Religion is the perfect scam. They sell an invisible product that you can only test and verify after you die

Huhitaji dini kumtafuta Mungu,Imani inatosha

Mbona Yesu aliishi Kwa Imani,
Kila mtu anaweza kuamini kivyake ndio maana unaweza kukuta wasioamini dini nao wana tofautiana jinsi wanavyomuelezea Mungu au yenye kuhusiana na Mungu.
 
Angalia nyuzi zote za watu wasioamini dini na Mungu, uone mashambulizi ya waamini Mungu na matusi wanayo yatoa.

Kwa vile tu, dini yao na imani yao imetajwa.
Mkuu wasioamini dini hawawezi kuelezea misimamo yao au wanachokiamini pasina kushambulia dini na ndio mtindo wa majadiliano yao katika mada hizi.
 
Si kwa ubaya, but who is Allah?!
 
Kipindi social medias kama fbk zinaanza,wapumbafu wa dini walizikemea sana eti ni kazi ya shetani,walizipinga kweli kweli,leo hii wamejazana huko wakihubiri[emoji28][emoji28] upuuzi wao.
Tena wamefungua page & Channel zao

Wanatuhamasisha kuwa_follow kama si ku_subscribe
 
kwa sasa hauwez kuijua dini ya kweli mpaka utakapokufa.uzuri malaika wa kaburi moja ya maswali yao ni ipi dini yako.sasa wewe utawajibu unavyojua
Malaika wa kaburi ni mjinga kama wewe (refer to your ID). Kwanini asimuulize Mungu dini yangu?
 
dini yako wewe aulizwe mungu.?una akili au matope?
Swali uliloniuluza halina mantiki kwangu. Dini zote zimeanzishwa na wanadamu sasa Mungu anahusukaje?

Wewe malaika wa kaburi umemjulia wapi? Au una-quote ukiwa kuzimu?
 
Hilo ni kwa sababu wanaopinga Mungu wanahusisha sayansi na huko kupinga kwao Mungu, yani wanataka kutuaminisha kwamba wanaoamini Mungu hawaijui sayansi.
Hawakuaminishi, bali ni kwamba waamini Mungu akili zao zimefungwa hadi zinapuuza Science
 
Kila dini ni ya kweli kulingana na waamini wake.

Unaelewa hilo!?

Kwenye dini zote zilizopo duniani, unadhan mtaelewana na waamini wengine kuhusu dini ipi ni ya kweli kama mtakutana kwenye mjadala!?

Ungezaliwa kwenye familia ya Kikristo unadhani ungekuwa unasema haya uyasemayo sasa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…