Remmy Ongala aliwahi kukata rufaa akipinga kushindwa na Masoud sura mbaya katika shindano la wenye sura mbaya



Ningeshiriki
 
😄😄Mji ulikua wa moto sana
 
Dar ya enzi hizo maisha yalikua ya aina yake sana. Vya kale ni dhahabu basi tu aisee natamani sana zama zirudi nyuma.
 
kwa hiyp mzee Jangala alionekana mchumba mbele za Wanaume wenye sura zao?
 
Dah Umenikumbusha mbali sana, kwa mkweli maisha zamani yalikuwa matam sana, very entertained.
 
Yani nchi yetu kulikuwepo, kukawepo na kunaendelea kuwepo na watu wajinga kama huyu Remmy. upuuz unatamalaki sana kwenye taifa. Unapoteza muda kukata rufaa?

Sasa hivi tuna mwijaku the most handsome man from Kigoma.
Nyie wanawake mna mambo... Huu muda mnatoa wapi?
 
Remy alidai masoud ni mgonjwa wa ngozi hana sura mbaya.
 
Siku yalipofanyika mashindano yakumtafuta mtu mwenye sura mbaya Tanzania nzima, Masoud sura mbaya (kushoto), aliwashinda Remy ongala na mzee jangala na inasemekana Remmy ongala alionekana mrembo au baby face a.k.a sura ya mama mbele ya Masoud.

Baadhi ya washiriki walipinga kwamba Masoud atakua alikua na ugonjwa labda ukoma ndio uliomfanya eti aonekane vile. MWISHO WA SIKU MASOUD SURA MBAYA ALISHINDA

WAZO LANGU: MASOUD WAS OVERRATED INDEED !! 👀👀👀

KUNA VYUMA VINASURA MBAYA TUNAVIJUA NA TULIVUJUA LAKINI AVIKUSHINDANISHWA NA MASOUD NAOMBA TUVIOREDHESHE HAPA LEO HATA KAMA VYA MIAKA HII YA 2020s

 
"biti juma kula nkule"
"niachie mwenyewe nibanje ooh nibanje huo mfupa wake wa ng'ombe"
"biti juma kula nkuleee"
"niachie mwenyewe nibanje ooh nibanje huo mfupa wake wa ng'ombe"
titititi, tititititiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…