Rest in peace Juve'nal Habriymana 1937-1994 (kumbukumbu zangu)

Hawa jamaa wanakufa KWA aibu sana!!unakaa muda mrefu UNASHINDWA kuandaa deep state ambayo itasimamia muhula wa madaraka KWA kuwaua wanaotaka kuvunja katiba na kuongeza mihula!!?
Hata PK na M7 wakifa leo they have good number of years. Wakifa kuna watakaosema eti wamekufa sababu ya matendo yao while ni muda tu umefika na wameishi miaka mingi.

Kila mtu ana njia yake ya kufa. Kifo ni kifo tu. Kuna mema na mabaya wametenda ila kuyaakisi kwa vifo vyao ni kukosa hoja!

Je, wanaokufa kwa ajali wanatoka kanisani au michezoni hawastahili kufa?

Tuache fikra finyu!
 
Mjomba ni Mama

Nasisitiza wajomba wote waliopo humu Jf ni akina mama, pumzika pahala pema jenerali bylimana
🤣🤣🤣🤣 Tulikua tukikutana in 90,s anauweka uraisi na unajeshi wake pembeni,,,,,,,,alikua mcheshi sana afu kiswahili hajui vizuri na sisi kinyarwanda hatujui🤣🤣 Bi mkubwa ndio mkalimani
Mjomba ni Mama

Nasisitiza wajomba wote waliopo humu Jf ni akina mama, pumzika pahala pema jenerali bylimana
 
Mimi wakuu ninavyojua mimi.
ICTR investigation ya mauaji ya kimbali kuanzia 7/4/1994 to 31/12/1994. waligundua kumba walikufa watu karibu 800,000. Au zaidi ya hao.
Na walitoa na ushahidi wa zile killing zilizokuwa zikitokea.
Walireport kwamba kati ya watu 800,000. Wahutu walikuwa 500,000. Au pengine ni zaidi ya hao waliuwawa na RPA(kagame force), waliobaki ni watutsi waliuwawa na interahamwe.
 
Baada ya hapo sasa ikawaje story haujaimalizia mkuu,
 
Chai hii.
 
Nimechanganya jamii zote mkuu sababu babu zangu wametokea mipakani ....Mkoloni alitugawa kwenye mkutano wa Berlin...
Hao waliowawa ndugu walio uwawa 70 ni watusi au wahutu.

Maana kuna baadhi ya watutsi waliuwawa na RPA,
Watutsi wa Bagogwe waliuwawa na macomandoo wa RPA chini ya James kaberebe.
Na watutsi wa Bisesero kama 40,000. Waliwawa kwa amri ya kagame kupitia James kaberebe na Mr Kayonga.
Hao 40,000 walikuwa ni genocide survivor walijikusanya Bisesero hill walisaidia na jeshi la ufaransa kupitia operation toquores. KAGAME alifanya hivyo ili kuonyesha dunia kuwa France hawajafanya kazi yoyote.
 
Eehe ikawaje mkuu endelea ngoja nisogeze popcorn zangu na karanga na chupa la juice
 
Mbona ni kama he was starved in house arrest na sio kupigwa risasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…