Ripoti ya CAG 2021-2022: Rais Samia ataka baadhi ya mashirika yasiyo na tija kufutwa

Baada ya ripoti ya CAG Kutolewa na kueleza madudu ya GPSA, Rais Samia Hassan amependekeza taasisi hiyo ya umma ifutwe au iundwe upya.

Kwa kauli hii ya Rais bila shaka huu ni uamuzi kamili wa kuizika rasmi GPSA .

Gpsa case it is similar to ttcl. Haya mashirika yameangushwa na kitu kimoja, usimamizi na creativity 0
 
Wakikopa tena hovyo hivyo deni likafika let say 500m usd .watahamishia tena serikalini nauliza tu mkuu maana kwa mtindo huwa si nchi itafilisika kwa madeni
 
Hili shirika miaka ya 2000 lilikuwa on the same path tonsuccess They were coming good.. but then something happened.
Hili shirika limeanza kufa hata kabla ya ujio wa nape, ni mawaziri wangapi wamekuwepo kwenye hiyo position na bado no body paid attention kwa ttcl?

Nape limemuangukia but ttcl wa doomed before him. Lilikuwa suala la muda
 
Wanavaa bendera kwa lengo lakuzipumbaza mamlaka za uteuzi wakitenguliwa nafasi zao wanavaa masweta na skafu zenye rangi za bendera ya taifa.
Wanatumia mbinu nyingi kuziteka mamlaka
 
Naunga mkono mkuu

Tutafuta mangapi? Kama ni Solutions kufanya vibaya na kufuta?
 
Naunga mkono

Nashangaa tunakimbilia kutaka kuyafuta tutafuta mangapi na kitu gani tutaweza kufanya kama watanzania?

Ndio tatizo la kuwa na nchi ya wapigaji.
 
Naunga mkono mkuu

Tutafuta mangapi? Kama ni Solutions kufanya vibaya na kufuta?
Kama mashirika yanafutwa lakini walioyafilisi wafilisiwe kisha wanyongwe tusitaniane.

Watu wanapewa mamilioni ya mishahara kisha wanaiba

Stupid zao mama amewaambia
 
Naunga mkono

Nashangaa tunakimbilia kutaka kuyafuta tutafuta mangapi na kitu gani tutaweza kufanya kama watanzania?

Ndio tatizo la kuwa na nchi ya wapigaji.
Soon mtaambiwa TANESCO wazalishe tu umeme, na kuwauzia makampuni binafsi yatakayotuhudumia wateja.

Unit moja ya umeme tutanunua kwa zaidi ya alfu.
 
Naunga mkono

Nashangaa tunakimbilia kutaka kuyafuta tutafuta mangapi na kitu gani tutaweza kufanya kama watanzania?

Ndio tatizo la kuwa na nchi ya wapigaji.
Samia anapenda sana shortcut watu hawataki kabisa kuumiza kichwa kufikiria nje ya box kitu kikifanya vibaya solution yake ni kukifuta .mpaka hapa tulipo taasis ya ikulu inapaswa nayo kufutwa maana sioni tija ya kuwa nayo
 
So nape akamzuia Elon asitupe net jamani. Binafsi Mambo yangu yakiwa POA nawahama jamani nchi hii watu Wana njaa mno bado wanawanya damu wanyonge Kama swala ,wild beast mpaka washibe ndio nchi itaendelea
 
Samia anapenda sana shortcut watu hawataki kabisa kuumiza kichwa kufikiria nje ya box kitu kikifanya vibaya solution yake ni kukifuta .mpaka hapa tulipo taasis ya ikulu inapaswa nayo kufutwa maana sioni tija ya kuwa nayo
Kama vipi ifutwe tu, maana imeshindwa kuleta tija
 
Soon mtaambiwa TANESCO wazalishe tu umeme, na kuwauzia makampuni binafsi yatakayotuhudumia wateja.

Unit moja ya umeme tutanunua kwa zaidi ya alfu.
Nakubaliana na wewe mkuu.

Kwa mwendo huu itakuwa hivyo
 
Nakubaliana na wewe mkuu.

Kwa mwendo huu itakuwa hivyo
So sad. Wakati bwawa la kuzalisha umeme mto Rufiji linaanza kujengwa, tuliambiwa umeme ungepungua bei, tungeweza kupata umeme kwa sh 100 kwa unit. Sasa hivi hata waliokuwa kwenye tariff ya chini, wanaoitwa wanyonge wanaondoshwa.

2025 wasipoiba kura hawawezi kupata hata 20%.
 
Ukiangalia receipt baada ya kununua luku utaona taasisi lukuki wanabeba tozo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…