Wanatumia ukoo mzima 🤣🤣Resty ana moyo wa ajabu sana Baby Shower tu alienda kufanyia kwenye nyumba ya John.
Resty anadai Milioni 2 kwa mwezi za Child Support ndogo, hivi yule Marioo wake angeweza kutoa hizo M2...kwanza hiyo 2M anatumia Hayley peke ake?
Hakuna lawyer pale.Zimemponza bata jaman resty, vacation n Ibiza uwiiiiih
Yaan muda wote ule alikua anabweteka tyuuh, leo mwenyew anataka eneo lake full ugomvi, hivi yule mariooo wake c n lawyer hawezi kusuluhisha case hii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HiiNaomba akaunti ya rachel ya sasa.
Maana naona ya zamani simpati.
Ahsante nimeshamtumia ombi
Hugo mtoto wa mjini.
Umeupiga mwingi sana.
Naona jamaa anapiga juu juu kisi.mi hakisuguliwi vizuri.Resty anahitaji mwanaume kauzu, bandidu mwenye pesa zake.
Kwanza wanaume zake wote walikuwa wa mjini wenye majina na pesa.
Alikosa subra akaamua kumuoa kweka.
Sasa cheti anacho.
Lakini anakosa mwanaume wa kusimamia majukumu yake, yaani hana mwanaume ila ana kijana wa kiume anayemfuga.
Nadhani kweka hata kumkojolesha bibie hawezi.
Maana sisi wanawake hata mwanaume akiwa hana pesa akikujolesha vizuri utamuheshimu na kumsikiliza.
Hahaaa aki tena...Najaribu kuwaza yaani nipewe eneo nifanyie biashara kwa miaka na miaka tena mbezi beach bure silipi kodi.
Mwenyewe analitaka nidai fidia.
Kweli resty akili yake ina matatizo.
Hivi ni mtu wa starehe ghali?Awekeze halafu bata atakula nani?
Ni vice versa asee... demu ndo ana shobo jamaa hamtakiKwenye hili suala ukute jamaa wa jela ndio anachimba biti warudiane hatak ndio kama hivyo ameanza na kuchukua sehem yake [emoji2][emoji2][emoji2]
Bidada ukiangalia bado anahitaji sana support ya jamaa aisee mr lawyer kazi anayo
Unafikiri pale ni pa maana basi...labda hicho kiwanja[emoji2][emoji2][emoji2]
Si matajiri lakini.kwanini asihame japo akajenge kwingine halafu aendelee kumdai fidia?
BTW mwenzie akati yupo jela si alikua anafaidika na kiwanja bure..now so ampishe kashakitumia vya kutosha kujipatia hela?
Hivi yule ni msomi kweli au ni maneno ya faru John manake wanawake kwa kusifia watu wao hawajambo...Hivi yule mwanaume naskia ni mwanasheria, kasoma chuo gani? Huenda kuna tatizo lipo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie namuonaga km aristotee kwa uwoya, sema wao wameingizia style ya ndoa lol.
Yule kakurupushwa hakutegemea kama mjelajela angetoboa / angetoka na ile kesi ya glucoseNajaribu kuwaza yaani nipewe eneo nifanyie biashara kwa miaka na miaka tena mbezi beach bure silipi kodi.
Mwenyewe analitaka nidai fidia.
Kweli resty akili yake ina matatizo.
Sio tu hivo alimdanganya Ben 10 kuwa ule uwanja ni wake, ili jamaa amuone bidada ni super hero woman, mchakarikaji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wkt wanaanza biashara resty alisemaga eti yeye na mume wake wamewekeza[emoji38]..lidada fake lile
Hivi we mtu kashindwa badilisha mapazia miaka nenda rudi, ndo huyo akumbuke kusave sijui kuinvest[emoji848][emoji848]Vile vibunda vya wasafi alitakiwa kila mwezi asave akawekeze kiwanja chake..linaishia kula bata na show off..alijua mfungwa hatotoka leo wala kesho haya sasa mwenye mali. Huyoooooo[emoji1787]
Mumewe tena[emoji1787][emoji1787] Hugo akikusikia atakupa vichwa[emoji1732][emoji1732]Duuuuh au Resty alijua mumewe hatoki jela? Mweeeeeh.
Sijawahi ona lawyer kazubaa vileZimemponza bata jaman resty, vacation n Ibiza uwiiiiih
Yaan muda wote ule alikua anabweteka tyuuh, leo mwenyew anataka eneo lake full ugomvi, hivi yule mariooo wake c n lawyer hawezi kusuluhisha case hii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmmh amu jamani mi hata akose nguvu za kiume lkn awe na hela ntamheshimu hivo hivo tu, ntavumiliaResty anahitaji mwanaume kauzu, bandidu mwenye pesa zake.
Kwanza wanaume zake wote walikuwa wa mjini wenye majina na pesa.
Alikosa subra akaamua kumuoa kweka.
Sasa cheti anacho.
Lakini anakosa mwanaume wa kusimamia majukumu yake, yaani hana mwanaume ila ana kijana wa kiume anayemfuga.
Nadhani kweka hata kumkojolesha bibie hawezi.
Maana sisi wanawake hata mwanaume akiwa hana pesa akikujolesha vizuri utamuheshimu na kumsikiliza.