Nayajua yote. By the way Ridhiwani aache kulialia. Tuhuma za yeye kuhusika na madawa ya kulevya zimeanza kitambo. Mnakumbuka ile ishu ya kule china? Hizi ni tuhuma za muda mrefu. Asianze kutafuta pa kutokea
Unajua wewe dada huwa kum'mayo sana wewe? Hivi umesahau kuwa kulikuwa na orodha nyingine ambayo Kamishna alizuia isisomwe hadharani? Tumia ubongo wako vizuri, hata kama kichwa lako limejaza mavi jitahidi kuya-condition yafanye kazi ya ubongo maana huna mbadala!!Kwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
kumbe? duh!Nayajua yote. By the way Ridhiwani aache kulialia. Tuhuma za yeye kuhusika na madawa ya kulevya zimeanza kitambo. Mnakumbuka ile ishu ya kule china? Hizi ni tuhuma za muda mrefu. Asianze kutafuta pa kutokea
Karma has its price.
Kuna waliotajwa hadharani na wengine hawakutajwa. Waliitwa juu kwa juu.Kwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
Kwa hiyo Chadema tunakubaliana kwamba Ridhiwan hauzi unga? Maana sasa kila mtu tunamsafisha hahahahah haya bhana.
Unajua wewe dada huwa kum'mayo sana wewe? Hivi umesahau kuwa kulikuwa na orodha nyingine ambayo Kamishna alizuia isisomwe hadharani? Tumia ubongo wako vizuri, hata kama kichwa lako limejaza mavi jitahidi kuya-condition yafanye kazi ya ubongo maana huna mbadala!!
Hakuwepo kwani wewe ni Sianga?Kwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
Unawekwa wakati ngumu, ujipendekeze kwa nani[emoji23]Kwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
We kwani ulidhani research ua unafiki ilifanyiwa mimea mkuu? Ili ni ya uhakika babaRidhiwan mnafiki yeye juz si alikua ana Furahi, anasema a nashukuru sasa kuwa amekua huru sababu tume imemuona hauzi, alikua anaongea Miladiayo, na ata katika video ya mwananchi digital.. Gazeti linaandika wanavyotaka wao, Kwani minong'ono alianzisha makonda
Kwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
Hivi nyie bavicha si mlikuwa mnasema jamaa anauza ngada na babake kuna mida alimwokoa uchina kwenye tundu la sindano, leo mbona hamsomeki??
Hivi wewe una akili ganiKwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
Hilo gazeti lililoandika linamilikiwa na CHADEMA wewe nyambaf!!!!Kwa hiyo Chadema tunakubaliana kwamba Ridhiwan hauzi unga? Maana sasa kila mtu tunamsafisha hahahahah haya bhana.
Ahahahahaaaaa wewe ndio ulikuwa unamuandikia?Kwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?