Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nan sasa ambae unamjua na alikua kawazid hawa jamaaRemmy Ongala alilalamika sana kuonewa katika shindano lile.
Lakini hawa wote hawakuwa na sura mbaya, labda matatizo tu.
Nakaziatunaomba shindano lirudiwe
Unataka kushiriki?tunaomba shindano lirudiwe
ndioUnataka kushiriki?
Mzee Jangala nadhani bado yupoNani bado yupo hai Kati ya hao
Nilipata kusimuliwa hiki kisa miaka hiyo nikadhani uongo kumbe ilikuwa ndivyo hivyoLeo turudi nyuma kidogo kwenye miaka ya 90 ambapo kulifanyika shindano la kumtafuta mtu mwenye sura mbaya zaidi nchini Tanzania.
Sultan masudi ndiye aliibuka mshindi katika shindano hilo la kumtafuta mtu aliye na sura mbaya zaidi Tanzania miaka hiyo ya 90, akifuatiwa na Dr. Remmy Ongala huku mshindi wa tatu akiwa ni Mzee Jangala.
Baada ya matokeo hayo kutangazwa aliyekuwa mshindi wa Pili yaani Dr Remmy Ongala akalalamika kuwa huyu Masudi amependelewa kwa kuwa amefanya uchunguzi amegundua Masudi anatoka katika familia iliyo na ugonjwa wa ukoma hivyo hakustahili kumshinda yeye.
Kwa upande wa Mzee Jangala pia alikata rufaa kuwa iweje yeye aonekane mrembo na kushinda nafasi ya tatu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
______________________
Ila yote tisa kwa upande wangu naona wote hawakustahili kushinda hilo shindano, aisee kuna raia zina sura mbaya hatari kiasi kwamba ukimuangalia utamuonea huruma au utamcheka kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2743961