Ripoti: Uchunguzi wabaini Wachezaji wengi vijana Gabon inadaiwa wananyanyasika kingono

Hata hapa Africa inafanyika sana hii biashara na ni biashara kubwa duniani na yenye faida kubwa ,ukitoa biashara haramu ya silaha na madawa ya kulevya
 
Serekali ya ally bongo haiwezi shughulika na kesi za namna hyo
 
Hizi hadithi ukituliza akiki hupati taabu kutambua kwamba huwa zinatengenezwa tu kwa malengo mbalimbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…