johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bado lile lipuuzi linajiita Bia Yetu sijui ndo linalinda kaburi kule chattle.Naona umeibuka? Nilifikiri ulimsindikiza mwendazake.
Humjui Asaad weweUkisikia watu wanapindua meza ndio kama hivi. Kichere alipewa uCAG kama underdog tu baada ya Assad kutumbuliwa/kustafishwa kimaagumashi. Watu walimdharau Kichere ila kwa ripoti hii, Kichere kamfunika Assad parefu sana.
Assad anakumbukwa kwa 1.5Trilioni tu ila Kichere ni mabilioni, Trilioni na Mazilioni.
Ubao unasoma:
Kichere 3: Assad 1.
Sijajua umetumia vigezo gani kufanya hii comparisonUkisikia watu wanapindua meza ndio kama hivi. Kichere alipewa uCAG kama underdog tu baada ya Assad kutumbuliwa/kustafishwa kimaagumashi. Watu walimdharau Kichere ila kwa ripoti hii, Kichere kamfunika Assad parefu sana.
Assad anakumbukwa kwa 1.5Trilioni tu ila Kichere ni mabilioni, Trilioni na Mazilioni.
Ubao unasoma:
Kichere 3: Assad 1.
Ukisikia watu wanapindua meza ndio kama hivi. Kichere alipewa uCAG kama underdog tu baada ya Assad kutumbuliwa/kustafishwa kimaagumashi. Watu walimdharau Kichere ila kwa ripoti hii, Kichere kamfunika Assad parefu sana.
Assad anakumbukwa kwa 1.5Trilioni tu ila Kichere ni mabilioni, Trilioni na Mazilioni.
Ubao unasoma:
Kichere 3: Assad 1.
Ha ha ha tupo vizuri
Wapigaji hawataisha daima baba mfalme cha msingi ni kupambana zaidi kunusuru rasilimali za taifa na kwa wananchi kwa ujumlaNa huo ndio ukweli aisee. Wajuba wamekomba sana
huyu CAG angetoa haya mawizi yote kama Jiwe angekuwepo?Muda ni Mwalimu
Muda ni hakimu mzuri
Anakwambia Magufuli Bus Stand inaleta foleni..kazi ipoView attachment 1747474
Asingetoa kwa kuwa ana mke na watoto wanaomtegemea. Ulitaka apotezwe????huyu CAG angetoa haya mawizi yote kama Jiwe angekuwepo?
Mtu ni mfanyakazi serikalini, hajaongezwa mshahara kwa miaka sita. CAG anaonyesha kikundi cha watu wachache kilikua kinafaidi keki ya Taifa. Yaani hata kutetea maslai yako ya kutokuongezwa mshahara unashindwa kisa CCM ndio Chama chako!
Uzalendo wa sasa ni sawa na ujambazi, unyang'anyi, uporaji, unafiki, ujangili na unyang'au. Ukiambiwa wewe sio mzalendo kafanye sherehe na toa sadaka ya shukrani.
Uzalendo sio kupenda rais au kumchukia, uzalendo sio kupenda serikali au kuichukia ila uzalendo ni kuipenda nchi yako na rasilimali zake watu na viumbe na vitu vyote na kusimamia ukweli na kuwa accountable hasa civil servant akiwa hata na rumors za ufisadi kushughulikiwa.
Honest question: Hivi Mataga and apologists brigade mnajisikiaje sasa?
Ukiona kiongozi anatumia nguvu kubwa kuzuia watu wasiongee basi ujue kuna maovu mengi anafanya so anajua akiruhusu watu waongee maovu yake yatajulikana.
Ukweli huenda sambamba na Uwazi, lakini kama mtu hataki kua muwazi ni wazi kabisa mtu huyo sio MKWELI.
Bodi ya wakurugenzi ATCL haina mwenye uzoefu hata mmoja na mlitaka endesha kwa faida? Halafu akina sie pangu pakavu tukipeleka CV tunaambiwa uzoefu miaka 5. Lakini bado kuna watu watasema marehemu hawampendi.
View attachment 1748159
Mabeberu ndio kisingizio kikubwa cha watawala wanapotaka kujisafisha kwa 'blunders' wanazofanya. Hii ni moja ya tabia za "Dystopian rulers"
Mtaalamu yeyote anayekwenda kinyume na matakwa ya watawala wa Tanzania, huyo anatumiwa na Mabeberu! Hiki ndio kisingizio kikubwa cha watawala wanapotaka kujisafisha kwa 'blunders' wanazofanya; 'Throw a blame to Mabeberu'. Ni moja ya tabia za Dystopian rulers. Lakini wale wote wanaoenda kinyume...www.jamiiforums.com
Profesa Mbarawa alisimamia Ujenzi wa Chato Airport.Hawa waliokuwa wanalipwa posho ndefu ndio walikuwa praise team wazuri kisa walikuwa wanapata green pasture. Bongo hii wanaopata mteremko huona ujinga kutetea masilahi ya wengine
Hiyo CIA ni hasara kwa taifa Sasa utabaki kiwanja Cha kuchungia mbuzi, hyo ilikuwa poor allocation of resources kabisa.Profesa Mbarawa alisimamia Ujenzi wa Chato Airport.
Profesa Kabudi aliwasilisha SHERIA ya HESLB ya 2016.
Wameacha alama wazalendo hawa?
Umechindwa kutetea hata haya?
Serikali ile ile.Hiyo CIA ni hasara kwa taifa Sasa utabaki kiwanja Cha kuchungia mbuzi, hyo ilikuwa poor allocation of resources kabisa.
Hyo ya HESLB ni kinyume hata Cha Sheria ya nchi kuhusu makato ya mtumishi na aliyepeleka hvo ni Prof mzima anayezini na wake za watu huko nje. Nilitamani Samia ampumzishe huyu mzee wa mijicho maana anatesa Sana watumishi Mara ulipe Deni halipungui plus retention fee hyo yote alifanya kumfuraisha jiwe