewe sema chochote kinachowafurahisha masikioni mwao,watakuamini,kama waliweza kuamini Luis anatoka Al Ahly anakuja Utopoloni kwa mkopo ije kuwa wameuza Jezi 1M.Hawa ndiyo Pure Utopolo[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwenye biashara ya jezi we ni mweupe mno.
mbona huongelei 2B anazozitoa GSM kwa mkataba wa jezi kwa msimu huu?

1,300 x 1,000,000= na sh ngap?
Mkuu unaonekana suala la hesabu lilikuwa mtihani mzito kwako ukiwa shuleni.

35000--1300 ni sh ngapi inakwenda GSM?

Unasema 1300 x 100000 ..anazopata utopolo ni nyingi,
Mbona hupigii hesabu anazopata GSM?
halafu unashangilia mauzo..

Mwenzenu amemnunuwa huyo vuvuzela( hajra) ili apate promo kwenye kuuza jezi zake.

Nyie mnashangilia tu...kama fisi kaona mzoga.

mashabiki wa utopolo tabia zao ni sawa na dume la mbwa.

Anayegegeda mmoja madume mengine pembeni yanakata mauno..na Kupiga mayowe...
 
Unapokua mtu mzima inabidi ujinga uwe unakutoka kichwani

Simply hata jumla ya mauzo ya team zote za ligi kuu Tanzania bara na visiwani haziwez zikawa na mauzo ya milion 1 ndani ya masaa 6 ,,,Yanga mnatutia aibu Watanzania wenzenu
 
Sisi Simba zetu uwa tunauza 25,000 na club inapata 10,000 kwa kila jezi
Boss Mo ametuambia Duniani sisi Simba tuna mashabiki zaidi ya milioni 800, kwa kifupi jezi zetu mpaka saa tumeshauza zaidi ya milioni 100(100,000 000).

Klabu yetu ya Simba imeshajipatia TZS . 1,000,000,000,000!
 
Ofisi ya CAG ebu fanyeni ukaguzi wa mahesabu kwenye klabu yangu pendwa ya Simba
 
Yani haya Manyani ya Utopolo kuyadanganya huhitaji nguvu nyingi na ndiyomana hakuna hata Linyani limoja lililohoji chanzo cha taarifa ya Mtoa Post.
Eti Jezi 1M × 35K = 35B pumbavu zenu.
Mupate 35B kwa jezi Dunia ingekalika kweli!!!!

Yani Jezi mulizouza hazizidi 1000 na ndiyomana wengi wanaishia kuziona Jezi zilizojaa Vibwengo kwenye Mitandao tu na sio Mitaani.
 
Mo amesema kwa muda Wa miaka 4 amekuwa akitumia bilioni 4 kasoro kutoka mfukoni mwake na hajawahi pata faida yoyote. Hivi itakuwa ni kweli?[emoji2]
 
Yani haya Manyani ya Utopolo kuyadanganya huhitaji nguvu nyingi na ndiyomana hakuna hata Linyani limoja lililohoji chanzo cha taarifa ya Mtoa Post.
Eti Jezi 1M × 35K = 35B pumbavu zenu.
Mupate 35B kwa jezi Dunia ingekalika kweli!!!!

Yani Jezi mulizouza hazizidi 1000 na ndiyomana wengi wanaishia kuziona Jezi zilizojaa Vibwengo kwenye Mitandao tu na sio Mitaani.
Wewe Kolokolo mbona upo high hivyo?
 
Mi yanga lia Lia ....lakin kuamin tumeuza jezi milioni moja sio kweli ...pic miliona moja sio mchezo!! Ukizingatia sis tunategemea local market pekee ..... just imagine Liverpool timu ambayo inauza worldwide jezi zake msimu wa mwaka Jana ndo waliongoza kuuza jezi kwa ngazi ya vilabu ulimwenguni ndo waliuza pic milioni 1...Sasa sis wananchi ndani ya siku mbili tuuze nakala milioni!?...sio kweli ...ingkuwa hivyo makampumi makubwa like Nike na Adidas wangkuwa wanapishana korido za jangwani pale kugombea tender ya kutengneza jezi zetu
Wewe unabisha nn? Wivu umekujaaa unajifanya mshabiki wa Yanga ili kuhaminisha mawazo yako finyu wewe ni Kanjubari FC
 
Uzuri jezi ya yanga inauzwa 35000 Club ya yanga inajipatia buku mia tatu kila jezi(1300).
Wivuuuu , tunataka Taarifa ya mapato na matumizi ya Club ya Simba.Taasisi gani Haina Taarifa za fedha,kaeni chonjo mtafakari ndiyo maana mashabiki wa Simba mnaitwa Mambumbumbu hamtafakari wala kuhoji yanayoendelea kwenye Club yenu nyie kila kitu anafanya Muhindi na familia yake.Njaa yenu na umasikini wenu umepitiliza mpaka umewahondoa ufahamu mnaburuzwa kama mkokoteni.Mashabiki wa Makolokolo FC ,Mbumbumbu FC,Kanjubari FC, Mjitafakari sana
 
Sa mbona unantemea mate si uongee taratibu

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom