Ripota wa Israel anauliza kuhusu hii video ya Hamas, Israel ilishambulia kwa mabomu siku 450 huko Gaza walikuwa wanapigana na nani?

Ripota wa Israel anauliza kuhusu hii video ya Hamas, Israel ilishambulia kwa mabomu siku 450 huko Gaza walikuwa wanapigana na nani?

Hamasi waende kufanya tena huo ujinga Israel, kale ka mamlaka ka wapalestina katafywekwa kote
 
Waulizwe aljazeera waliokuwa na kazi ya kupandikiza uongo wa Allah na chuki zake.. kila habri yao ni uongo wa kiislam
 
Tulivyokuwa tunasema hii vita ni Aljazeera vs Israel..
 
Wanaukumbi.

Ripota wa Israel anatoa maoni yake kuhusu video hii:

"Nataka tu kuuliza kwa upole: Je, Israel imekuwa ikishambulia kwa mabomu kwa siku 450 huko Gaza? Hamas inaonekana kuwa katika nafasi nzuri kana kwamba haikupigana vita dhidi ya jeshi la Israel." Hii video ya Hamas leo Jumapili wakipita mitaa ya Gaza.

Jesh letu lilikuwa linapigana na nani?

View: https://x.com/hureyaksa/status/1880932920422019528?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Nimeshangaa sana kuna uwezekano Israel kaua raia wengi sana kuliko Hamas, yaani na gari nzuri wanazo
 
IMG-20250119-WA0014.jpg
 
Allah awanusuru ndugu zetu wapalestina na awape amani na nusra.

Hamas walikosea kuwapa fursa mazayuni ya ku commit genocide dhidi ya ndugu zetu. Matukio ya October 7 yaliishia kuwapa fursa mazayuni ya kuimwaga mnoo damu ya wapalestina. Hamas walikosea. Allah awasamehe Waislam waliouawa kwenye genocide hii na kuwakubalia kuwa Mashahidi na awaponye majeruhi wao na awape nusra na aviangushe vitimbi vya maadui zao wote, Aameen.
Magaidi ya Hamas na wafuasi wao waliouliwa roho zao ziwe motoni!
 
Nimeshangaa sana kuna uwezekano Israel kaua raia wengi sana kuliko Hamas, yaani na gari nzuri wanazo
Sio kuna uwezekano ndio hali halisi kila siku tunasema humu tunaishia kukejeliwa, kama IDF Hii miezi miwili ya mwisho walikiri kutowaona wapiganaji wa hamasi kabisa ilikuwa wanashtuka wamelipuliwa bomu na kufanyiwa ambush
 
Wanaukumbi.

Ripota wa Israel anatoa maoni yake kuhusu video hii:

"Nataka tu kuuliza kwa upole: Je, Israel imekuwa ikishambulia kwa mabomu kwa siku 450 huko Gaza? Hamas inaonekana kuwa katika nafasi nzuri kana kwamba haikupigana vita dhidi ya jeshi la Israel." Hii video ya Hamas leo Jumapili wakipita mitaa ya Gaza.

Jesh letu lilikuwa linapigana na nani?

View: https://x.com/hureyaksa/status/1880932920422019528?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Walisema wameimaliza Hamas, nimeshangaa jana kuona bado wapo ngangali
 
Tunafurahia kuona wanagaza wakigaragazwa na kufanywa kitoeo cha funza na mavumbi

Hivyo basi,

Tunawaaasa waisrael waendelee kuwaponda vibaraka wenu wenye itikadi za kitapeli.

Haijalishi anapiga nini ila tunachojua mabwana zenu wamekufa wengi.

VIVA DUNIA HURU, VIVA JUDA, VIVA ISRAEL, VIVA NATO
Wewe ukifa utoliwa na funza au funza wapo GAZA tu mioyo yenu imeumia sana poleni ndio mjue mungu wa haki ni yupi leo .maguvu yote ya Marekani Nato lkn Wametema BUNGO!!
 
Hao Magaidi wa Hamas wakati wa mapigano wanatupa hizo bandana halafu wanavaa mavazi ya kiaia wakiuwawa wanasema Israel inaua raia.
 
Pole ndugu punguza povu alorusha taulo ni Netanyahu yeye unajua wameumia kwa kiwango kipi adi kufikia tamati ya kurusha taulo ulingoni!!!! Vita sio rafiki na uhai wetu,
 
Allah awanusuru ndugu zetu wapalestina na awape amani na nusra.

Hamas walikosea kuwapa fursa mazayuni ya ku commit genocide dhidi ya ndugu zetu. Matukio ya October 7 yaliishia kuwapa fursa mazayuni ya kuimwaga mnoo damu ya wapalestina. Hamas walikosea. Allah awasamehe Waislam waliouawa kwenye genocide hii na kuwakubalia kuwa Mashahidi na awaponye majeruhi wao na awape nusra na aviangushe vitimbi vya maadui zao wote, Aameen.
Hapana haikuwa genocide bali vita
 
Hao Magaidi wa Hamas wakati wa mapigano wanatupa hizo bandana halafu wanavaa mavazi ya kiaia wakiuwawa wanasema Israel inaua raia.
Vita ni mbinu, kwa Hamas mbinu yao ndiyo hiyo. Hapo wameweza kumtatiza kisaikolojia adui wao, maana kama jeshi vamizi lazima lijiulize kama lengo lao la kuimaliza Hamas limefanikiwa au namna gani.
 
Tunafurahia kuona wanagaza wakigaragazwa na kufanywa kitoeo cha funza na mavumbi

Hivyo basi,

Tunawaaasa waisrael waendelee kuwaponda vibaraka wenu wenye itikadi za kitapeli.

Haijalishi anapiga nini ila tunachojua mabwana zenu wamekufa wengi.

VIVA DUNIA HURU, VIVA JUDA, VIVA ISRAEL, VIVA NATO
Asa mbn huandiki hivi mauaji yakitokea Congo na kuna wagalatia wengi tena wanauana wenyewe kwa wenyewe...hivi wewe una akili nzuri kweli?
Au wewe pia shoga..?mana'ke sio unaunga mkono mauaji tuu na ushoga pia uukubali kama serikali ya kizayuni inavyounga mkono ushoga...kiasi kwmb mpk mawaziri wake wengi ni mashoga
 
Crusades? Kwenye crusades za mwanzo mashujaa wenu waliachieve nini zaidi ya kuuana wenyewe kwa wenyewe na mwisho hiyo Al-Quds (Jerusalem) ambayo waliishika kwa muda (wakawauwa Waislam na "ndugu" zenu mayahudi) waliipoteza? Tena wakati huo walikuwa marijali kweli kweli (hawana mambo ya ushoga ushoga) hawakuwa na mambo ya LGBTQ na "woke" culture. Wanavyoipenda dunia hivi hiyo crusade si wataishia kuuana wenyewe kwa wenyewe. Sasa hivi Ummah wa Kiislam upo katika hali ya udhaifu ila nguvu ya Ummah itarudi tu kwa idhini ya Allah.

Huu Ummah ulikumbana na balaa la Mongols/wamongolia, na bado ukasurvive kisha ukawashinda kwa idhini ya Allah, sikuambii hawa wanaobishana nini maana ya mwanamke.

Allah awanusuru ndugu zetu wanyonge kote duniani. Na aupe nguvu na utukufu Ummah.
Amiiin,amiiin
 
Back
Top Bottom