Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Kwamba lzm awe amelelewa na wazazi wote,hasa babanakazia ila hawa vijana wenye mapepo hawawezi elewa mpaka yawakute
Mfundishe kijana huyo..!Unavyoendelea kudate na kujua utawajua tu
😂😂😂 uliza banaKuna kitu kimenitesa hapo,nilihitaji kuuliza ila naogopa utanicheka hapa mbele ya kadamnasi😅.
Naona umetembelea hii thread kuchungulia vijana waoaji wanasemaje.🤣
Umeona sasa?? Ww ndiomana nakwambia utachelewa kupata mke..!!Imagine unaoa mwanamke anayeandika hivi.. Tyuuuuh
Meneja ww sio wife material kabisa.. I'm in tear for you!
kwa mama anayelea mtoto huku mzazi wa kiume amefariki wana tofauti kubwa sana na hawa wanaolelewa na hawa wanaojiita super women!Kwamba lzm awe amelelewa na wazazi wote,hasa baba
Km baba alikufa? Au mama alitelekiezwa je?
Maana kuna ambao baba zao hawako nao Kwa sbb mbalimbali sio km mama zao walitaka kuwalea peke Yao....
Unawaweka kundi Gani?
Unauhakika ukiniambia niende wilaya ya kigoma sitaweza?? Niambie uoneUmeona sasa?? Ww ndiomana nakwambia utachelewa kupata mke..!!
Sasa vitu vidogo km hivyo vya swagger unamind..!! Mke akikwambia uzame uvinza utaweza??
Si utakuja unalia hapa na uzi mrefu km msafara wa siafu 😂😂
Nitajie hio Dini ya mashoga inatumia nini Bible au Qur'an?Dini ya mashoga tu ndio inakubali.. Washirika wake wanaume utawaona wakipinga hili
Inamaana Kauntrii Wide anakuyeyusha wewe Barafu?😂😂😂 uliza bana
Waoaji miyayusho tyuu.!!
Bado tuna safari ndefu
Nimepata jibu,google na walimwengu wamesaidia.😂😂😂 uliza bana
Waoaji miyayusho tyuu.!!
Bado tuna safari ndefu
Hahahaha..!Imagine unaoa mwanamke anayeandika hivi.. Tyuuuuh
Meneja ww sio wife material kabisa.. I'm in tear for you!
Ndiyo nani huyo.?? Simjui mtu huyoInamaana Kauntrii Wide anakuyeyusha wewe Barafu?
Soon usijali andaa suit ya kufungulia champagne 🍾Nimepata jibu,google na walimwengu wamesaidia.
Safari ndefu unaitengeneza mwenyewe,olewa haraka..nina hamu ya kuserebuka kwenye sherehe.
Hayo ndio mambo sasa!Soon usijali andaa suit ya kufungulia champagne 🍾
Kauntrii Wide haumjui leo kweli wewe Cute Wife?Ndiyo nani huyo.?? Simjui mtu huyo
Eeee ndiyo SIMJUI 🤣🤣🤣Kauntrii Wide haumjui leo kweli wewe Cute Wife?
Hichi kizazi🙌🤐Oneni huyu mwanamke atakayemuoa lazima stroke imuue