Tetesi: Ripoti za uchunguzi wa uhalali wa shahada ya uzamivu (PhD) ya hayati Magufuli pamoja na wengine zimefichwa

Tetesi: Ripoti za uchunguzi wa uhalali wa shahada ya uzamivu (PhD) ya hayati Magufuli pamoja na wengine zimefichwa

Akili za yule baba, ni zaidi ya Phd za kibongo.

Watanzania bado tuko nyuma sana.
Tunathamini elimu ya darasani kuliko hata uwezo wa mtu wa kutenda.

Hata hao wenye phd wengi wao wanazidiwa maarifa na wasio na elimu ya darasani, ila wana maarifa ya kutatua changamoto zinazokabili taifa. Na baadhi yao ndio wafanyabiashara wakubwa!

Kuna tofauti kubwa sana kati ya level of education and knowledge. (Kiwango cha elimu vs maarifa)j

Mtu kama mwigulu na phd yake ya uchumi bado anang'ang'ana kukusanya tozo ili kujenga uchumi wa nchi yenye rasilimali nyingi zilizo chini na juu ya ardhi! 😲🤔
Nakupinga kabisa kabisa. Magufuli hakuwa na akili hizo unazodhania. Angekuwa na akili baada ya Form IV asingekwenda Mkwawa Teachers College. Vipanga wa mwaka 1977 alipomaliza Form IV walikwenda straight Form V. Baafa ya Form V walikuwa wanakuja FTC, Water Resource Institute na Agriculture. Kwenda teaching ilikuwa ni waliopasi marks za kawaida.
 
Kadri navyozidi kukusoma nakuona umetawaliwa na chuki kwa Magufuli isiyo na maana.

Hayo madaraja pia ni miradi, flyover pia ni miradi, na zaidi, hata kina Kikwete nao iko miradi walianzisha lakini hawakuimaliza ni kawaida kwa marais.
Magufuli anazungumzwa kama mtu aliyefanya kazi exceptional sana ndio maana tunahoji ni kipi exceptional??

Kwasababu alikuwa anakopa, anajenga kwa kusema ni hela za ndani na alikuwa anataka kuiaminisha nchi nzima kwamba bila yeye kazi haziwezi kufanyika.

Magufuli hakuwa na transformative leadership.. vitu vingi ilikuwa ni operational jambo ambalo halifai kwa nafasi ya uraisi.

And even worse hakutaka demokrasia.
 
Kwani wewe hautakufa ?
Hilo nimeliandika wapi? Magufuli ndio alikuwa na jeuri ya kusema atawapoteza watu.

Yeye amekufa halafu aliotaka kuwapoteza wapo hai. Itufundishe kwamba uhai wetu upo mikononi mwa Mungu.
 
Hivi mtu unavyoandika Pumba huwezi jishtukia hata Kidogo.
Kwamba hapa najidhalilisha, najaribu Kuita Nyeusi Njano?
 
Kwa kile kichwa cha Magufuli huwa siamini kama PhD yake ilikuwa feki, alionekana kuwa "active" kiakili zaidi ya viongozi wengi serikalini wakati wake, alikuwa ni mtu aliyependa kujisomea mpaka akatuambia alikuwa akilala na ma - file kitandani.

Alipenda kuishughulisha akili yake na hili lilionekana maeneo mengi, kwa namna alivyokuwa anakagua miradi, maswali aliyokuwa anawauliza makandarasi nk..

Huwa naona kinachowafanya wengi waamini PhD ya Magufuli ilikuwa feki, ni kwasababu hakumpa Saanane nafasi ya kuihakiki, na hii kwangu sio kwasababu alikuwa hajiamini/hauamini ubora wa PhD yake, hapana.

Ukweli ni kwamba, Magufuli wakati wake hakuwa anapenda upinzani kwenye jambo lolote, mifano ipo mingi; hata Lissu, Nape, na wengine wanalijua hili, kwani nao yaliwakuta walipojaribu kwenda kinyume na Magufuli, hakuwa Ben pekee aliyeathirika alipohoji.
Hoja nzuri hii.

ila kupotea kwa huyu kijana kunasikitisha sana, hivi hakuna watu waliojaribu kumshawishi hatari ya alichokuwa anakifanya?... hata chama chake hakikuona hiyo hatari?
 
Nilimtembelea rafiki yangu mmoja ambaye ni mhadhiri pale Udsm na katikati ya maongezi likaja suala la uwezekano wa mtu kupata PhD bila kupitia taratibu sahihi.

Hapo akasema kuna uchunguzi ulifanyika karibu mwaka mzima umepita na ripoti imeishia pale utawala. Ilikuwa ni katika routine ya kawaida kuangalia ubora wa kazi za wanafunzi wa miaka ya nyuma zilizopitishwa.

Huko udasa hizi tetesi inaonekana zinaongelewa na Prof Mwandosya aliwahi kuhoji hapa mwaka jana Prof. Mark Mwondosya atilia mashaka shahada za uzamivu wanazotunukiwa wanasiasa, ahoji vigezo au viwango vimebadilika?? Inasemekana kwamba PhD tajwa hapo juu ni mojawapo.

Kama ni kweli basi Prof Anangisye ajivike ujasiri na kuufahamisha umma wa watanzania.
Fuatilia yanayo kuhusu mkuu
 
hiyo mimba ya mbowe bado haijafikisha miezi 9.?
 
Phd za kataristi ni fake,ndio maana imemkosti kipenzi chetu marehemu Ben saa8.

Imagine just kuhoji tu.
Na hizi PHD za watu zinawahusu nini jamani hamna kazi ya kufanya? mbona hata msukuma anayo sasa nini ni cheti tuu ...mpaka elimu ikukomboe kimaisha na jamii ndiyo tunaweza kusema umeelimika sasa......
 
Back
Top Bottom