Ripoti ya CAG imefichua madudu mengi ya awamu ya tano, kulikuwa na ufisadi wa kutisha

Toka aingie madarakani hayati Magufuli alikuwa ni mkali na Tumbua-tumbua ndio ilikuwa "action" ya mwisho kwake.

Nashangaa pamoja na hayo,bado pesa za umma zilikuwa zinaibiwa.

Yamkini tunahitaji katiba mpya inayoendana na matatizo yetu mapya ikiwemo kutafuta Suluhu ya Ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma.

Maendeleo yana chama(CCM).
 
Hii ripoti ya CAG imetuonyesha,kutufundisha na kutuonya kuwa tunahitaji taasisi imara na siyo mtu mmoja mwizi na fisadi anayejidai na kujinadi imara.

Kwa ushahidi wa ripoti hii ya CAG Magufuli alikuwa ni kiongozi populist ambae alikuwa ni mwizi,fisadi na mzembe wa mali za uma aliekuwa anajificha kwenye chaka la siasa za propaganda ili kuaminika.
 
Subirini ripoti ya CAG mwakani muone km itakuwa na utofauti na hii ya mwaka huu. Mara zote ripoti ya CAG huwa ni ya ivo ivo tu.
 
Toka aingie madarakani hayati Magufuli alikuwa ni mkali na Tumbua-tumbua ndio ilikuwa "action" ya mwisho kwake.

Nashangaa pamoja na hayo,bado pesa za umma zilikuwa zinaibiwa.

Yamkini tunahitaji katiba mpya inayoendana na matatizo yetu mapya ikiwemo kutafuta Suluhu ya Ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma.

Maendeleo yana chama(CCM).
Ye alifikiki ukali ndo itazuia rushwa kumbe ni system
Muogope baba mkali sana ndani ya nyumba
Kuna lake anaficha
 
ÙKuna mambo mengi sana yanafikirisha kwenye hili sakata jipya la ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kuhusu kuibua madudu mengi ambayo serikali iliyokuwa chini ya hayati JPM yamejitokeza...
Ukweli ni kuwa katika awamu nne kati ya tano ukiondoa awamu ya Nyerere ambapo ilikuwepo rushwa ndogo ndogo tu, awamu zingine kulikuwa na ufisadi wa kutisha. Wakati wa mzee Ruksa ufisadi kama wa kuuza mashirika ya umma kwa bei ya kutupa, kutokusanya kodi kwa wafanyabiashara ambapo tabaka la wafanyabiashara mabilionea ndipo lilipotokea baada ya wengi wao kupiga madili ya kugawana mali za umma kwa kushirikiana na baadhi ya mawaziri na maafisa, ubadhifu na wizi wa fedha za umma nk.

Wakati wa awamu ya uwazi na ukweli wimbi la kuuza mashirika ya umma kwa bei ya kutupa, mikataba mibovu hasa kwenye madini ndipo ilipishamiri licha ya awamu hiyo kujenga mifumo ya kitaasisi na kuleta nidhamu katika makusanyo ya kodi na matumizi kiasi cha kurudisha imani ya wafadhili, IMF na World bank. Hadi ilifikia Nyerere kushutumu uuzaji wa mashirika hata yale yalikuwa yanatengeneza faida.

Wakati wa awamu ya nne ilikuwa ndiyo mama wa mikataba mibovu ya mabilioni na matrilioni tena mingine ikipitishwa kwa hati ya dharura . Miradi ya nadini, gesi, mafuta, uzalishaji umeme nk ambayo athari zake zitadumu hata baada ya kizazi chetu ndipo ilipopitishwa. Miradi hewa au iliyojengwa chini kabisa ya viwango huko halmashauri zote ilishaniri sana. Kipindi hicho ndicho anbapo wafanyabiashara mafisadi walicontrol sana serikali, kila mara walionekana katika viunga vywa maofisi ya wizara wakifuatilia madili. Kipindi hiki ndipo maafisa wengi wa serikali wakiwemo wakurugenzi, makatibu wakuu, mawaziri na maafisa wa kawaida walitengeneza ubilionea na umilionea. Ndipo kipindi mahekalu ya mamilioni yalichipuka huko pembezoni mwa miji, vijijini na wilayani yote yakimilikiwa na maafisa hao.

Kipindi hiki cha JK ndipo sheria ya uwazi jatika ripoti ya CAG ilipopitishwa na madudu mengi kuanza kuanikwa. Kwa kumbukumbu zangu toka ripiti za CAG zianze kuwekwa hadharani, hakuna hata ripoti moja ambayo haionyeshi madudu ndani yake.

Sasa awamu ya JPM ripoti ya CAG imeanika ubadhirifu katika baadhi ya maeneo kama ambavyo ripoti za nyuma wakati wa JK zikivyoanika madudu mbalimbali. Lakini sasa wabaya wa JPM wanamshutumu kana kwamba yeye binafsi ndiye aliyetenda. Kila sehemu iliyotajwa ina watendaji: mkurugenzi mkuu, mkkuu wa idara ambaye ndiye mtekelezaji wa kazi fulani iliyibadhiriwa, mkaguzi wa ndani, mhasibu mkuu, Afisa ugavi ambaye ndiye anafanya procurement sasa hawa ndio wa kuwajibishwa. Inatakiwa TAKUKURU au polisi waingie kufanya uchunguzi na ikionekana kuna watu wamehusika wapelekwe mahakamani, huo ndio mkondo wa kufuatwa.

Sasa wapinzani wa JPM, yale majizi ya awamu ilyopita ambayo yalikwamishwa kufanya ufisadi ndio wana exploit hiyo ripoti kumshambulia JPM kana kwamba yeye binafsi ndiye ameiba.

Pia kuna wale ambao baadhi yao walikuwa madarakani na wakimuunga mkono sana tena hadharani nao sasa wamegeuka na kumkosoa. Hawa wanafanya hivyo ili kulinda maslahi yao binafsi kwa Rais mpya ili waò wasiondolewe katika position zao. Kuna msemo kuwa: Yule anayemsaliti mtu mbele yako, pia anaweza kukusaliti wewe mbele ya mwingine.

Mimi maoni yangu binafsi Rais angewaondoa katika nafasi zao hao walioko madarakani ambao sasa wanamkosoa JPM wakati huko nyuma walimsifia sana na hata baadhi yao kupiga debe aongezewe muda. Rais awaondoe ili aweke timu yake itakayomsaidia kwa kumshauri kwa uadililifu pale inapobidi badala ya wanafiki hao ambao nao siku moja SSH akitoka madarakani wanaweza kurudia kukosoa utendaji wake kama wanavyofanya sasa kwa JPM.
 
Unapovaa nguo za utakatifu halafu tukayaona yasiyostahiki nyumbani kwako, lazima kesi yako itakuwa kubwa na itavuma sana.
Heri wale waliosema kuwa wanajaribu tu kujitakasa ,lakini wkakirikuwa kazi ni ngumu , wasaidiwe na wapinzania kuziba myanya ya wizi.
Kazi hii ilifanywa vizuri wakati wa Kikwete kwa kuibuliwa sakata la Richmond,Epa, Escrow NK ,ni wapinzania waliibua haya na serikali ikawajibika kuchukua hatua mapema kadiri ilivyowezekana..

Lakini jiwe alimtisha kila mtu, hata vyombo vya habari vilitishwa kutowa taarifa za ubadhirifu Serikalini kwa vile tuliaminishwa kuwa serikali ya Jiwe ni Takatifu
Kwa taarifa hii ya CAG ,JPM hawezi kukwepa lawama ,kw vile yeyendiye alikuwa mkuu wa serikali, na zaidi hakutaka kukosolewa au kusaidiwa pale jicholake lisipoona.
Yeye hakuwa Mwizi, bali alikuwa na nia njema kwa taifa , lakini watendaji wake walimuangusha, na kwa vile hakutaka usaidizi, hapo ndio anapobeba lawama.
 
Attachments

  • UKUTA WA MERERANI.mp4
    6.2 MB
  • HELA YA SERIKALI HAIPOTEI (JPM).mp4
    3.1 MB
Shida yetu kubwa ni kwamba tunapojadili haya mambo hatuji na masuluhisho. Na kila mwaka ni yale yale. Upigaji wa kutisha!

Kama jamii tufanye nini ili kuikomesha hali hii? Tunawezaje kuukomesha ufisadi? Kwa nini viongozi wetu wanakuwa hivi? Tufanye nini?

Mwendazake keshalala. Hata tukipopoa mawe na kucharaza bakora kaburi lake hatatusikia. Kimbembe ni kwetu tuliobakia. Ni kweli hatuwezi kuikomesha hali hii?
Mkuu naona ukosefu wa uwajibikaji kwa wapiga kura ndio tatizo kubwa la nchi yetu. Mtu akipata madaraka anakuwa Mungu mtu, hakuna wa kumwajibisha hata wapiga kura wale wale waliomweka madarakani wananyimwa fursa ya kumwajibisha.

Kura zina pigwa lakini mwesabu kura ndiye anayachagua. Hata haki ya kumchagua mjumbe wa nyumba kumi kumi wananchi wanaporwa. Katiba nzuri na kujenga taasisi imara ni mambo ya kupewa kipaumbele, laa sivyo itakuwa wimbo huu huu miaka nenda rudi.
 
Ukweli ni kuwa katika awamu nne kati ya tano ukiondoa awamu ya Nyerere ambapo ilikuwepo rushwa ndogo ndogo tu, awamu zingine kulikuwa na ufisadi wa kutisha. Wakati wa mzee Ruksa ufisadi kama wa kuuza mashirika ya umma kwa bei ya kutupa, kutokusanya kodi kwa wafanyabiashara ambapo tabaka la wafanyabiashara mabilionea ndipo lilipotokea baada ya wengi wao kupiga madili ya kugawana mali za umma kwa kushirikiana na baadhi ya mawaziri na maafisa, ubadhifu na wizi wa fedha za umma nk.

Wakati wa awamu ya uwazi na ukweli wimbi la kuuza mashirika ya umma kwa bei ya kutupa, mikataba mibovu hasa kwenye madini ndipo ilipishamiri licha ya awamu hiyo kujenga mifumo ya kitaasisi na kuleta nidhamu katika makusanyo ya kodi na matumizi kiasi cha kurudisha imani ya wafadhili, IMF na World bank. Hadi ilifikia Nyerere kushutumu uuzaji wa mashirika hata yale yalikuwa yanatengeneza faida.

Wakati wa awamu ya nne ilikuwa ndiyo mama wa mikataba mibovu ya mabilioni na matrilioni tena mingine ikipitishwa kwa hati ya dharura . Miradi ya nadini, gesi, mafuta, uzalishaji umeme nk ambayo athari zake zitadumu hata baada ya kizazi chetu ndipo ilipopitishwa. Miradi hewa au iliyojengwa chini kabisa ya viwango huko halmashauri zote ilishaniri sana. Kipindi hicho ndicho anbapo wafanyabiashara mafisadi walicontrol sana serikali, kila mara walionekana katika viunga vywa maofisi ya wizara wakifuatilia madili. Kipindi hiki ndipo maafisa wengi wa serikali wakiwemo wakurugenzi, makatibu wakuu, mawaziri na maafisa wa kawaida walitengeneza ubilionea na umilionea. Ndipo kipindi mahekalu ya mamilioni yalichipuka huko pembezoni mwa miji, vijijini na wilayani yote yakimilikiwa na maafisa hao.

Kipindi hiki cha JK ndipo sheria ya uwazi jatika ripoti ya CAG ilipopitishwa na madudu mengi kuanza kuanikwa. Kwa kumbukumbu zangu toka ripiti za CAG zianze kuwekwa hadharani, hakuna hata ripoti moja ambayo haionyeshi madudu ndani yake.

Sasa awamu ya JPM ripoti ya CAG imeanika ubadhirifu katika baadhi ya maeneo kama ambavyo ripoti za nyuma wakati wa JK zikivyoanika madudu mbalimbali. Lakini sasa wabaya wa JPM wanamshutumu kana kwamba yeye binafsi ndiye aliyetenda. Kila sehemu iliyotajwa ina watendaji: mkurugenzi mkuu, mkkuu wa idara ambaye ndiye mtekelezaji wa kazi fulani iliyibadhiriwa, mkaguzi wa ndani, mhasibu mkuu, Afisa ugavi ambaye ndiye anafanya procurement sasa hawa ndio wa kuwajibishwa. Inatakiwa TAKUKURU au polisi waingie kufanya uchunguzi na ikionekana kuna watu wamehusika wapelekwe mahakamani, huo ndio mkondo wa kufuatwa.

Sasa wapinzani wa JPM, yale majizi ya awamu ilyopita ambayo yalikwamishwa kufanya ufisadi ndio wana exploit hiyo ripoti kumshambulia JPM kana kwamba yeye binafsi ndiye ameiba.

Pia kuna wale ambao baadhi yao walikuwa madarakani na wakimuunga mkono sana tena hadharani nao sasa wamegeuka na kumkosoa. Hawa wanafanya hivyo ili kulinda maslahi yao binafsi kwa Rais mpya ili waò wasiondolewe katika position zao. Kuna msemo kuwa: Yule anayemsaliti mtu mbele yako, pia anaweza kukusaliti wewe mbele ya mwingine.

Mimi maoni yangu binafsi Rais angewaondoa katika nafasi zao hao walioko madarakani ambao sasa wanamkosoa JPM wakati huko nyuma walimsifia sana na hata baadhi yao kupiga debe aongezewe muda. Rais awaondoe ili aweke timu yake itakayomsaidia kwa kumshauri kwa uadililifu pale inapobidi badala ya wanafiki hao ambao nao siku moja SSH akitoka madarakani wanaweza kurudia kukosoa utendaji wake kama wanavyofanya sasa kwa JPM.
Mimi maoni yangu binafsi Rais angewaondoa katika nafasi zao hao walioko madarakani ambao sasa wanamkosoa JPM wakati huko nyuma walimsifia sana na hata baadhi yao kupiga debe aongezewe muda.

Rais awaondoe ili aweke timu yake itakayomsaidia kwa kumshauri kwa uadililifu pale inapobidi badala ya wanafiki hao ambao nao siku moja SSH akitoka madarakani wanaweza kurudia kukosoa utendaji wake kama wanavyofanya sasa kwa JPM.[emoji1752][emoji1752][emoji1752][emoji1534]
 
Ukweli ni kuwa katika awamu nne kati ya tano ukiondoa awamu ya Nyerere ambapo ilikuwepo rushwa ndogo ndogo tu, awamu zingine kulikuwa na ufisadi wa kutisha. Wakati wa mzee Ruksa ufisadi kama wa kuuza mashirika ya umma kwa bei ya kutupa, kutokusanya kodi kwa wafanyabiashara ambapo tabaka la wafanyabiashara mabilionea ndipo lilipotokea baada ya wengi wao kupiga madili ya kugawana mali za umma kwa kushirikiana na baadhi ya mawaziri na maafisa, ubadhifu na wizi wa fedha za umma nk.

Wakati wa awamu ya uwazi na ukweli wimbi la kuuza mashirika ya umma kwa bei ya kutupa, mikataba mibovu hasa kwenye madini ndipo ilipishamiri licha ya awamu hiyo kujenga mifumo ya kitaasisi na kuleta nidhamu katika makusanyo ya kodi na matumizi kiasi cha kurudisha imani ya wafadhili, IMF na World bank. Hadi ilifikia Nyerere kushutumu uuzaji wa mashirika hata yale yalikuwa yanatengeneza faida.

Wakati wa awamu ya nne ilikuwa ndiyo mama wa mikataba mibovu ya mabilioni na matrilioni tena mingine ikipitishwa kwa hati ya dharura . Miradi ya nadini, gesi, mafuta, uzalishaji umeme nk ambayo athari zake zitadumu hata baada ya kizazi chetu ndipo ilipopitishwa. Miradi hewa au iliyojengwa chini kabisa ya viwango huko halmashauri zote ilishaniri sana. Kipindi hicho ndicho anbapo wafanyabiashara mafisadi walicontrol sana serikali, kila mara walionekana katika viunga vywa maofisi ya wizara wakifuatilia madili. Kipindi hiki ndipo maafisa wengi wa serikali wakiwemo wakurugenzi, makatibu wakuu, mawaziri na maafisa wa kawaida walitengeneza ubilionea na umilionea. Ndipo kipindi mahekalu ya mamilioni yalichipuka huko pembezoni mwa miji, vijijini na wilayani yote yakimilikiwa na maafisa hao.

Kipindi hiki cha JK ndipo sheria ya uwazi jatika ripoti ya CAG ilipopitishwa na madudu mengi kuanza kuanikwa. Kwa kumbukumbu zangu toka ripiti za CAG zianze kuwekwa hadharani, hakuna hata ripoti moja ambayo haionyeshi madudu ndani yake.

Sasa awamu ya JPM ripoti ya CAG imeanika ubadhirifu katika baadhi ya maeneo kama ambavyo ripoti za nyuma wakati wa JK zikivyoanika madudu mbalimbali. Lakini sasa wabaya wa JPM wanamshutumu kana kwamba yeye binafsi ndiye aliyetenda. Kila sehemu iliyotajwa ina watendaji: mkurugenzi mkuu, mkkuu wa idara ambaye ndiye mtekelezaji wa kazi fulani iliyibadhiriwa, mkaguzi wa ndani, mhasibu mkuu, Afisa ugavi ambaye ndiye anafanya procurement sasa hawa ndio wa kuwajibishwa. Inatakiwa TAKUKURU au polisi waingie kufanya uchunguzi na ikionekana kuna watu wamehusika wapelekwe mahakamani, huo ndio mkondo wa kufuatwa.

Sasa wapinzani wa JPM, yale majizi ya awamu ilyopita ambayo yalikwamishwa kufanya ufisadi ndio wana exploit hiyo ripoti kumshambulia JPM kana kwamba yeye binafsi ndiye ameiba.

Pia kuna wale ambao baadhi yao walikuwa madarakani na wakimuunga mkono sana tena hadharani nao sasa wamegeuka na kumkosoa. Hawa wanafanya hivyo ili kulinda maslahi yao binafsi kwa Rais mpya ili waò wasiondolewe katika position zao. Kuna msemo kuwa: Yule anayemsaliti mtu mbele yako, pia anaweza kukusaliti wewe mbele ya mwingine.

Mimi maoni yangu binafsi Rais angewaondoa katika nafasi zao hao walioko madarakani ambao sasa wanamkosoa JPM wakati huko nyuma walimsifia sana na hata baadhi yao kupiga debe aongezewe muda. Rais awaondoe ili aweke timu yake itakayomsaidia kwa kumshauri kwa uadililifu pale inapobidi badala ya wanafiki hao ambao nao siku moja SSH akitoka madarakani wanaweza kurudia kukosoa utendaji wake kama wanavyofanya sasa kwa JPM.
Mkuu ni kweli upigaji ulikuwepo awamu zote, lakini angalau wananchi walielezwa. Tatizo la JPM madudu yalifukiwa chini ya kapeti na wananchi tukaaminishwa kuwa kila kitu kilikuwa sawa. Sasa hayupo ndio mambo yanatoka hadharani. Kama taifa tunapaswa kujua kuwa bila taasisi imara, uwajibikaji utazidi kuwa ndoto.
 
Unapovaa nguo za utakatifu halafu tukayaona yasiyostahiki nyumbani kwako, lazima kesi yako itakuwa kubwa na itavuma sana.
Heri wale waliosema kuwa wanajaribu tu kujitakasa ,lakini wkakirikuwa kazi ni ngumu , wasaidiwe na wapinzania kuziba myanya ya wizi.
Kazi hii ilifanywa vizuri wakati wa Kikwete kwa kuibuliwa sakata la Richmond,Epa, Escrow NK ,ni wapinzania waliibua haya na serikali ikawajibika kuchukua hatua mapema kadiri ilivyowezekana..

Lakini jiwe alimtisha kila mtu, hata vyombo vya habari vilitishwa kutowa taarifa za ubadhirifu Serikalini kwa vile tuliaminishwa kuwa serikali ya Jiwe ni Takatifu
Kwa taarifa hii ya CAG ,JPM hawezi kukwepa lawama ,kw vile yeyendiye alikuwa mkuu wa serikali, na zaidi hakutaka kukosolewa au kusaidiwa pale jicholake lisipoona.
Yeye hakuwa Mwizi, bali alikuwa na nia njema kwa taifa , lakini watendaji wake walimuangusha, na kwa vile hakutaka usaidizi, hapo ndio anapobeba lawama.
Mgawanyo wa madaraka na uwajibikaji... Mtu mmoja hawezi kuwa na uwezo wa Ku handle kila kitu, ndio maana hata Mungu pamoja na ukuu wake lakini alikuwa na wasaidizi aliowaamini
 
Mkuu ni kweli upigaji ulikuwepo awamu zote, lakini angalau wananchi walielezwa. Tatizo la JPM madudu yalifukiwa chini ya kapeti na wananchi tukaaminishwa kuwa kila kitu kilikuwa sawa. Sasa hayupo ndio mambo yanatoka hadharani. Kama taifa tunapaswa kujua kuwa bila taasisi imara, uwajibikaji utazidi kuwa ndoto.
Hili ndio kosa lake kubwa na kule kushambulia kila aliyejaribu kumwambia ukweli
 
Shida yetu kubwa ni kwamba tunapojadili haya mambo hatuji na masuluhisho. Na kila mwaka ni yale yale. Upigaji wa kutisha!

Kama jamii tufanye nini ili kuikomesha hali hii? Tunawezaje kuukomesha ufisadi? Kwa nini viongozi wetu wanakuwa hivi? Tufanye nini?

Mwendazake keshalala. Hata tukipopoa mawe na kucharaza bakora kaburi lake hatatusikia. Kimbembe ni kwetu tuliobakia. Ni kweli hatuwezi kuikomesha hali hii?
Bila shaka sheria zipo let them rot in the prisons.Na kama wanaoneana aibu wajiuzulu mara moja.
 
Ripoti ya CAG ni sawa na repoti ya matokeo ya final exams
Sio wote wanapata A, B, C wapo pia wa D, E....... na yote hayo ni matokeo

Tusubiri hati safi na chafu tujue wale walioPass na walioDisco
Aiseee una roho ngumu mama D
 
Back
Top Bottom