Restuta Bura aingia mpambano mkali kugombea mali za baba mtoto wake huku mume wake wa ndoa akiwa kimya

Restuta Bura aingia mpambano mkali kugombea mali za baba mtoto wake huku mume wake wa ndoa akiwa kimya

Resty ana moyo wa ajabu sana Baby Shower tu alienda kufanyia kwenye nyumba ya John.

Resty anadai Milioni 2 kwa mwezi za Child Support ndogo, hivi yule Marioo wake angeweza kutoa hizo M2...kwanza hiyo 2M anatumia Hayley peke ake?
Wanatumia ukoo mzima 🤣🤣
 
Resty anahitaji mwanaume kauzu, bandidu mwenye pesa zake.
Kwanza wanaume zake wote walikuwa wa mjini wenye majina na pesa.

Alikosa subra akaamua kumuoa kweka.

Sasa cheti anacho.
Lakini anakosa mwanaume wa kusimamia majukumu yake, yaani hana mwanaume ila ana kijana wa kiume anayemfuga.

Nadhani kweka hata kumkojolesha bibie hawezi.

Maana sisi wanawake hata mwanaume akiwa hana pesa akikujolesha vizuri utamuheshimu na kumsikiliza.
 
Zimemponza bata jaman resty, vacation n Ibiza uwiiiiih
Yaan muda wote ule alikua anabweteka tyuuh, leo mwenyew anataka eneo lake full ugomvi, hivi yule mariooo wake c n lawyer hawezi kusuluhisha case hii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna lawyer pale.

Mwanaume wake itakuwa hata kuongea na hugo anaogopa.

Maana mwenzake kamshinda umjini, connection na pesa.
 
Naomba akaunti ya rachel ya sasa.
Maana naona ya zamani simpati.
Hii
Screenshot_20220213-141014_Instagram.jpg
 
Hakuna upambanaji hapo, huyo ni sawa na paka( simtukani ni kwa ajili ya uelewa)Paka anastawi kwenye msosi. Ukihama nyumba ukimuacha Paka ndani atakayekuja km msosi upo paka hana issue ataishi tu pale. Yaani huyo yeye anapewa capital anafungua biiashara na ku run. Haijalishi kama anapata hasara au faida ataendelea kuwa na biashara na ataendelea kufungua biashara sababu nyuma yake Kuna mtu anamsupport kwa kuweka cash zaidi na zaidi. Mpambanaji ni Yule anayesimama mwenyewe tokea chini Hadi Juu na hahitaji support ya mtu.
Kwa mwanaume yeyote mwenye akili timamu angeshamhamisha huyo mke wake mbali na Mali za ex wake. Ninachokiona hapo mme mpya Kuna kitu kafuata hapo, either pesa ya huuyo mwanamke au Hilo umbo jamaa analitumia ipasavyo. Kwa Rest (in pieces) huo upambanaji sasa ndio tuuone akiwa single mother au mke wa Ben ten maana si kwa kumdhihaki mjela, yaani mmeo yupo ndani, unaolewa halafu unazaa na huyo mmeo mpya na bado unatumia Mali za mjela? Kwa kweli ule uanaume wa kiume hauwezi kubali mwanamke akudhalilishe namna hii. Tuombe tu jamaa hajatokea Tarime otherwise angefungua bucha.
 
Resty anahitaji mwanaume kauzu, bandidu mwenye pesa zake.
Kwanza wanaume zake wote walikuwa wa mjini wenye majina na pesa.

Alikosa subra akaamua kumuoa kweka.

Sasa cheti anacho.
Lakini anakosa mwanaume wa kusimamia majukumu yake, yaani hana mwanaume ila ana kijana wa kiume anayemfuga.

Nadhani kweka hata kumkojolesha bibie hawezi.

Maana sisi wanawake hata mwanaume akiwa hana pesa akikujolesha vizuri utamuheshimu na kumsikiliza.
Naona jamaa anapiga juu juu kisi.mi hakisuguliwi vizuri.
 
Najaribu kuwaza yaani nipewe eneo nifanyie biashara kwa miaka na miaka tena mbezi beach bure silipi kodi.
Mwenyewe analitaka nidai fidia.
Kweli resty akili yake ina matatizo.
Hahaaa aki tena...
Aachie Mali ya watu kashaitumia vya kutosha imemuwezesha mpaka kuoa na magari anayo..
Utalipwaje fidia wakati kilikufaidia?
Kwanza uliambiwa tu ulinde eneo sio uliendeleze kuligeuza lako
 
Kwenye hili suala ukute jamaa wa jela ndio anachimba biti warudiane hatak ndio kama hivyo ameanza na kuchukua sehem yake [emoji2][emoji2][emoji2]
Bidada ukiangalia bado anahitaji sana support ya jamaa aisee mr lawyer kazi anayo
Ni vice versa asee... demu ndo ana shobo jamaa hamtaki
 
[emoji2][emoji2][emoji2]
Si matajiri lakini.kwanini asihame japo akajenge kwingine halafu aendelee kumdai fidia?
BTW mwenzie akati yupo jela si alikua anafaidika na kiwanja bure..now so ampishe kashakitumia vya kutosha kujipatia hela?
Unafikiri pale ni pa maana basi...labda hicho kiwanja

Lakini biashara ilikuwa tia maji location mbaya sana [emoji848]
 
Hivi yule mwanaume naskia ni mwanasheria, kasoma chuo gani? Huenda kuna tatizo lipo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie namuonaga km aristotee kwa uwoya, sema wao wameingizia style ya ndoa lol.
Hivi yule ni msomi kweli au ni maneno ya faru John manake wanawake kwa kusifia watu wao hawajambo...

Siku anatukatia mauno ya madilu system huku tunakula kitimoto ndo nilijua hapa hamna kitu aseee[emoji848]

Sema nini yy na mawife wake wake wana vibe fulani amazing, yaan ni wana raha mda wote mpaka mtu unashangaa, it's like sniffing taking place
 
Vile vibunda vya wasafi alitakiwa kila mwezi asave akawekeze kiwanja chake..linaishia kula bata na show off..alijua mfungwa hatotoka leo wala kesho haya sasa mwenye mali. Huyoooooo[emoji1787]
Hivi we mtu kashindwa badilisha mapazia miaka nenda rudi, ndo huyo akumbuke kusave sijui kuinvest[emoji848][emoji848]
 
Resty anahitaji mwanaume kauzu, bandidu mwenye pesa zake.
Kwanza wanaume zake wote walikuwa wa mjini wenye majina na pesa.

Alikosa subra akaamua kumuoa kweka.

Sasa cheti anacho.
Lakini anakosa mwanaume wa kusimamia majukumu yake, yaani hana mwanaume ila ana kijana wa kiume anayemfuga.

Nadhani kweka hata kumkojolesha bibie hawezi.

Maana sisi wanawake hata mwanaume akiwa hana pesa akikujolesha vizuri utamuheshimu na kumsikiliza.
Mmmh amu jamani mi hata akose nguvu za kiume lkn awe na hela ntamheshimu hivo hivo tu, ntavumilia

Asie na hela unahisi unapakwa shombo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732] ( natania jamani)[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom