witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Kabisa asee!Linainjoy kupata bwege, unajua she is overconfident kwahio automatically hawezi survive na mwanaume imara. She needs a weak man ndio anam complement vizuri.
Lidada mda wote keleleee tu mtindo mmoja, yaan hamna mda anatulia au haongei!
Kazi kusukumana sukumana, kufunguaa mipombe, kucheza cheza yaan[emoji134][emoji134]
Na mwanaume inabidi aige vyote mwanamke anafanya ili asurvive, njaa mbaya sana