Remmy Ongala aliwahi kukata rufaa akipinga kushindwa na Masoud sura mbaya katika shindano la wenye sura mbaya

Remmy Ongala aliwahi kukata rufaa akipinga kushindwa na Masoud sura mbaya katika shindano la wenye sura mbaya

Leo turudi nyuma kidogo kwenye miaka ya 90 ambapo kulifanyika shindano la kumtafuta mtu mwenye sura mbaya zaidi nchini Tanzania.

Sultan masudi ndiye aliibuka mshindi katika shindano hilo la kumtafuta mtu aliye na sura mbaya zaidi Tanzania miaka hiyo ya 90, akifuatiwa na Dr. Remmy Ongala huku mshindi wa tatu akiwa ni Mzee Jangala.

Baada ya matokeo hayo kutangazwa aliyekuwa mshindi wa Pili yaani Dr Remmy Ongala akalalamika kuwa huyu Masudi amependelewa kwa kuwa amefanya uchunguzi amegundua Masudi anatoka katika familia iliyo na ugonjwa wa ukoma hivyo hakustahili kumshinda yeye.

Kwa upande wa Mzee Jangala pia alikata rufaa kuwa iweje yeye aonekane mrembo na kushinda nafasi ya tatu? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

______________________

Ila yote tisa kwa upande wangu naona wote hawakustahili kushinda hilo shindano, aisee kuna raia zina sura mbaya hatari kiasi kwamba ukimuangalia utamuonea huruma au utamcheka kabisa 😂😂😂😂😂😂😂


View attachment 2743961
Mtazame lussu hao wote utaona ni warembo tu.
 
Nakumbuka miaka ile first round lilifanyika Buguruni alafu second round ikafanyuka Kinondoni.
 
Sultan Masudi ndiye aliibuka mshindi katika shindano la kumtafuta mtu aliye na sura mbaya zaidi Tanzania, akifuatiwa na Dr. Remmy Ongara huku Mshindi wa tatu akiwa ni Mzee Jangala.

Baada ya matokeo hayo kutangazwa aliyekuwa mshindi wa Pili yaani Dr Remmy Ongara akalalamika kuwa huyu Masudi amependelewa!

Kwani amefanya uchunguzi amegundua Masudi anatoka katika familia iliyo na ugonjwa wa ukoma!
hivyo hakustahili kumshinda yeye

Na Mzee Jangala pia alikata rufaa kuwa iweje yeye aonekane ana sura nzuri na kushika nafasi ya tatu?

FB_IMG_16970115160104216.jpg
 
Back
Top Bottom