Leo turudi nyuma kidogo kwenye miaka ya 90 ambapo kulifanyika shindano la kumtafuta mtu mwenye sura mbaya zaidi nchini Tanzania.
Sultan masudi ndiye aliibuka mshindi katika shindano hilo la kumtafuta mtu aliye na sura mbaya zaidi Tanzania miaka hiyo ya 90, akifuatiwa na Dr. Remmy Ongala huku mshindi wa tatu akiwa ni Mzee Jangala.
Baada ya matokeo hayo kutangazwa aliyekuwa mshindi wa Pili yaani Dr Remmy Ongala akalalamika kuwa huyu Masudi amependelewa kwa kuwa amefanya uchunguzi amegundua Masudi anatoka katika familia iliyo na ugonjwa wa ukoma hivyo hakustahili kumshinda yeye.
Kwa upande wa Mzee Jangala pia alikata rufaa kuwa iweje yeye aonekane mrembo na kushinda nafasi ya tatu? π€£π€£π€£π€£π€£π€£
______________________
Ila yote tisa kwa upande wangu naona wote hawakustahili kushinda hilo shindano, aisee kuna raia zina sura mbaya hatari kiasi kwamba ukimuangalia utamuonea huruma au utamcheka kabisa πππππππ
View attachment 2743961