Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23] The most expensive patientSupika anajiumauma na kujichekesha eti Bwagamoyo bandari anaogopa jina litatoka kuuliza matibabu ya India
Watu wanahasira hatarii
Eti Wasafi nao walipewa mgao hawa mbuzi waende jela vinginevyo tusilaumiane mtaani
Mungu atawaangamiza walioikosea Tz
Jifunze Break Even Point utajua faida inavyoliwa na running cost kwenye biashara mpya...
Angalia mchoro wa BEP
View attachment 1746810
Baada ya matengenezo ilifanya kazi?FACT CHECK
Billion 3.9 ni USD ngapi? Kwa leo hii hizo ni USD 1.7 million; je kutengeneza ndege kwa bei hiyo ni gharama kubwa? Mleta hoja hajui maaana ya ndege, anafikiri ndege ni gari lake lile la mtumba wa japani.
Hata kama alitumia hizo pesa kutengenezea ndege, sawa kabisa, kuna receipts, je aliweka mfukoni kwake? Hapana, alitengeneza ndege, sasa hizo allgations zinatoka wapi??
Wapinzani mkibadirishiwa "narrative" mnarukia; Kikwete aliiba EPA na ESCROW akaweka mfukoni. Huyu katengeneza ndege. Wapi na wapi? Kikwete na Samia wanawatengenezea "Narrative" mnarukia. And they know you are stupid.
Let us talk about JPM human rights, not this Shit;
Kamuulize CAG wako muuza mapapaiBaada ya matengenezo ilifanya kazi?
Yule nae achunguzwe ikibidi atuambie ni nn aliwekewa mwilini cha aghali.Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23] The most expensive po patient
Huyu naye anapotoka sasa; majukumu yake kiktaiba ni haya matatu, hilo la kuhakikishwa watumishi wanapandishwa madaraja sio mojawapo. CAG hana jukumu la kukagua kama watu wanapandishwa madaraja labda tu kama mahesabu yataonyesha kuwa walilipwa kwa kupandishwa madaraja hayo hewa. Angalia Katiba
Halfu hii imeumiza sana watu wallah.. Wafanyakazi wote na wengi ni walioajiriwa miaka ya karibuni
Tunajadiri.. Tunaangalia kote kulikowahi hifadhiwa fedha za kupigwa ndo tunakutaja.. Masandarusi yaliwahi hifadhi pesa za ESCROW, mabenki ya nje ya nchi yetu yaliwahi hifadhi fedha na tulitajiwa tu kwa ujumla wake, na si mnakumbuka Masamaki na mihela ya kwenye ndoo zikiwa home?Ww jamaa mbona unapita mule mule
Umeuwa... MATAGA MENGINE YANAONGEAGA BILA CHEMBE YA DATAHuyu naye anapotoka sasa; majukumu yake kiktaiba ni haya matatu, hilo la kuhakikishwa watumishi wanapandishwa madaraja sio mojawapo. CAG hana jukumu la kukagua kama watu wanapandishwa madaraja labda tu kama mahesabu yataonyesha kuwa walilipwa kwa kupandishwa madaraja hayo hewa. Angalia Katiba
View attachment 1747174
Nchi hii kila mtu anataka kuonyesha power baada ya Magufuli kuondoka. Hata sheria ya CAG tena the most recent ya mwaka 2020 nayo inaweka wazi majukumu yake yanahusiana na mahesabu ya hela na mali za umma tu:
View attachment 1747178
View attachment 1747180
View attachment 1747181
Hili la watu kupanda madaraja nadhani ni namna ya kutaka kupendwa na wahanda wa kutokupanda madaraja. Point ya nyongzea za mishahara na kupanda madaraja ninaijua kuwa kila mara mishahara ilipokuwa inapanda, ama thamani ya shillingi ilikuwa inaporomoka au bei za vitu zilikuwa zinapanda.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ripoti ya CAG ni sawa na repoti ya matokeo ya final exams
Sio wote wanapata A, B, C wapo pia wa D, E....... na yote hayo ni matokeo
Tusubiri hati safi na chafu tujue wale walioPass na walioDisco
Labda kuna sababu ya kupotoka kwa maslahi mapana ya nchi na taifa kwa ujumla.. Kupandisha madaraja watumishi kunaendana na kupandishiwa mishahara na maslahi mbalimbali... Hapo ndio CAG unakuta inabidi ahusikeHuyu naye anapotoka sasa; majukumu yake kiktaiba ni haya matatu, hilo la kuhakikishwa watumishi wanapandishwa madaraja sio mojawapo. CAG hana jukumu la kukagua kama watu wanapandishwa madaraja labda tu kama mahesabu yataonyesha kuwa walilipwa kwa kupandishwa madaraja hayo hewa. Angalia Katiba
View attachment 1747174
Nchi hii kila mtu anataka kuonyesha power baada ya Magufuli kuondoka. Hata sheria ya CAG tena the most recent ya mwaka 2020 nayo inaweka wazi majukumu yake yanahusiana na mahesabu ya hela na mali za umma tu:
View attachment 1747178
View attachment 1747180
View attachment 1747181
Hili la watu kupanda madaraja nadhani ni namna ya kutaka kupendwa na wahanga wa kutokupanda madaraja. Point ya nyongzea za mishahara na kupanda madaraja ninaijua kuwa kila mara mishahara ilipokuwa inapanda, ama thamani ya shillingi ilikuwa inaporomoka au bei za vitu zilikuwa zinapanda. Lakini swala la kupanda madaraja au kufukuzwa kazi siyo mojawapo ya majukumu ya CAG iwapo vitendo hivyo havihusihiwa mataumizi mabaya ya pesa na mali za umma.
Hajaandika yoteNa happ huenda cag kapoza poza,, si alikuwaga mtu wake!
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Nimeandika kuwa anahusika tu iwapo watu hawakuandishwa madaraja, lakini fedha zilikuwa zimetengwa za kuwapandisha madaraja. Kwa hiyo hapo ndipo angeuliza kuwa watu hawakupanda madaraja lakini pesaa zimetumika. Lakini kutamka tu kuwa watu hawakupanda madaraja, jambo ambalo liko kwenye mamlaka ya utumishi ni kwenda nje ya mamlaka yake- anavunja katiba iliyomweka pale!.Labda kuna sababu ya kupotoka kwa maslahi mapana ya nchi na taifa kwa ujumla.. Kupandisha madaraja watumishi kunaendana na kupandishiwa mishahara na maslahi mbalimbali... Hapo ndio CAG unakuta inabidi ahusike
Baba mwizi watoto wezi na wajukuu weziSiku ya leo sijui tuuiteje huko; Mbaya? Au nzuri sana?
Ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali inayoendelea kusomwa muda huu si kwamba tu inawaweka CCM na watetezi wa mwendazake kwenye wakati mgumu sana, lakini tayari imechefua wananchi wengi kwa kiwango kisichomithilika...
CAG kazi yake sio kugundua wezi. Kazi hake ni kuonesha matumizi mabaya ya pesa za umma. Kama uliibiwa, kama ulipoteza au kama ziliungua hilo halimhusu.Nimeandika kuwa anahusika tu iwapo watu hawakuandishwa madaraja, lakini fedha zilikuwa zimetengwa za kuwapandisha madaraja. Kwa hiyo hapo ndipo angeuliza kuwa watu hawakupanda madaraja lakini pesaa zimetumika. Lakini kutamka tu kuwa watu hawakupanda madaraja, jambo ambalo liko kwenye mamlaka ya utumishi ni kwenda nje ya mamlaka yake- anavunja katiba iliyomweka pale!..
Na hapa bado ripoti ya July 2020 mpaka March 2021 itakuwa mbaya sana... Mtulie wananchi wafurahie matunda ya Demokrasia ambayo waliyakosa muda mrefu..