Religion is the perfect scam. They sell an invisible product that you can only test and verify after you die

Religion is the perfect scam. They sell an invisible product that you can only test and verify after you die

Emu soma vizuri Kuna neno 'In GOD We Trust' so who is GOD? Ushaonyeshwa
Hiyo ni motto ya the United States na haina uhusiano na Mungu.

Congress of the United States (C.D. Cal. 2006), “The national motto is excluded from First Amendment significance because the motto 'has no theological or ritualistic impact' and is of a purely secular, 'patriotic' and 'ceremonial character.
 
kwa sasa hauwez kuijua dini ya kweli mpaka utakapokufa.uzuri malaika wa kaburi moja ya maswali yao ni ipi dini yako.sasa wewe utawajibu unavyojua
Na wasiozikwa kwenye makaburi huwa wanaulizwa wapi?

Wengine wanachomwa moto tu majivu ndio yanahifadhiwa, kwahiyo majivu ndio yanaulizwa?

Wanaosema religion is Mankind opium nakubaliana nao.
 
Hiyo ni motto ya the United States na haina uhusiano na Mungu.

Congress of the United States (C.D. Cal. 2006), “The national motto is excluded from First Amendment significance because the motto 'has no theological or ritualistic impact' and is of a purely secular, 'patriotic' and 'ceremonial character.
Wewe unapokimbiza mwenge na kuimba wimbo wa taifa ni sawa na
Secular democracy ni uethiest hawaamini ultimate being
Na wasiozikwa kwenye makaburi huwa wanaulizwa wapi?

Wengine wanachomwa moto tu majivu ndio yanahifadhiwa, kwahiyo majivu ndio yanaulizwa?

Wanaosema religion is Mankind opium nakubaliana nao.
Ni sawa na kunywa coca cola na kukojua mkojo colourless lakini ni maji unaweza rudisha ktk chupa.
Kutoka ktk mavumbi mtarejeshwa
 
Ingawa kwa tafsiri nyepesi tunasema "religion" ni dini, lakini uhalisia wa neno "dini" Kiislam ni tofauti na neno "religion" Kingereza.

Dini kwa Mwenyezi Mungu ni moja tu, Uislam. "Religion" zenu za kuchapana ndiyo ziko kibao.
 
Nyinyi waislam mnanishangaza sana kwa hoja zenu kuhusu dini yenu

Ukiwauliza waislam Swali - kwa nini tuamini kwamba quran ni kitabu cha Mungu ?

jibu wanalotoa ni hili- kwa sababu Mtume mohammad alisema

Ukiwauliza swali jingine - Kwa nini tuamini kwamba Mohammad ni Mtume wa Mungu

Waislamu wanajibu - kwa sababu imeandikwa katika Quran

Ukiuliza tena swali kuhusu quran - Kwa nini tuamini kwamba quran ni kitabu cha Mungu

Waislam wanajibu - kwa sababu Mtume Mohammad alisema kwamba Quran ni maneno ya Mungu aliyoshushiwa yeye.

Ukiuliza tena swali - Kwa nini tuamini kwamba Mohammad ni Mtume wa Mungu ?

Waislam wanajib kwa sababu imeandikwa katika quran

Hivyo hili swali na majibu yake linakuwa linazunguka mda wote.

Mtu yeyote mwenye akili timamu ataelewa kwa urahisi kuwa ni kitabu cha Quran na hata dini ya kiislam ni ya uwongo kwa sababu mtu huyo anajitambulisha kama mtume ndie huyo huyo anatumia hoja za kitabu ambacho anadai alipewa na Mungu yeye mwenyewe bila ushahidi wowote
 
Dini yenu wavaa rozari ndio Ina ma-Scam. Wengi mnajifanya kujificha nyuma ya uongo wenu Kwa kugeneralize dini zote.

Islam is the Best Religion for Mankind
Arabic religion, where is yours
 
Ingawa kwa tafsiri nyepesi tunasema "religion" ni dini, lakini uhalisia wa neno "dini" Kiislam ni tofauti na neno "religion" Kingereza.

Dini kwa Mwenyezi Mungu ni moja tu, Uislam. "Religion" zenu za kuchapana ndiyo ziko kibao.
Uko sahihi, Allah anaelewa Kiarabu tu, kwahiyo God na Allah ni miungu miwili tofauti.

Hapa ni kila mtu aabudu Mungu wake ukweli utajurikana life after death.
 
Uko sahihi, Allah anaelewa Kiarabu tu, kwahiyo God na Allah ni miungu miwili tofauti.

Hapa ni kila mtu aabudu Mungu wake ukweli utajurikana life after death.
Wewe mkavirondo mjivuni na "God" wapi na wapi?

Yesu aliongea lugha gani?
 
Mtoto wa miaka 9 anaingiliwaje sasa.
Kuoa na kuingilia ni vitu tofaut.
Kabla ya sheria watu walio hata mtoto wa miaka 2 akiwa chini ya uangalizi wa wazazi wake hadi umri wa kuingiliwa ukifika,kumbuka zamani wanawake walitunza bikira zao kwa ajili ya ndoa,huna unakatwa kichwa.
Alimuoa akiwa na miaka 6 akampiga pipe akiwa na miaka 9
 
The opium of the mass/people. Dini ni utapeli mkubwa uliowahi kutokea Duniani na umehalalishwa kabisa.

Dini ndiyo itamfanya mtu aamini kuna Mungu au asiamini. Tatizo langu kubwa na dini ni kwanini zipo nyingi? Ikiwa wote tumeumbwa na Mungu mmoja iweje watu wagawanyike kimakundi wakijiaminisha Mungu wao ndiyo bora na dini yao ndiyo sahihi.

Mpaka sasa inakadiriwa kuna Miungu zaidi ya 3000 ambayo wanadamu wanaabudu. Dini kuu Duniani ni Ukristo na Uislamu: hiyo tayari ni Miungu miwili.

Jinsi dini zilivyoanzishwa na zilivyoingia Afrika ni jambo la kufikirisha na mtu mwenye akili timamu lazima ajiulize maswali. Je, watu walioishi Africa kabla ya dini, Mungu alifanya nini kuwaokoa watu wake kumjua na wasiangamie? Mungu yeye ni mkuu sana, kwanini ni watu wa jamii chache tu ndiyo walimjua kabla ya wengine? Siyo upendeleo huo?

Najua watapita wafia dini hapa (brainwashed) kuja kuandika kuwa nakufuru 😂 sijali, kwasababu siamini katika imani yoyote ile. Sifungamani na upande wowote.

Nimezaliwa na nimekulia kwenye Ukristo ila niliamua kwa hiari yangu mwenyewe kuachana na imani hiyo na kubaki kama nilivyozaliwa. Kwasasa naamini kwenye Deism (deist) mimi siyo Atheist wala Pagan.

Nakaribisha Atheists na open-minded Theists tujadili zaidi.
Not really.
Facts of the religion are verifiable by perhaps, over 100%; only that you lack the know how, of how to tie the ropes, meaning that you are lacking the means of having the facts verifiable
You are also lacking the company of people who possess the correct sources of information you need.
In that respect therefore; would you please, better keep quiet before God descends on you with an energy similar to that of a free fall tonne of concete?
 
Best religion hii ambayo kiongozi wao alikuwa anabandua mtoto wa miaka 9?
Kwani ni Kweli alioa mtoto wa miaka 9, Je alikuwa ana lalanae kitanda kimoja, AU alimuacha mpaka alivyo fikisha miaka 18,

Na kwanini aoe katoto cha miaka 9
 
In that respect therefore; would you please, better keep quiet before God descends on you with an energy that equal to that of a free fall tonne of concete?
Which of the 3000 Gods will do that?
 
Faida za kua muislamu zina patikana hapa hapa duniani hata kabla ya kufa:
1. Utu nakusaidiana.
2.usafi wa mwili na roho.
3. Jinsi ya kufanya biashara
4.kusaidiana katika shida.
5. Kutueleza vyakula vizuri kwa aafya zetu.
6. Kulea watoto wetu na wazazi wetu.
7. Kutatua matatizo ya kila suku kama uzinifu wizi. nk.
Uislamu ni mfumo wa maisha wabinaadamu its alive religion here and after here, islam is not theoretical.
Asilimia 90 ya vijana wa kitanzania wanaouawa Afrika ya kusini kwa kuuza bangi, madawa ya kulevya na uporaji Wana majina ya kiarabu na wametoka mikoa ya pwani

80 asilimia ya wanamuziki wa kidunia Tanzania wanaomba nyimbo zisizo na maadili Wana majina ya kiarabu

Asilimia kubwa ya ndoa zinazovunjika kwa talaka za kienyeji ni za dini hiyo, unaongea nini wewe? Kwamba ninyi ndio watenda mema kuliko watu wasio na dini?
 
Huwa watu mnabishana nini hasa madini ni utapeli tu kubali ukatae...hakuna maisha baada ya kifo wewe ni kiumbe hai tu kama viumbe vingine ukifa ni mwisho hapo...
Mengine ni bla bla tu za ajabu...Fungukeni akili wapendwa ...unazaliwa unarisishwa kitu .ingetokea unazaa watoto me na ke uwaweke Amazon pale wakue wakubwa usitarajie wataabudu unavyoabudu wewe...
Fanya maisha yako kawaida uwasaidie wahitaji,Kuwa na moyo safi basi live your life.....Over.
 
Back
Top Bottom