Uwashukuru pia kwa kuachia ulipokamatwa na madawa ya kulevya"Nimealikwa Mkutano Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Vyama Vya Siasa nchini China @CPPCC_NUMUNxii inayoshughulikia mahusiano China-Africa kama Mwanasiasa Kijana leo. Nitawasilisha hoja ya Maendeleo ya Vijiji na Mchango wa Mahusiano ya Nchi zetu. Mkutano kwa Mtandao."
#Tunajifunza #RK
Kweli hao ni kenge tu,unawatetea nini,hii nchi kweli tumepigwa haswaJaribu kuficha ujinga wako!
NiKaanza tena biashara ya Ganda. Ila JPM alikuwa kiboko ya hawa. Sasa hivi Rizi moko anaanza kwenda tena China.
Kaanza biashara ya ganda unasubiria hadi akuambieWewe kumbe ni walewale " amanzi ga nyanza" ! Upeo mdogo na ukurupukaji wa kiwango cha SGR! Umeambiwa mkutano kwa mtandao lakini bado huelewi! Nchi hii imejaa vijana vil.aza sana na waliojazwa chuki za kijinga sana!
Ni
baKweli hao ni kenge tu,unawatetea nini,hii nchi kweli tumepigwa haswa
Kauli yako inaonyesha uko kwenye kundi la walio wajinga wengi ! Mliokuwa mnadanganywa eti Magufuli ni mtetezi wa wanyonge wakati Paulo Makonda anatembelea Vogue Sports na Lamborgin na kukatiza haki za watu kuishi ( Watu wasiojulikana) hadi Mike Pompeo kwa niaba ya Marekani akatoa tamko! Magufuli kimya huku akiimbiwa mapambio kuwa yeye ni Mungu na wajinga waliowengi! Acheni chuki kwa Kikwete! Watu walijenga maisha chini ya Kikwete! Kwa Magufuli hata choo hatukujenga!
Nchi hii hawa wajinga wachache kama wewe hawafai kabisa na mazwazwa kabisa, iv kweli kijana mwenye akili zako timamu riz moko ni presidential material???, unafikiria au unawaza kweli au circuit yako kwenye ubongo ya matukio ya riz moko imechomoka???, mawazo uwazayo hata chizi awez kuwaza ujinga Kama wakoKauli yako inaonyesha uko kwenye kundi la walio wajinga wengi ! Mliokuwa mnadanganywa eti Magufuli ni mtetezi wa wanyonge wakati Paulo Makonda anatembelea Vogue Sports na Lamborgin na kukatiza haki za watu kuishi ( Watu wasiojulikana) hadi Mike Pompeo kwa niaba ya Marekani akatoa tamko! Magufuli kimya huku akiimbiwa mapambio kuwa yeye ni Mungu na wajinga waliowengi! Acheni chuki kwa Kikwete! Watu walijenga maisha chini ya Kikwete! Kwa Magufuli hata choo hatukujenga!
ba
Nahisi ni watoto wa 2000's,angejua Mateso aliyo tuachia JK angefunga mdomo wake na ange acha ku-type utopolo, kunawatu wanakakera ni balaaWatanzania tumerogwa iv kweli lini tutajitambua??kweli mkuu hii inauma sana na usikute huyo jamaa aliyetype ni msomi kabisa,lakin mawazo ya ovyo zaidi, iv kweli riz moko presidential material ??, tuko serious kweli, nchi hii ili itobee labda kizazi hiki kipite, kama bado kunawatu wapo na wanamawazo ya ovyo kiasi hiki, kweli hii ni hatari
Magu alikuwa better kuliko maraisi wate exclude mwinyi na kambalage cos nilikuwa bado mdogo tawala zao sijui vzrKauli yako inaonyesha uko kwenye kundi la walio wajinga wengi ! Mliokuwa mnadanganywa eti Magufuli ni mtetezi wa wanyonge wakati Paulo Makonda anatembelea Vogue Sports na Lamborgin na kukatiza haki za watu kuishi ( Watu wasiojulikana) hadi Mike Pompeo kwa niaba ya Marekani akatoa tamko! Magufuli kimya huku akiimbiwa mapambio kuwa yeye ni Mungu na wajinga waliowengi! Acheni chuki kwa Kikwete! Watu walijenga maisha chini ya Kikwete! Kwa Magufuli hata choo hatukujenga!
ba
Kizazi cha dikteta uchwara hakina spaceTaifa hili linawatu wa ovyo kama wewe, kweli tumepigwa tena tumepigwa haswa,nchi hii kutoboa labda kizazi hiki kipite
Yaani unataka kulia kwa upuuzi ulioandika, Mwendazake mambo kibao ya matumizi ameyafanya bila idhini ya Bunge , mpaka anaondoka CAG hakuwahi kukagua Shirika la Umeme, Tanroads , SGR na bwawa la umeme na huko ndio ma trillions yamezama..mnakuja humu mnadhani kuna wapuuzi , Tutaendelea kumshukuru mungu kwa wema aliotufanyia...Nahisi ni watoto wa 2000's,angejua Mateso aliyo tuachia JK angefunga mdomo wake na ange acha ku-type utopolo, kunawatu wanakakera ni balaa
anzi za JK uchumi ulivulugika, elimu ilikuwa haieleke, watu waliuwawa, wawekezaji walikuwana wanafanya vitu kwa kiburi kama nchi hii ya kwao, nchi ilikuwa inanuka ufisadi, ofisi za umma zilikuwa hazana msaada wowote na nchi iliuwa shamba la bibi maliasili ziliondoka kama nini au umesahau twiga walivyokuwa wana panda ndege no one was cared, nipo nyuma ya keyboard hadi nataka kulia
eeh mwenye Mungu usikia maombi ya watu wako tuepushe na balaa hili
Sawa hakufanya kwa idhini ya Bunge lakini vitu tuliviona vinatokea, maendeleo yalioneka kwa wazi siyo yakusimuli hata kama kuwa migaji lakini mambo yalionekana bola tulisumbuliwa na watu wachache makonda type lakini sio zama za JK kila mtu alikuwa boss, president hata alikuwa haonekani alimezwa na ufisadi na mafisadiYaani unataka kulia kwa upuuzi ulioandika, Mwendazake mambo kibao ya matumizi ameyafanya bila idhini ya Bunge , mpaka anaondoka CAG hakuwahi kukagua Shirika la Umeme, Tanroads , SGR na bwawa la umeme na huko ndio ma trillions yamezama..mnakuja humu mnadhani kuna wapuuzi , Tutaendelea kumshukuru mungu kwa wema aliotufanyia...
hongeraNdiyo
Unajua hasara yake kwa hivo alivofanya....Je huo ndio utaratibu..Sawa hakufanya kwa idhini ya Bunge lakini vitu tuliviona vinatokea, maendeleo yalioneka kwa wazi siyo yakusimuli hata kama kuwa migaji lakini mambo yalionekana bola tulisumbuliwa na watu wachache makonda type lakini sio zama za JK kila mtu alikuwa boss, president hata alikuwa haonekani alimezwa na ufisadi na mafisadi
Hata kama risk ilikuwepo ila kila mtu alikuwa anawajibika kama taifa lilikuwa linasonga mbele (tulikuwa tunajua tunaenda wapi), hata mwaka haujaisha tumenza kupoteanaUnajua hasara yake kwa hivo alivofanya....Je huo ndio utaratibu..
Nyinyi ni watu wapuuzi sana msiowaza, nchi hii ikiwa na wapuuzi kama wewe hatutafika mbali,Leo hii unamkingia kifua riz moko,hakika hata chizi hawez Fanya ivi,hivi nyinyi mmepandikizwa nini ??msije kuwa Genetic modified organism(GMO)Kizazi cha dikteta uchwara hakina space
Magufuli ni binadamu. Kuna vitu alifanya vizuri na kuna vitu aliboronga. Mimi huwa namsifia inapotakiwa na huwa ninamnanga pale alipokwenda kombo.Leo unamsifia Magufuli lakini kesho unatema nyongo hahahaa hutakagi shida kabisa.
Nimesoma heading tu.Unauelewa finyu sana siku hizi bibie. Unasoma kwa kukurupuka.
Poleee,usirudie tena,unatuaibisha tunaokuaminia.Nimesoma heading tu.