johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa unyenyekevu mkubwa nawaomba uongozi wa Jf mtuwekee ripoti yote ya CAG ya mwaka 2019/20 ili tuweze kuichambua.
Ikumbukwe kuwa hapa Jamii Forum ndio sehemu pekee Rais Samia anaweza kupata ushauri sahihi kabisa kwa sababu members ni watu wa mirengo yote, vyama vyote na wasio na vyama, dini na makabila yote.
Kwa sasa bungeni ni kama wako CCM peke yao hivyo hawawezi kuichambua ripoti kwa haki na hasa ukizingatia sifa za kuwa mbunge.
Nawasilisha!