Kabisa asee!Linainjoy kupata bwege, unajua she is overconfident kwahio automatically hawezi survive na mwanaume imara. She needs a weak man ndio anam complement vizuri.
Sasa mji mzima unajua mwana mmbeba pochi tu! Mambo ya aibu kabisa. Ila angekuwa anaenda enda China au Dubai kubeba mzigo aafreshi.Kabisa yaan
Hii tabia anayoiendekeza itamtokea puani one day
Ha ha lazima hiyoItakuwa alipitiwa[emoji1]
Huna Nizamu kwa Hayati, ukoje lakini."Ki ba [emoji817] on fleek'[emoji16][emoji16][emoji23] kuna mdada alisema hivi humu
Ndo nkauliza hana personal schedule.Sasa mji mzima unajua mwana mmbeba pochi tu! Mambo ya aibu kabisa. Ila angekuwa anaenda enda China au Dubai kubeba mzigo aafreshi.
Kweli huyu binti ni mrembo sanaaa, unene umempooza urembo wake wa umbo kidogo, akiwa form one alitrend pia kwenye matangazo ya vodacom ya mtaani, nimemjua tangu yupo std 4, katuchuna sana vijana wa maduka ya nguo na viatu pale kawe ukwamani[emoji28][emoji28] akiwa la 6 na 7.Resty ni mwanamke mmoja mzuri sana kuliko hata picha zinavyomtoa,Si unajua tena wairaq aka wambulu walivyo pisi kali..Mbali na hayo ni mjasiriamali anakampuni ya insurance,kampuni ya usafi,hiyo bar yake pia na mambo kedekede anayayofanya ya kumuingizia pesa.Ila bana tuacheni majungu kwani ni sh ngap mpaka ule bata kama za resty ni mipango tu na malengo.Weka budget yako vizuri,fanya booking mapema.Mbona utakua unakula mema ya dunia kwa pesa ndogo tu.Restusta endelea kula bata kwa raha zako.[emoji7]
She is full of life, na wambulu hawapendi kupelekeshwa wana mihasira kinoma😂 labda awe mmbulu hybrid ila wale pure ni noma.Kabisa asee!
Lidada mda wote keleleee tu mtindo mmoja, yaan hamna mda anatulia au haongei!
Kazi kusukumana sukumana, kufungaa mipombe, kucheza cheza yaan[emoji134][emoji134]
Na mwanaume inabidi aige vyote mwanamke anafanya ili asurvive, njaa mbaya sana
Anatetea ugali wake huwezi kaza namna hio kwa Ginimbi wakati anahitaji company yako kila saaNdo nkauliza hana personal schedule.
Like babes this ain't fall in my timeline, so nenda tu na shosti zako.
As in whaaaat yani?
Mxxxxxie
Hivi unakumbuka Resty aliletaga tafrani Ambrosia mpaka watu wakapigana risai na Mlay akafariki.Huna Nizamu kwa Hayati, ukoje lakini.
Mi mbea mwenzio nimejishikilia hapa.
Sasa kwani Regiie alikuwa mchache?Itakuwa alipitiwa[emoji1]
Kazidi mno naye show off inaonyesha biashara ya kuuza kitimoto inalipa maana yeye daily ni bata batani, Mara Maldives, cape verde, Mara vacation sijui ya wapi inaonyesha wauza kitimoto wakajifunze kwake Ili wakuze biasharaShkuba ni shkuba mamangu.
Daslam hii kama hujui habari za shkuba na matunda yake yaliyofungwa mengine Italy na wapi huko aseee ni balaa.
Hawa nyau wametusumbua hawaaaaa.
Sasa huyu resty mradi kaletwa celebrities ,Siku zake ni zinahesabika.
Yan hili jukwaa watu sijui wachawiiiii.
Ukipandishwa tu uzi wa Star, ujue kinamkuta mtu kitu soon
Ndiwoooo ilikuwa 2010 ile?Hivi unakumbuka Resty aliletaga tafrani Ambrosia mpaka watu wakapigana risai na Mlay akafariki.
Yani kapungua Sana yule dada kadhoofu, Mungu amsaidieIle miguu sio ya mtu aliye na Afya nzuri ya figo.
Dalili za mtu aliye na shida ya mfumo wa uotaji ba uchujaji taka.
Lazima tu ana shida
Maaaaafi ya Umbwa.Kazidi mno naye show off inaonyesha biashara ya kuuza kitimoto inalipa maana yeye daily ni bata batani, Mara Maldives, cape verde, Mara vacation sijui ya wapi inaonyesha wauza kitimoto wakajifunze kwake Ili wakuze biashara
Hapo" wa kike " hapo [emoji849]Sasa kwani Regiie alikuwa mchache?
Yule mzee kashare wanawake na mwanae wa kiume na wa kike.
Heb tuacheni jamani dhambi za kutokwenda kanisani tunazo tayari.
Tuacheni tuwe na Kitubio kifupi.
Tuanze kumsema na Hayati kweeeeeli!
Hapana jamani tusifikishane huko.
Kwa kifupi itoshe kusema, yupo kaziniAnatetea ugali wake huwezi kaza namna hio kwa Ginimbi wakati anahitaji company yako kila saa
Atakuwa msupu sanaHivi unakumbuka Resty aliletaga tafrani Ambrosia mpaka watu wakapigana risai na Mlay akafariki.
Unataka kumchongea TRADada/mama huyu amekuwa maarufu Sana kwenye mitandao ya kijamii Kama mfanyabiashara maarufu wa chakula na vinywaji, pia vipodozi.
Wakati fulani alimkodishia Diamond Platnamz ghorofa lake zuri sana ambalo ndio ofisi za Wasafi. Anaonekana ni very successful businesswoman, tajiri mkubwa haswa ukiiangalia namna anavyospend na mume wake mpenzi. Mara yupo Dubai, mara visiwa vya Malves, saizi yupo mbugani for wedding anniversary.
Kila weekend yupo kwenye mahotel makubwa kama Serena, Hyatt akipata raha.
Jamani huyu ni Nani haswa?
Daah una roho ya kutu.....Acha ungese basi wapi nimemzungumzia vibaya
Hilo limzigo we si ndo umetaja hapa, kujifanya malaika Gabriel, but upo pia hapa kwa ajili ya umbea, mxiuuuuu[emoji57][emoji57][emoji57]
Hiiiiiiiivo hiiiiivoooooo.Hapo" wa kike " hapo [emoji849]