Riri hakumfeel Drake .. Rihanna anampenda sana Chris brown, hata hizo show off za hao wanaume ni anataka kumuumiza Chris....ha move on kabisa ka tukinaoHivi waliachana kisa nini Drake na Riri?
Aisee kwa baba kijacho wake anaonekana kabisa hajatuliaRiri hakumfeel Drake .. Rihanna we anampenda sana Chris brown, hata hizo show off za hao wanaume ni anataka kumuumiza Chris....ha move on kabisa ka tukinao
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Uache fix...nyie ndo mademu zenu wanawanasa vibao na mnakaa kimyaaIla mwanaume ukishalala na mwanamke zaidi ya mara mbili unamuona wa kawaida tu.[emoji23]
Mie napenda wakati Rihanna yupo na Breezy hao kina Asap sijui naona janja janja nyingiRiri hakumfeel Drake .. Rihanna anampenda sana Chris brown, hata hizo show off za hao wanaume ni anataka kumuumiza Chris....ha move on kabisa ka tukinao
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
😬😂😂😂Umepiga nyundo ya kichwaUache fix...nyie ndo mademu zenu wanawanasa vibao na mnakaa kimyaa
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
[emoji23] Aseme tu anakua hajamfeel huyo mwanamke. Ukimpenda mtu unamchokaje mapema hivyo
[emoji23][emoji23]Uache fix...nyie ndo mademu zenu wanawanasa vibao na mnakaa kimyaa
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Marastaa malayaa sana...watu walikuwa wanashangaa [emoji1787][emoji1787]Aisee kwa baba kijacho wake anaonekana kabisa hajatulia
Hawa nadhan Beyonce ndio anaifanya ile kapo iendelee kuwepo sidhan kama Jigga anamuelewa Bey kama Bey anavyomuelewa JiggaMarastaa malayaa sana...watu walikuwa wanashangaa [emoji1787][emoji1787]
Sasa Kuna bomu Beyonce kalikalia siku likilipuka dunia itatetema, yaan amemeza moto fire [emoji91]
Jay z ana watoto mia nje na wote anajifanya sio wake[emoji1787][emoji1787]
Bey ana roho ngumu sana
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Asap kashatengeneza brandy yake na kamchuna mihela ya kutosha ( mtaji) na mimba kamtwisha, hana cha kupoteza[emoji1787][emoji1787][emoji23]Mie napenda wakati Rihanna yupo na Breezy hao kina Asap sijui naona janja janja nyingi
Riri pole yakeAsap kashatengeneza brandy yake na kamchuna mihela ya kutosha ( mtaji) na mimba kamtwisha, hana cha kupoteza[emoji1787][emoji1787][emoji23]
Na dunia nzima tunajua kuwa Asap kamkojoza Riri na mbegu yake imetengeneza kiumbe, Rihanna kwisha habaree yake[emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
We unasikiliza hizo ngonjera zake[emoji23] Aseme tu anakua hajamfeel huyo mwanamke. Ukimpenda mtu unamchokaje mapema hivyo
Lkn si kapata mtoto...mtoto ni baraka, ashukuru hata hiloRiri pole yake
Hivi viumbe vikikamatika huwa havisemi ila humu full kutuvimbia
Ila Bey kujifanya anapendwa sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawa nadhan Beyonce ndio anaifanya ile kapo iendelee kuwepo sidhan kama Jigga anamuelewa Bey kama Bey anavyomuelewa Jigga
Yes ni sahihi.Lkn si kapata mtoto...mtoto ni baraka, ashukuru hata hilo
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Yule mama ana moyo sio kwa matukio anayopigwaIla bey kujifanya anapendwa sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Maana stress za kukosa mtoto nayo ni ishu asikwambie mtu[emoji848][emoji848]Yes ni sahihi.