Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mwaka wa Fedha 2019/2020

Kwa unyenyekevu mkubwa nawaomba uongozi wa Jf mtuwekee ripoti yote ya CAG ya mwaka 2019/20 ili tuweze kuichambua.

Ikumbukwe kuwa hapa Jamii Forum ndio sehemu pekee Rais Samia anaweza kupata ushauri sahihi kabisa kwa sababu members ni watu wa mirengo yote, vyama vyote na wasio na vyama, dini na makabila yote.

Kwa sasa bungeni ni kama wako CCM peke yao hivyo hawawezi kuichambua ripoti kwa haki na hasa ukizingatia sifa za kuwa mbunge.

Nawasilisha!
 
Ukisikia watu wanapindua meza ndio kama hivi. Kichere alipewa uCAG kama underdog tu baada ya Assad kutumbuliwa/kustafishwa kimaagumashi. Watu walimdharau Kichere ila kwa ripoti hii, Kichere kamfunika Assad parefu sana.
Assad anakumbukwa kwa 1.5Trilioni tu ila Kichere ni mabilioni, Trilioni na Mazilioni.

Ubao unasoma:
Kichere 3: Assad 1.
 
Hadi sasa
mataga 0
Kichere 3

Nadhani mada yako ingesomeka hivyo.
images (24).jpeg
 
Ukisikia watu wanapindua meza ndio kama hivi. Kichere alipewa uCAG kama underdog tu baada ya Assad kutumbuliwa/kustafishwa kimaagumashi. Watu walimdharau Kichere ila kwa ripoti hii, Kichere kamfunika Assad parefu sana.
Assad anakumbukwa kwa 1.5Trilioni tu ila Kichere ni mabilioni, Trilioni na Mazilioni.

Ubao unasoma:
Kichere 3: Assad 1.
Humjui Asaad wewe
 
Sijajua umetumia vigezo gani kufanya hii comparison

Anyway najua hii ni akili ya Kimataga Mataga
 
Ukisikia watu wanapindua meza ndio kama hivi. Kichere alipewa uCAG kama underdog tu baada ya Assad kutumbuliwa/kustafishwa kimaagumashi. Watu walimdharau Kichere ila kwa ripoti hii, Kichere kamfunika Assad parefu sana.
Assad anakumbukwa kwa 1.5Trilioni tu ila Kichere ni mabilioni, Trilioni na Mazilioni.

Ubao unasoma:
Kichere 3: Assad 1.

Kwanini Assad
 
Nadhani una mahaba na Kichere hadi umetoa hayo matokeo. Binafsi bado naamini Kichere ali edit report yake, kama mwamba angekua HAI asingetusomea hayo, mfano ni ya ATCL, kwanza hakuruhusiwa hata kukagua, as far as i know, ATCL ilihamishiwa Ikulu na sio wizara ya uchukuzi.

Assad anapongezwa kwa ujasiri wake, alipindua meza akijua kabisa mkulu hapendi kukosolewa, hata baada ya kupigwa vijembe na serikali na bunge, bado aliweza kufanya press conference na kutuelezea alicho kiona; alicho kifanya Kichere sasa hivi Mhasibu yeyote hasa Auditor angeweza kukifanya, Kichere hana ujasiri, Assad anaujasiri, katikati ya kiza, yeye aliendelea kuzungumza anacho kiamini hadi siku anaondoka ofisini.
 
Mtu ni mfanyakazi serikalini, hajaongezwa mshahara kwa miaka sita. CAG anaonyesha kikundi cha watu wachache kilikua kinafaidi keki ya Taifa. Yaani hata kutetea maslai yako ya kutokuongezwa mshahara unashindwa kisa CCM ndio Chama chako!

Uzalendo wa sasa ni sawa na ujambazi, unyang'anyi, uporaji, unafiki, ujangili na unyang'au. Ukiambiwa wewe sio mzalendo kafanye sherehe na toa sadaka ya shukrani.

Uzalendo sio kupenda rais au kumchukia, uzalendo sio kupenda serikali au kuichukia ila uzalendo ni kuipenda nchi yako na rasilimali zake watu na viumbe na vitu vyote na kusimamia ukweli na kuwa accountable hasa civil servant akiwa hata na rumors za ufisadi kushughulikiwa.

Honest question: Hivi Mataga and apologists brigade mnajisikiaje sasa?

Ukiona kiongozi anatumia nguvu kubwa kuzuia watu wasiongee basi ujue kuna maovu mengi anafanya so anajua akiruhusu watu waongee maovu yake yatajulikana.

Ukweli huenda sambamba na Uwazi, lakini kama mtu hataki kua muwazi ni wazi kabisa mtu huyo sio MKWELI.

Bodi ya wakurugenzi ATCL haina mwenye uzoefu hata mmoja na mlitaka endesha kwa faida? Halafu akina sie pangu pakavu tukipeleka CV tunaambiwa uzoefu miaka 5. Lakini bado kuna watu watasema marehemu hawampendi.

IMG_20210410_093721.jpg

View attachment 1748159

Hawa waliokuwa wanalipwa posho ndefu ndio walikuwa praise team wazuri kisa walikuwa wanapata green pasture. Bongo hii wanaopata mteremko huona ujinga kutetea masilahi ya wengine
Profesa Mbarawa alisimamia Ujenzi wa Chato Airport.
Profesa Kabudi aliwasilisha SHERIA ya HESLB ya 2016.
Wameacha alama wazalendo hawa?

Umechindwa kutetea hata haya?
 
Hiyo CIA ni hasara kwa taifa Sasa utabaki kiwanja Cha kuchungia mbuzi, hyo ilikuwa poor allocation of resources kabisa.

Hyo ya HESLB ni kinyume hata Cha Sheria ya nchi kuhusu makato ya mtumishi na aliyepeleka hvo ni Prof mzima anayezini na wake za watu huko nje. Nilitamani Samia ampumzishe huyu mzee wa mijicho maana anatesa Sana watumishi Mara ulipe Deni halipungui plus retention fee hyo yote alifanya kumfuraisha jiwe.
 
Hiyo CIA ni hasara kwa taifa Sasa utabaki kiwanja Cha kuchungia mbuzi, hyo ilikuwa poor allocation of resources kabisa.
Hyo ya HESLB ni kinyume hata Cha Sheria ya nchi kuhusu makato ya mtumishi na aliyepeleka hvo ni Prof mzima anayezini na wake za watu huko nje. Nilitamani Samia ampumzishe huyu mzee wa mijicho maana anatesa Sana watumishi Mara ulipe Deni halipungui plus retention fee hyo yote alifanya kumfuraisha jiwe
Serikali ile ile.
Sheria zile zile.
Majizi yale yale. Tupige kelele
 
Back
Top Bottom