Ridhiwani Kikwete aalikwa mkutano mkubwa wa vyama vya siasa China

Dah!Kumbe ni kweli!!Tanzania yangu
 
China hawana mfumo wa vyama vingi, Kama anaenda kuangalia mazingira ya biashara ya unga aseme.
 
China na vyama vingi!!?
 
Ridhiwani bado kijana? Ujana Tanzania unaishia miaka mingapi?
 
Wazaramo kwa Kiki...ndio Kama yule MSUKULE WA YANGA ...?
 
Kazi imeanzae,naona wanaanza kumsogeza
 
Ujana kwenye chama chetu hauna mwisho.

Mbona Wassira ni Kamanda wa Vijana kwenye jimbo lake!
 
Kaanza tena biashara ya Ganda. Ila JPM alikuwa kiboko ya hawa. Sasa hivi Rizi moko anaanza kwenda tena China.
Victoire jamaa kasema ni mkutano wa Mtandaoni (Teleconference), haendi China physically atakuwa kule orally!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…