Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
- Thread starter
-
- #81
Tuko pamoja kiongozi, Tunampenda Rais Samia sana,Mkuu Mwananchi Huru,
Nimekuelewa vizuri sana hasa aya mbili za mwisho,
Nikweli kabisa rushwa inapingwa kwa kuwaacha Whistloblowers huru ili kila wanapoona dalili za rushwa kusema haraka,
Nimekuwa nawaambia Watanzania kama kuna wakati Tanzania imepata Rais Mweledi basi ni sasa,
π€£π€£Watu wanasema eti awamu ya sita ndio inaufisadiTZS 1.5T
sana kabisaHakika Mama anaupiga mwingi kwelikweli,
Halafu huyu aliyekuja pale wizarani kwa sasa mh! ni hatareeSubiri kidogo,mgao wa umeme unakuja.ndio utajua tz ni ufisadi mtupu
Kafanya kipi kibaya mkuu?Halafu huyu aliyekuja pale wizarani kwa sasa mh! ni hataree
Mr. Slow ..Nenda polisi,halmashauri au hospitali ya karibu utapata jibu au kama vipi mtembele mwenyekiti wako wa mtaa kwa huduma nyepesi kama mhuri tu utapata jibu.Utafiti huwa unapingwa kwa utafiti.Tuleteeni ripoti yenu inayopinga ripoti hii.
Mengine yote ni uzushi na majungu.
Unaelewa maana ya utafiti. Hakuna Nchi duniani imefanikiwa kumaliza rushwa kwa kiwango cha 100%.Mr. Slow ..Nenda polisi,halmashauri au hospitali ya karibu utapata jibu au kama vipi mtembele mwenyekiti wako wa mtaa kwa huduma nyepesi kama mhuri tu utapata jibu.
Nadharia tu hii nadhaniMr. Slow ..Nenda polisi,halmashauri au hospitali ya karibu utapata jibu au kama vipi mtembele mwenyekiti wako wa mtaa kwa huduma nyepesi kama mhuri tu utapata jibu.
Nimekuelewa kwa 100% mkuu wangu,Unaelewa maana ya utafiti. Hakuna Nchi duniani imefanikiwa kumaliza rushwa kwa kiwango cha 100%.
Hata Singapore, Finland ,New Zealand na Sweden bado zinapambana kuzuia rushwa.
Rushwa ni matokeo ya wananchi kutokujua haki zao,vipato vidogo na mmomonyoko wa maadili na wahusika kutotimiza wajibu wao.
Utafiti hupingwa kwa utafiti.Kusema azuru hizo sehemu sio picha halisi ya hali ilivyo Nchini.
Utafiti unaonyesha rushwa imepungua kidogo. Kupinga huu utafiti njoo na data sio stori za kahawa.
Lete data acha kutumia jua kubashiri,Kilaza mkubwa sana,,Rushwa kwq sasa iko juu
Ki
kazi iendeee Tanzania,Rais kawatumbua waliokula kushinda urefu wa kamba zao ππ
Bonyeza *#2117#, jina litakuja HangayaUkitaka Kujitoa kuangalia Vichekeshohivi ubonyeze Ngapi
DaaahBonyeza *#2117#, jina litakuja Hangaya
1. Hata KAMA ningekuwa sijui maana ya utafiti hiyo siyo sababu ya kubali report mbovu kama mjinga fulani hivi. 2. Hata usidhubutu kulinganisha nchi kama Sngapore etc na Tz kwenye kupambana na rushwa, utaishia kuleta mjadala mwingine hapa. 3. Haupo sawa kichwani kama unasifia ripoti ya tafiti isiyokwa na uhalisia na kinachoendelea kwenye ground.Unaelewa maana ya utafiti. Hakuna Nchi duniani imefanikiwa kumaliza rushwa kwa kiwango cha 100%.
Hata Singapore, Finland ,New Zealand na Sweden bado zinapambana kuzuia rushwa.
Rushwa ni matokeo ya wananchi kutokujua haki zao,vipato vidogo na mmomonyoko wa maadili na wahusika kutotimiza wajibu wao.
Utafiti hupingwa kwa utafiti.Kusema azuru hizo sehemu sio picha halisi ya hali ilivyo Nchini.
Utafiti unaonyesha rushwa imepungua kidogo. Kupinga huu utafiti njoo na data sio stori za kahawa
Endelea kudhani. Sisi tunayaishi.Nadharia tu hii nadhani
Wewe kinachokufanya usiikubali ripoti hii ya kitafiti ni nini?1. Hata KAMA ningekuwa sijui maana ya utafiti hiyo siyo sababu ya kubali report mbovu kama mjinga fulani hivi. 2. Hata usidhubutu kulinganisha nchi kama Sngapore etc na Tz kwenye kupambana na rushwa, utaishia kuleta mjadala mwingine hapa. 3. Haupo sawa kichwani kama unasifia ripoti ya tafiti isiyokwa na uhalisia na kinachoendelea kwenye ground.
Unajua kusoma?Hiyo ripoti ya kimataifa iliyofanywa na wataalamu wa kupambana na rushwa.1. Hata KAMA ningekuwa sijui maana ya utafiti hiyo siyo sababu ya kubali report mbovu kama mjinga fulani hivi. 2. Hata usidhubutu kulinganisha nchi kama Sngapore etc na Tz kwenye kupambana na rushwa, utaishia kuleta mjadala mwingine hapa. 3. Haupo sawa kichwani kama unasifia ripoti ya tafiti isiyokwa na uhalisia na kinachoendelea kwenye ground.
Unaongea mambo yakweli kabisaUnajua kusoma?Hiyo ripoti ya kimataifa iliyofanywa na wataalamu wa kupambana na rushwa.
Wewe unakurupuka World Transparency ni shirika linalotambulika na kuheshimika na linapotoa CPI serikali huwa zinaifanyia kazi ripoti yao.
Kuhusu Singapore sikulinganisha bali nilielezea kuhusu ugumu wa kupiga vita rushwa ndio nikatoa mfano wa Singapore.
Jifunze kusoma na uelewe unachosoma.