Na boko haram na al quida na al shabab na isis kwa hapa bongo ni kibiti mtwara hadi msumbijiWasichokijua , nikwamba historia inaonyesha wagalatia ndio chanzo cha migogoro mikubwa ya Dunia..mifano midogo ni Rwanda, Angola ,Sierra Leone , central Africa , Mozambique n.k..hawa jamaa wanailisha Vatican na wakiamua kuwehuka, hakuna jiwe litaacha kugeuzwa
Huyu muuza UNGA nae anasema nini? Yeye na baba yake wote wana laana. Hata kumpa uwaziri ni kuinajisi nchi!Ajenda ya udini inazidi kusukumwa mdomdo na watawala, na mara hii Ridhimoko amesukuma kete nyingine kwa lengo la kuuteka umma wa wanazuoni wa kiislamu, wataalam wa eiilimu duuniya, na mambo ya Dua na daahawa!!.
NB: huu ni ungese , sijui lengo lao ni nini sasa
View attachment 3511212
Mohamed Said ametangulia Oman kumtayalishia makazi Bi Kizimkazi!Hatimaye Historia ya Mohamed Said imekubaliwa na CCM awamu hii!
Tukiwaambiaga kuwa linaloitwa genge la wahuni ndani ya sisim ni Muslim Brotherhood (MB) na wamejipanda kweli kweli ndiyo hapo akili ziwazindukeKumeanza kukucha sasa, kila kitu kitakua wazi.
Kwamba Gez wataogopa kukutana na majini ama?Ajenda ya udini inazidi kusukumwa mdomdo na watawala, na mara hii Ridhimoko amesukuma kete nyingine kwa lengo la kuuteka umma wa wanazuoni wa kiislamu, wataalam wa eiilimu duuniya, na mambo ya Dua na daahawa!!.
NB: huu ni ungese , sijui lengo lao ni nini sasa
View attachment 3511212
Usihofu.Ila sasa iko wazi kabisa kuwa yote haya ni huyu Kikwete. Nilikuwa nabisha ila it’s obvious yule mzee yuko radhi hata tuwe kama Somalia ila mambo yake yaende. Ndiye anayemdanganya huyu mama. Na si huwa kuna utaratibu ’silent’ wa kupokezana uRais kati ya Waislam na Wakristo ? Imekuwaje tena 2030 mipango ni tofauti. Jamani mambo yanazidi kuwa magumu. Mpaka hapa, basi labda Mungu mwenyewe aamue kutunusuru, ila peke yetu hatuwezi.
Mmh! Kazi ipoAjenda ya udini inazidi kusukumwa mdomdo na watawala, na mara hii Ridhimoko amesukuma kete nyingine kwa lengo la kuuteka umma wa wanazuoni wa kiislamu, wataalam wa eiilimu duuniya, na mambo ya Dua na daahawa!!.
NB: huu ni ungese , sijui lengo lao ni nini sasa
View attachment 3511212
Cha ajabu kina Chalamila hawaoni wanatumika tu mpaka siku waje kuondolewa kama kina Tulia na Biteko ndio utaona wanatafuta huruma ya wananchi.Tukiwaambiaga kuwa linaloitwa genge la wahuni ndani ya sisim ni Muslim Brotherhood (MB) na wamejipanda kweli kweli ndiyo hapo akili ziwazinduke
Mwaka 1891 wakati Govenor wa kwanza wa Kijerumani anaingia nchini, Ikulu ya Dar ilikua inaendelea kujengwa, ambapo ilikuja kukamilika mwaka 1896.Ajenda ya udini inazidi kusukumwa mdomdo na watawala, na mara hii Ridhimoko amesukuma kete nyingine kwa lengo la kuuteka umma wa wanazuoni wa kiislamu, wataalam wa eiilimu duuniya, na mambo ya Dua na daahawa!!.
NB: huu ni ungese , sijui lengo lao ni nini sasa
View attachment 3511212
Dini ni utapelikile ktabu chetu tukufu kinakataa mwanamke kuwa kiongozi mkuu abadan asilan, vp tena mbona mmemkubali na mnamtetea kwa kila viroja?