Tetesi: Ripoti za uchunguzi wa uhalali wa shahada ya uzamivu (PhD) ya hayati Magufuli pamoja na wengine zimefichwa

Nakupinga kabisa kabisa. Magufuli hakuwa na akili hizo unazodhania. Angekuwa na akili baada ya Form IV asingekwenda Mkwawa Teachers College. Vipanga wa mwaka 1977 alipomaliza Form IV walikwenda straight Form V. Baafa ya Form V walikuwa wanakuja FTC, Water Resource Institute na Agriculture. Kwenda teaching ilikuwa ni waliopasi marks za kawaida.
 
Kadri navyozidi kukusoma nakuona umetawaliwa na chuki kwa Magufuli isiyo na maana.

Hayo madaraja pia ni miradi, flyover pia ni miradi, na zaidi, hata kina Kikwete nao iko miradi walianzisha lakini hawakuimaliza ni kawaida kwa marais.
Magufuli anazungumzwa kama mtu aliyefanya kazi exceptional sana ndio maana tunahoji ni kipi exceptional??

Kwasababu alikuwa anakopa, anajenga kwa kusema ni hela za ndani na alikuwa anataka kuiaminisha nchi nzima kwamba bila yeye kazi haziwezi kufanyika.

Magufuli hakuwa na transformative leadership.. vitu vingi ilikuwa ni operational jambo ambalo halifai kwa nafasi ya uraisi.

And even worse hakutaka demokrasia.
 
Kwani wewe hautakufa ?
Hilo nimeliandika wapi? Magufuli ndio alikuwa na jeuri ya kusema atawapoteza watu.

Yeye amekufa halafu aliotaka kuwapoteza wapo hai. Itufundishe kwamba uhai wetu upo mikononi mwa Mungu.
 
Hivi mtu unavyoandika Pumba huwezi jishtukia hata Kidogo.
Kwamba hapa najidhalilisha, najaribu Kuita Nyeusi Njano?
 
Hoja nzuri hii.

ila kupotea kwa huyu kijana kunasikitisha sana, hivi hakuna watu waliojaribu kumshawishi hatari ya alichokuwa anakifanya?... hata chama chake hakikuona hiyo hatari?
 
Fuatilia yanayo kuhusu mkuu
 
hiyo mimba ya mbowe bado haijafikisha miezi 9.?
 
Phd za kataristi ni fake,ndio maana imemkosti kipenzi chetu marehemu Ben saa8.

Imagine just kuhoji tu.
Na hizi PHD za watu zinawahusu nini jamani hamna kazi ya kufanya? mbona hata msukuma anayo sasa nini ni cheti tuu ...mpaka elimu ikukomboe kimaisha na jamii ndiyo tunaweza kusema umeelimika sasa......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…