Rev. Moses Maghembe ajitoa T.A.G

Rev. Moses Maghembe ajitoa T.A.G

Kimsingi mitandao ni mizuri ila wa mitandaoni ni changamoto kubwa sana mnaandika vitu bila kuhoji pande usika ambazo zingesaidia kupata habari sahihi na mkaandika ili uma upate kitu cha msingi, nimesoma hapa mwingine anasema TAG imekwisha sasa unajiuliza kwa lipi TAG imekwisha? Naomba niwape hapa ukweli kilichotokea:-
1, Mzee magembe kaanzisha dhehebu lake linaitwa PCC na lina matawi mpaka Kanada na huko msumbiji

2) kamsimika mke wake kuwa Askofu mkuu hapa Tanzania na kijana wake kuwa senior pastor

3) makao makuu ya Dunia ya dini hii yatakuwa mwenge Dar es salaam

4) yeye ndo mwanziliishi wa hilo dhehebu Duniani,
Kwa mazingira hayo mnategemea atabaki TAG?

Jambo lingine Mzee kawaita viongozi kakabidhi Mali zote za TAG kwa amani bila msuguano wowote sasa mlitaka viongozi wasipeleke mchungaji hapo T. A. G Majumba sita?


Hebu msipende kuandika vitu bila taarifa sahihi.
 

Attachments

  • Screenshot_2024-12-22-04-43-30-282_com.facebook.katana.jpg
    Screenshot_2024-12-22-04-43-30-282_com.facebook.katana.jpg
    357.7 KB · Views: 4
Huyo mchungaji mzee huwa anawapa kibano heavy vijana wa kisasa wanaofuatisha mambo ya kidunia kanisani. Sasa sipati picha akikutana na wachungaji vijana wa kisasa akina masanja na tony. Wachungaji hao vijana wanashangaza wazee kwa style zao za kuvaa na mafundisho yao, ni kama wadhambi hivi, ni kama hawana utakatifu ukilinganisha na wachungaji wazee
 
Kwa kweli sina za ndani ila Maghembe ni mpangaji wa pale mahali kwa miaka mingi na mpaka alianzisha shule ua sekondari
Za mitaani zinadai huyu bwana alitakiwa kuhama hapo mahali kitambo tu ila janjajanja yake ndio iliendelea kumuweka pale
Sasa wamekuja wamemuondoa kwa nguvu,tunasema kwa nguvu kwani mtu anaendoka kwa hiyari hapaswi kujaziwa wazee na mitutu

Taarifa ya uongo… pale walikuwa wamepanga na kanisa lilikuwa linalipa kodi… Magembe alirudisha jengo na yeye kuondoka wale waliokuja ni waliolipia lile gowdown na kutaka watoe vitu vya kanisa maana mtu mwinginee ameshalipia kodi
 
Yani bora wale wazee wa vibegi na makofia yao makubwaa bila kusahau kimkoba wanaitwa mashahidi wa Jehova wale ni bampa tu bampa wakikutembelea siku moja sahau kuwakwepa hata ukijificha juu ya dar utapewa mahubiri huko huko darini ,

Wanatembea kimakundi makundi hivi hao kupiga kilometa 30 40 kwao sio ishu kabisaaa , hutawahi wasikia wanagombana 🤣🤣🤣 alafu nilitaka kusahau wanakua na wazungu wao nao kwa kusaga kwato hawajambo.
 
Back
Top Bottom