troiker
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 1,551
- 2,573
Alikuwa mtume.wako yesu sembuse Magufuli?, idiot!,Pamoja na kuwa tishio lakini yeye ndio amekufa na aliowatisha wanaendelea kwa neema ya Mungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa mtume.wako yesu sembuse Magufuli?, idiot!,Pamoja na kuwa tishio lakini yeye ndio amekufa na aliowatisha wanaendelea kwa neema ya Mungu.
Wewe mfuasi wa jamaa wa mapangoni bora utulie.Alikuwa mtume.wako yesu sembuse Magufuli?, idiot!,
PhD feki inafutwa.Mtoa mada kichwani mwake ni karakana ya shetani
Nakupinga kabisa kabisa. Magufuli hakuwa na akili hizo unazodhania. Angekuwa na akili baada ya Form IV asingekwenda Mkwawa Teachers College. Vipanga wa mwaka 1977 alipomaliza Form IV walikwenda straight Form V. Baafa ya Form V walikuwa wanakuja FTC, Water Resource Institute na Agriculture. Kwenda teaching ilikuwa ni waliopasi marks za kawaida.Akili za yule baba, ni zaidi ya Phd za kibongo.
Watanzania bado tuko nyuma sana.
Tunathamini elimu ya darasani kuliko hata uwezo wa mtu wa kutenda.
Hata hao wenye phd wengi wao wanazidiwa maarifa na wasio na elimu ya darasani, ila wana maarifa ya kutatua changamoto zinazokabili taifa. Na baadhi yao ndio wafanyabiashara wakubwa!
Kuna tofauti kubwa sana kati ya level of education and knowledge. (Kiwango cha elimu vs maarifa)j
Mtu kama mwigulu na phd yake ya uchumi bado anang'ang'ana kukusanya tozo ili kujenga uchumi wa nchi yenye rasilimali nyingi zilizo chini na juu ya ardhi! 😲🤔
Iko siku huyu jamaa ataropoka yote , ondoa shakaTumainiEl mlimpeleka wapi Ben Saanane?
Magufuli anazungumzwa kama mtu aliyefanya kazi exceptional sana ndio maana tunahoji ni kipi exceptional??Kadri navyozidi kukusoma nakuona umetawaliwa na chuki kwa Magufuli isiyo na maana.
Hayo madaraja pia ni miradi, flyover pia ni miradi, na zaidi, hata kina Kikwete nao iko miradi walianzisha lakini hawakuimaliza ni kawaida kwa marais.
Hilo nimeliandika wapi? Magufuli ndio alikuwa na jeuri ya kusema atawapoteza watu.Kwani wewe hautakufa ?
Hoja nzuri hii.Kwa kile kichwa cha Magufuli huwa siamini kama PhD yake ilikuwa feki, alionekana kuwa "active" kiakili zaidi ya viongozi wengi serikalini wakati wake, alikuwa ni mtu aliyependa kujisomea mpaka akatuambia alikuwa akilala na ma - file kitandani.
Alipenda kuishughulisha akili yake na hili lilionekana maeneo mengi, kwa namna alivyokuwa anakagua miradi, maswali aliyokuwa anawauliza makandarasi nk..
Huwa naona kinachowafanya wengi waamini PhD ya Magufuli ilikuwa feki, ni kwasababu hakumpa Saanane nafasi ya kuihakiki, na hii kwangu sio kwasababu alikuwa hajiamini/hauamini ubora wa PhD yake, hapana.
Ukweli ni kwamba, Magufuli wakati wake hakuwa anapenda upinzani kwenye jambo lolote, mifano ipo mingi; hata Lissu, Nape, na wengine wanalijua hili, kwani nao yaliwakuta walipojaribu kwenda kinyume na Magufuli, hakuwa Ben pekee aliyeathirika alipohoji.
Mkuu PhD inaweza kufutwa muda sio mrefu. Sijui mtaficha wapi sura zenu.Mleta mada kasikia tu msameheni bure.
Only hearsay.Mkuu PhD inaweza kufutwa muda sio mrefu. Sijui mtaficha wapi sura zenu.
Sawa, muda utatupatia majibu.Only hearsay.
Hakuna mtu atapoteza muda kujadili mambo ya kuambiwa.
Nakwambia kuna watu watalala ili Mzimu wa Jiwe usiwafuate.Nimekubali Magufuli alikuwa sio tishio tu nje ya nchi,hasa ndani ya nchi,hakika mtateseka sana na mzimu wake
Fuatilia yanayo kuhusu mkuuNilimtembelea rafiki yangu mmoja ambaye ni mhadhiri pale Udsm na katikati ya maongezi likaja suala la uwezekano wa mtu kupata PhD bila kupitia taratibu sahihi.
Hapo akasema kuna uchunguzi ulifanyika karibu mwaka mzima umepita na ripoti imeishia pale utawala. Ilikuwa ni katika routine ya kawaida kuangalia ubora wa kazi za wanafunzi wa miaka ya nyuma zilizopitishwa.
Huko udasa hizi tetesi inaonekana zinaongelewa na Prof Mwandosya aliwahi kuhoji hapa mwaka jana Prof. Mark Mwondosya atilia mashaka shahada za uzamivu wanazotunukiwa wanasiasa, ahoji vigezo au viwango vimebadilika?? Inasemekana kwamba PhD tajwa hapo juu ni mojawapo.
Kama ni kweli basi Prof Anangisye ajivike ujasiri na kuufahamisha umma wa watanzania.
hiyo mimba ya mbowe bado haijafikisha miezi 9.?Nilimtembelea rafiki yangu mmoja ambaye ni mhadhiri pale Udsm na katikati ya maongezi likaja suala la uwezekano wa mtu kupata PhD bila kupitia taratibu sahihi.
Hapo akasema kuna uchunguzi ulifanyika karibu mwaka mzima umepita na ripoti imeishia pale utawala. Ilikuwa ni katika routine ya kawaida kuangalia ubora wa kazi za wanafunzi wa miaka ya nyuma zilizopitishwa.
Huko udasa hizi tetesi inaonekana zinaongelewa na Prof Mwandosya aliwahi kuhoji hapa mwaka jana Prof. Mark Mwondosya atilia mashaka shahada za uzamivu wanazotunukiwa wanasiasa, ahoji vigezo au viwango vimebadilika?? Inasemekana kwamba PhD tajwa hapo juu ni mojawapo.
Kama ni kweli basi Prof Anangisye ajivike ujasiri na kuufahamisha umma wa watanzania.
Hili linaihusu nchi yangu.Fuatilia yanayo kuhusu mkuu
Mbowe alikupa mimba mpaka unamtaja kwenye mada isiyohusiana naye?hiyo mimba ya mbowe bado haijafikisha miezi 9.?
Na hizi PHD za watu zinawahusu nini jamani hamna kazi ya kufanya? mbona hata msukuma anayo sasa nini ni cheti tuu ...mpaka elimu ikukomboe kimaisha na jamii ndiyo tunaweza kusema umeelimika sasa......Phd za kataristi ni fake,ndio maana imemkosti kipenzi chetu marehemu Ben saa8.
Imagine just kuhoji tu.
Bado tunashangaa inakuaje hujajishtukia.Hivi mtu unavyoandika Pumba huwezi jishtukia hata Kidogo.
Kwamba hapa najidhalilisha, najaribu Kuita Nyeusi Njano?