joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Brother mimi sio mjinga thread nimeisahau,matusi na ya kumbuka.Hati chafu mwaka jana? Upo serious? Unaweza kuthibitisha huu uongo wako?
Then hapo hakuna pesa imeibwa bali imetumika ila tu hakuna kikao kilikaa kuidhinisha meaning ni bureaucracy tu hazikufuatwa ila bidhaa imenunuliwa na risiti zipo otherwise angetoa hati yenye mashaka.
Ford ranger zile pick up acha uongo MkuuYa Chadema ni mitumba walinunua yard ya pale Jangwani Girls!
Mwaka jana kivp hati chafu ilikua back in 2016/17 huko tena ni gari la mbunge kununuliwa kupitia akaunti za chama na yeye akawa anakilipa chama taratibu.Brother mimi sio mjinga thread nimeisahau,matusi na ya kumbuka.
Sawa hamna pesa iliyopigwa ndio maana nikawaita MALAIKA.
Mtumba zile bwashee!Ford ranger zile pick up acha uongo Mkuu
CHADEMA ni malaika kama hutaki sawa,ila ninakumbuka nilivyo tukanwa na PM nikaifunga siongei kujifuraisha.Mwaka jana kivp hati chafu ilikua back in 2016/17 huko tena ni gari la mbunge kununuliwa kupitia akaunti za chama na yeye akawa anakilipa chama taratibu.
CHADEMA sio malaika but accounting procedures ni ngumu kwenye taasisi nyingi ila serikali na halmashauri zina control systems za gharama hatutegemei wafanye makosa hayo more so in billions!!
Ingekua pesa zimeibwa kama kule ATCL au TPA hapo tungehoji ila kama hela imetumika kihalali na risiti zipo ila tu hakukuwa na kikao basi hapo utata unakuwa solved tu.
So ukitukanwa PM ni CHADEMA kisa tu mlipingana hoja? Kuna tabia ilizuka kila anayekosoa anaonekana CHADEMA hvi ina maana huko CCM wote mnafanana mawazo yaani hakunaga hata issue moja ambayo mnatofautiana??CHADEMA ni malaika kama hutaki sawa,ila ninakumbuka nilivyo tukanwa na PM nikaifunga siongei kujifuraisha.
Hata ww machoni mwako unawaona malaika,ngojea sisi watizamaji tiwatizame MALAIKA WETU watachukua hatua gani,BAADA YA KUSINGIZIWA MAANA HAWAKOSEAGI HAWA.
Bwashee ni mpya zile na ford zina upungufu wa kodi mambo ya sadc yale...sema mzee alifichwa white mzee wanakuja na report ya CAG pazia yenyewe inabaki ofisini...Mtumba zile bwashee!
Serikali haina kukukila mtu mwizi ila mimi nikiiba kuku mbona nafungwaa
Chadema chama cha majizi
Mtimueni Mbowe sasa tujue kweli mko seriuos.
Yule taahira wa ubelegiji kwenye hili utakuta yupo kimyaa
Kama imesemwa kwenye ripoti ya CAG naamini wamefanya hivyo na ni makosa...Wanatia wasiwasi hawa watu hata kabla ya kupewa nchi wanafanya ubadhilifu wa namna hii?
Chadema kilinunua magari matano yenye thamani ya Sh. 227.43 milioni na nyumba moja Sh. 50 milioni iliyopo Serengeti bila idhini ya Baraza Kuu la Chama.
Pia, Sh.100 milioni zilitumika kwenye matumizi ya kawaida ya chama bila ya idhini ya baraza kuu la chama.
Tatizo mna mentality ya kuamini watu wa chama kimoja hawawezi kupingana.Hiyo naona ipo mpaka kwenye vyama vyetu,mtu anaye mpinga Kiongozi hata kama ana point ana onekana Msaliti au hana nidhamu.So ukitukanwa PM ni CHADEMA kisa tu mlipingana hoja? Kuna tabia ilizuka kila anayekosoa anaonekana CHADEMA hvi ina maana huko CCM wote mnafanana mawazo yaani hakunaga hata issue moja ambayo mnatofautiana??
Yes kukosea kupo mfano miaka ya Dr Slaa tulipata hati chafu sababu hatukuwa tuna value fixed asset zetu, hatukuwa tuna tunza risiti, hatukua tunatumia process za tender kupata supplier n.k ila over the years improvement zimefanyika hadi tumepata Hati inayoridhisha miaka miwili mfululizo.
Nadhani kwa hilo tuwape pongezi sio kubeza kila.kitu
million 300+ tungepata madawati kama laki 6. chadema wamekula alafu wanaita Magufuli mwiziWameiba nini Happy?
hahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaMagari 5 ya CHADEMA ............................................................................................ sh. 227M
Gari 1 la Mkurugenzi wa Halmashauri aliyesamehewa na JPM ...................... sh. 400M
million 300+ tungepata madawati kama laki 6. chadema wamekula alafu wanaita Magufuli mwizi