Restuta Bura aingia mpambano mkali kugombea mali za baba mtoto wake huku mume wake wa ndoa akiwa kimya

Kinachofata hapo ni lazma Resty na Kweka watibuane tu! Its on its way mtakuja kuniambia tu...Reserve hii comment kwa reference.

Chanzo, Resty atahitaji support ya mume sasa na kwa kuwa amembeba Kweka kwa muda mrefu na jamaa hana hela itapofikia Resty anahitaji mchango wa kifedha kuendesha kesi jamaa hana ndipo atapogundua kuwa yupo na mtu ambaye ni useless kabisa.

Zinaanza zile za β€œYani wewe hata mawazo tu huna unachosha kwa kweli”...”Mwanaume unaboa kama nini”....”Yani mwanaume upo upo tu hueleweki”

Mapenzi ni matamu hela ikiwepo tu, hela ikishakata lazma mtie akili!πŸ˜‚
 
Unakumbuka story ya jamaa ambaye mwanamke alimuacha akarudiana na ex wake . Jamaa alikuwa analia hapa JF
Hahahahah siikumbuki hio hebu ni tag mkuu niisomageπŸ˜‚
 
Hapo kwenye security na pride lazma kuwe na mazingira ambayo yatawakutanisha mumeo na Bank ATM always. Na hapa ndipo trick ya mwanaume ilipo na support ya ndoa.

Hayo mazingira yasipokuwepo jua tu mwanaume kusimama imara lazma kutamshinda tu. Believe me yani hata mumeo hayo mazingira akiwa hana hio nafasi lazma itampwaya tu.

Hata awe ana kusapoti kwa kukukojoza na kukuambia maneno matamu matamu bado utamuona mzigo tu kwenye maisha yako. Sukari imeisha anaitwa mtoto holly hebu lete pochi ya mama akupe hela ukanunue sukari ni huzuniπŸ˜‚
 
Ndoa ni zaid ya papers
Pale hakuna mume sanasana amegeuka mfuasi wa resty
Hivi kile kiburi cha resty yule kaka anaweza ongea lolote na hivi pesa hana?
hhhhhhhh kumbe kweli ana kiburi eeh
 
Anunue kiwanja halafu vacation Ibiza aende SAA ngapi?🀣
 
Kuna madogo wanahaha kutongoza wake za watu na mashangazi kwa kigezo kuwa walionao hawawakuni vizuri huko
Wanakosea sana kutembea na hisia potofu,kuna madingi wanasimamia show balaa.
 
🀣🀣🀣🀣 Binti Zanaki huyoo .Mtoto wa mujini
 
Huyo jamaa mzembe sana,mjelajela aendelee kushika makende yao tu.
Kapewa eneo resty muda tu angekua hata na chain kibiashara maana alijua situation.
Nadhani alifikiri jamaa hatoki jela.
 
Huyu mwenye hichi ki media atajuta kasema polisi wamechukua rushwa! Ataitwa athibitishe
 
Mama ake Kweka itakuwa anapiga ukunga daily

Huzuni asee[emoji26][emoji848]
 
Nikiandika sana nitaambiwa ni wivu ila kwakweli pale kazi ipo. Yule kaka hapana asee
Ndo mwenye hisia nae au unataka awe na mwanaume asiyekua na hisia nae a.k.a moyo haujampenda

We unaweza kuishi na mwanaume ambaye huna hisia nae
 
Kwenye hili suala ukute jamaa wa jela ndio anachimba biti warudiane hatak ndio kama hivyo ameanza na kuchukua sehem yake πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Bidada ukiangalia bado anahitaji sana support ya jamaa aisee mr lawyer kazi anayo
 
Sasa anapomuacha mke apambane mwenyewe inamaanisha nini!? Au anasuburi ashinde ndio waende kula hilo jasho
U kibenteni kazi sana lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi yule mwanaume naskia ni mwanasheria, kasoma chuo gani? Huenda kuna tatizo lipo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie namuonaga km aristotee kwa uwoya, sema wao wameingizia style ya ndoa lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…