Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi hadithi ukituliza akiki hupati taabu kutambua kwamba huwa zinatengenezwa tu kwa malengo mbalimbali.pia inaweza ikawa ni michezo ya kuchafuana
how possible kila mwaka abake vijana 50 kwa muda wa miaka 25 hadi 30. maana yake kama kwa mwaka alikuwa anafundisha timu moja maana yake timu nzima hadi bench la ufundi kalibaka
miaka ya mwanzo ya 1990s kuna Mwanaharakati wa Ethiopia aliwahi kutuhumiwa kubaka Wanawake wa shirika lake la utetezi wa haki za binadamu kumbe Jamaa alizaliwa ( impotent) Hanithi.
wale kina Dada kila Wakili akiwauliza amewanyanyasa kwa kuwashika shika labda maudhi mengine wakawa wanasisitiza ni ubakaji na Mamlaka za Hospital kwa hofu ya Ubabe wa Tawala ya kiimla wali confirm kuwa Jamaa kabaka wakati ana record nyingi tangu ujanani za ndani na nje ya Nchi anapambania Afya yake ya nguvu za kiume