Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Linainjoy kupata bwege, unajua she is overconfident kwahio automatically hawezi survive na mwanaume imara. She needs a weak man ndio anam complement vizuri.
Kabisa asee!

Lidada mda wote keleleee tu mtindo mmoja, yaan hamna mda anatulia au haongei!

Kazi kusukumana sukumana, kufunguaa mipombe, kucheza cheza yaan[emoji134][emoji134]

Na mwanaume inabidi aige vyote mwanamke anafanya ili asurvive, njaa mbaya sana
 
Resty ni mwanamke mmoja mzuri sana kuliko hata picha zinavyomtoa,Si unajua tena wairaq aka wambulu walivyo pisi kali..Mbali na hayo ni mjasiriamali anakampuni ya insurance,kampuni ya usafi,hiyo bar yake pia na mambo kedekede anayayofanya ya kumuingizia pesa.Ila bana tuacheni majungu kwani ni sh ngap mpaka ule bata kama za resty ni mipango tu na malengo.Weka budget yako vizuri,fanya booking mapema.Mbona utakua unakula mema ya dunia kwa pesa ndogo tu.Restusta endelea kula bata kwa raha zako.[emoji7]
Kweli huyu binti ni mrembo sanaaa, unene umempooza urembo wake wa umbo kidogo, akiwa form one alitrend pia kwenye matangazo ya vodacom ya mtaani, nimemjua tangu yupo std 4, katuchuna sana vijana wa maduka ya nguo na viatu pale kawe ukwamani[emoji28][emoji28] akiwa la 6 na 7.

Kwao wapo wasichana wa3 ninaowajua na wote ni visu hatari. Dada ake ni anti Ruth alikua akitangaza kipindi cha watoto Magic fm sijui kama yupo huko hadi sasa.
 
Kabisa asee!

Lidada mda wote keleleee tu mtindo mmoja, yaan hamna mda anatulia au haongei!

Kazi kusukumana sukumana, kufungaa mipombe, kucheza cheza yaan[emoji134][emoji134]

Na mwanaume inabidi aige vyote mwanamke anafanya ili asurvive, njaa mbaya sana
She is full of life, na wambulu hawapendi kupelekeshwa wana mihasira kinoma😂 labda awe mmbulu hybrid ila wale pure ni noma.
Wacha jamaa atetee kibarua maana kashindwa kujiongeza😂
 
Shkuba ni shkuba mamangu.

Daslam hii kama hujui habari za shkuba na matunda yake yaliyofungwa mengine Italy na wapi huko aseee ni balaa.

Hawa nyau wametusumbua hawaaaaa.

Sasa huyu resty mradi kaletwa celebrities ,Siku zake ni zinahesabika.

Yan hili jukwaa watu sijui wachawiiiii.

Ukipandishwa tu uzi wa Star, ujue kinamkuta mtu kitu soon
Kazidi mno naye show off inaonyesha biashara ya kuuza kitimoto inalipa maana yeye daily ni bata batani, Mara Maldives, cape verde, Mara vacation sijui ya wapi inaonyesha wauza kitimoto wakajifunze kwake Ili wakuze biashara
 
Kazidi mno naye show off inaonyesha biashara ya kuuza kitimoto inalipa maana yeye daily ni bata batani, Mara Maldives, cape verde, Mara vacation sijui ya wapi inaonyesha wauza kitimoto wakajifunze kwake Ili wakuze biashara
Maaaaafi ya Umbwa.
Mxxxxxxxxxie
 
Sasa kwani Regiie alikuwa mchache?
Yule mzee kashare wanawake na mwanae wa kiume na wa kike.

Heb tuacheni jamani dhambi za kutokwenda kanisani tunazo tayari.
Tuacheni tuwe na Kitubio kifupi.
Tuanze kumsema na Hayati kweeeeeli!

Hapana jamani tusifikishane huko.
Hapo" wa kike " hapo [emoji849]
 
Dada/mama huyu amekuwa maarufu Sana kwenye mitandao ya kijamii Kama mfanyabiashara maarufu wa chakula na vinywaji, pia vipodozi.

Wakati fulani alimkodishia Diamond Platnamz ghorofa lake zuri sana ambalo ndio ofisi za Wasafi. Anaonekana ni very successful businesswoman, tajiri mkubwa haswa ukiiangalia namna anavyospend na mume wake mpenzi. Mara yupo Dubai, mara visiwa vya Malves, saizi yupo mbugani for wedding anniversary.

Kila weekend yupo kwenye mahotel makubwa kama Serena, Hyatt akipata raha.

Jamani huyu ni Nani haswa?
Unataka kumchongea TRA
 
Acha ungese basi wapi nimemzungumzia vibaya

Hilo limzigo we si ndo umetaja hapa, kujifanya malaika Gabriel, but upo pia hapa kwa ajili ya umbea, mxiuuuuu[emoji57][emoji57][emoji57]
Daah una roho ya kutu.....
punguza wivu mwanamke
 
Back
Top Bottom