Ripota wa Israel anauliza kuhusu hii video ya Hamas, Israel ilishambulia kwa mabomu siku 450 huko Gaza walikuwa wanapigana na nani?

Hamasi waende kufanya tena huo ujinga Israel, kale ka mamlaka ka wapalestina katafywekwa kote
 
Waulizwe aljazeera waliokuwa na kazi ya kupandikiza uongo wa Allah na chuki zake.. kila habri yao ni uongo wa kiislam
 
Tulivyokuwa tunasema hii vita ni Aljazeera vs Israel..
 
Nimeshangaa sana kuna uwezekano Israel kaua raia wengi sana kuliko Hamas, yaani na gari nzuri wanazo
 
Magaidi ya Hamas na wafuasi wao waliouliwa roho zao ziwe motoni!
 
Nimeshangaa sana kuna uwezekano Israel kaua raia wengi sana kuliko Hamas, yaani na gari nzuri wanazo
Sio kuna uwezekano ndio hali halisi kila siku tunasema humu tunaishia kukejeliwa, kama IDF Hii miezi miwili ya mwisho walikiri kutowaona wapiganaji wa hamasi kabisa ilikuwa wanashtuka wamelipuliwa bomu na kufanyiwa ambush
 
Walisema wameimaliza Hamas, nimeshangaa jana kuona bado wapo ngangali
 
Wewe ukifa utoliwa na funza au funza wapo GAZA tu mioyo yenu imeumia sana poleni ndio mjue mungu wa haki ni yupi leo .maguvu yote ya Marekani Nato lkn Wametema BUNGO!!
 
Hao Magaidi wa Hamas wakati wa mapigano wanatupa hizo bandana halafu wanavaa mavazi ya kiaia wakiuwawa wanasema Israel inaua raia.
 
Pole ndugu punguza povu alorusha taulo ni Netanyahu yeye unajua wameumia kwa kiwango kipi adi kufikia tamati ya kurusha taulo ulingoni!!!! Vita sio rafiki na uhai wetu,
 
Hapana haikuwa genocide bali vita
 
Hao Magaidi wa Hamas wakati wa mapigano wanatupa hizo bandana halafu wanavaa mavazi ya kiaia wakiuwawa wanasema Israel inaua raia.
Vita ni mbinu, kwa Hamas mbinu yao ndiyo hiyo. Hapo wameweza kumtatiza kisaikolojia adui wao, maana kama jeshi vamizi lazima lijiulize kama lengo lao la kuimaliza Hamas limefanikiwa au namna gani.
 
Asa mbn huandiki hivi mauaji yakitokea Congo na kuna wagalatia wengi tena wanauana wenyewe kwa wenyewe...hivi wewe una akili nzuri kweli?
Au wewe pia shoga..?mana'ke sio unaunga mkono mauaji tuu na ushoga pia uukubali kama serikali ya kizayuni inavyounga mkono ushoga...kiasi kwmb mpk mawaziri wake wengi ni mashoga
 
Amiiin,amiiin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…