Ripoti ya Upambanaji wa rushwa na Ufisadi kimataifa - Tanzania yang'ara

Rushwa inapingwa kwa mfumo na sio kwa mtu mmoja mmoja
 
Hakika Mama anaupiga mwingi kwelikweli,
 
Labda kula kwa urefu wa kwamba zao unasaidia. Maana hawavimbewi.
 
Wanaohoji rushwa na ufisadi vimepunguaje ni kwamba awamu hii hakuna TZS 1.5Trilioni zimepotea,
 
Kazi iendelee Tanzania
 
Haipaswi kumsifia raisi pekee , swala la rushwa ni la kila mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…