Hiyo ni motto ya the United States na haina uhusiano na Mungu.Emu soma vizuri Kuna neno 'In GOD We Trust' so who is GOD? Ushaonyeshwa
Acha kuamini ni mfuasi wa mfumo dume/patriarchal Kwamba mamlaka itatoka juu na kuelekea chini bila kuulizwa Bali kufuata.Wewe unamuamini Mungu wa Spinoza, Mungu ambaye hajihusishi na vitu alivoumba.
Na wasiozikwa kwenye makaburi huwa wanaulizwa wapi?kwa sasa hauwez kuijua dini ya kweli mpaka utakapokufa.uzuri malaika wa kaburi moja ya maswali yao ni ipi dini yako.sasa wewe utawajibu unavyojua
Wewe unapokimbiza mwenge na kuimba wimbo wa taifa ni sawa naHiyo ni motto ya the United States na haina uhusiano na Mungu.
Congress of the United States (C.D. Cal. 2006), “The national motto is excluded from First Amendment significance because the motto 'has no theological or ritualistic impact' and is of a purely secular, 'patriotic' and 'ceremonial character.
Ni sawa na kunywa coca cola na kukojua mkojo colourless lakini ni maji unaweza rudisha ktk chupa.Na wasiozikwa kwenye makaburi huwa wanaulizwa wapi?
Wengine wanachomwa moto tu majivu ndio yanahifadhiwa, kwahiyo majivu ndio yanaulizwa?
Wanaosema religion is Mankind opium nakubaliana nao.
Na thanks giving day?Sasa wewe karatasi kaprint mtu Kisha wewe uvuje jasho au kuwa mtumwa sehemu kuipata hiyo karatasi na kuitunza benki.
In Gold Oil Diamond we trust.?
Ingawa kwa tafsiri nyepesi tunasema "religion" ni dini, lakini uhalisia wa neno "dini" Kiislam ni tofauti na neno "religion" Kingereza.
Dini kwa Mwenyezi Mungu ni moja tu, Uislam. "Religion" zenu za kuchapana ndiyo ziko kibao.
You only live twice.Death don't do ifs, buts or maybes. Death do absolutes.
Arabic religion, where is yoursDini yenu wavaa rozari ndio Ina ma-Scam. Wengi mnajifanya kujificha nyuma ya uongo wenu Kwa kugeneralize dini zote.
Islam is the Best Religion for Mankind
Uko sahihi, Allah anaelewa Kiarabu tu, kwahiyo God na Allah ni miungu miwili tofauti.Ingawa kwa tafsiri nyepesi tunasema "religion" ni dini, lakini uhalisia wa neno "dini" Kiislam ni tofauti na neno "religion" Kingereza.
Dini kwa Mwenyezi Mungu ni moja tu, Uislam. "Religion" zenu za kuchapana ndiyo ziko kibao.
Wewe mkavirondo mjivuni na "God" wapi na wapi?Uko sahihi, Allah anaelewa Kiarabu tu, kwahiyo God na Allah ni miungu miwili tofauti.
Hapa ni kila mtu aabudu Mungu wake ukweli utajurikana life after death.
Unamuulizia Yesu au Issa?Wewe mkavirondo mjivuni na "God" wapi na wapi?
Yesu aliongea lugha gani?
Alimuoa akiwa na miaka 6 akampiga pipe akiwa na miaka 9Mtoto wa miaka 9 anaingiliwaje sasa.
Kuoa na kuingilia ni vitu tofaut.
Kabla ya sheria watu walio hata mtoto wa miaka 2 akiwa chini ya uangalizi wa wazazi wake hadi umri wa kuingiliwa ukifika,kumbuka zamani wanawake walitunza bikira zao kwa ajili ya ndoa,huna unakatwa kichwa.
Not really.The opium of the mass/people. Dini ni utapeli mkubwa uliowahi kutokea Duniani na umehalalishwa kabisa.
Dini ndiyo itamfanya mtu aamini kuna Mungu au asiamini. Tatizo langu kubwa na dini ni kwanini zipo nyingi? Ikiwa wote tumeumbwa na Mungu mmoja iweje watu wagawanyike kimakundi wakijiaminisha Mungu wao ndiyo bora na dini yao ndiyo sahihi.
Mpaka sasa inakadiriwa kuna Miungu zaidi ya 3000 ambayo wanadamu wanaabudu. Dini kuu Duniani ni Ukristo na Uislamu: hiyo tayari ni Miungu miwili.
Jinsi dini zilivyoanzishwa na zilivyoingia Afrika ni jambo la kufikirisha na mtu mwenye akili timamu lazima ajiulize maswali. Je, watu walioishi Africa kabla ya dini, Mungu alifanya nini kuwaokoa watu wake kumjua na wasiangamie? Mungu yeye ni mkuu sana, kwanini ni watu wa jamii chache tu ndiyo walimjua kabla ya wengine? Siyo upendeleo huo?
Najua watapita wafia dini hapa (brainwashed) kuja kuandika kuwa nakufuru 😂 sijali, kwasababu siamini katika imani yoyote ile. Sifungamani na upande wowote.
Nimezaliwa na nimekulia kwenye Ukristo ila niliamua kwa hiari yangu mwenyewe kuachana na imani hiyo na kubaki kama nilivyozaliwa. Kwasasa naamini kwenye Deism (deist) mimi siyo Atheist wala Pagan.
Nakaribisha Atheists na open-minded Theists tujadili zaidi.
Kwani ni Kweli alioa mtoto wa miaka 9, Je alikuwa ana lalanae kitanda kimoja, AU alimuacha mpaka alivyo fikisha miaka 18,Best religion hii ambayo kiongozi wao alikuwa anabandua mtoto wa miaka 9?
Unamaanisha nini?Acha kuamini ni mfuasi wa mfumo dume/patriarchal Kwamba mamlaka itatoka juu na kuelekea chini bila kuulizwa Bali kufuata.
The almighty Living GodWhich of the 3000 Gods will do that?
Asilimia 90 ya vijana wa kitanzania wanaouawa Afrika ya kusini kwa kuuza bangi, madawa ya kulevya na uporaji Wana majina ya kiarabu na wametoka mikoa ya pwaniFaida za kua muislamu zina patikana hapa hapa duniani hata kabla ya kufa:
1. Utu nakusaidiana.
2.usafi wa mwili na roho.
3. Jinsi ya kufanya biashara
4.kusaidiana katika shida.
5. Kutueleza vyakula vizuri kwa aafya zetu.
6. Kulea watoto wetu na wazazi wetu.
7. Kutatua matatizo ya kila suku kama uzinifu wizi. nk.
Uislamu ni mfumo wa maisha wabinaadamu its alive religion here and after here, islam is not theoretical.