Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mwaka wa Fedha 2019/2020

Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mwaka wa Fedha 2019/2020

Mbona kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii sijaona ile habari ya wao kulipwa mil 600?
Kumbe zile harakati za kuimba mapambio ya awamu ya 5 hazikuwa bure eeh.

Wamereport na wametoa majibu na wameweka wazi kabisa risiti za malipo wanazo na kama CAG au wizara wanahitaji watatoa ushirikiano!
 
2531624_IMG-20200921-WA0009.jpg

Mbona zililiwa mchana kweupe
 
Inauma sana yaliofichuliwa na CAG. Sasa kulikuwa na haja gani ya kuwafukuza kazi wenye vyeti feki na kubomolea watu nyumba zao? Bora limeenda zake huko.
kila binadamu ana mapungufu yake. Sio ustaarabu kufurahia kifo au matatizo ya binadamu mwenzio
 
Wamereport na wametoa majibu na wameweka wazi kabisa risiti za malipo wanazo na kama CAG au wizara wanahitaji watatoa ushirikiano!
Yaan ulivyo zuzu ,ww maovu na ufisadi wa utawala wa magufuli unaona kama anasingiziwa,
 
Wametoa majibu ambayo tunazidi kujiuliza kuna nguvu gani nyuma ya haya? Seems a lot is happening huko ndani ...
 
Kuna hii kitu inaitwa wasafi
Baba levo nae eti Ni mchambuzi wa ripoti ya CAG
 
kwakweli nini hasira sana,.....yaaani fedha zetu zinaliwa tu na watu wajanja wachache halafu huku watanzania wengi wakitaabika duh!!
hatua za kisheria zichukuliwe haraka.
 
Back
Top Bottom