Hali ya barabara ya kusini ni mnoo, na inazidi kuharibika.Wabunge wao wapige kelele aisee. Kuna siku tulikua humu tunaongelea safari ya kwenda Songea kupitia Mtwara aisee mara 100 upite Morogoro. Utasimbuliwa na jam ya maroli ila ukivuka Moro ushatoboa.
Kaka, ya 2014 Hybrid. Ni cc 1,500 7 gear DCT.Honda Fit ya mwaka gani hiyo. Kwa utundu wako mbona hujabadilisha lugha kwenda kiingereza?.
Mtwara ungejaribu kuzunguka chuno road hadi bandarini then uikamate zambia road hadi pale round ya mnarani ulipochukua picha.
Nilitegemea kutoka pale mnarani ungenyooka na Tanu road hadi kanisani kule kupitia Bima, pana-view moja mzuri sana ya lile kanisa ukitokea pale Puma.
Uzi mzuri sana. Asante!Basi wakuu nikaenda Mtwara kutokea Dar na kurudi Dar. Trip ilikua ni kupunguza stress za huu mji, na haikua direct, nilienda kwa vituo vitatu jumla, na nilitumia Fit Hybrid.
View attachment 3581942
Safari ilianzia Mlimani City Puma pale, nikaweka wese la 100k nikachomoka. Kwasababu ya mvua, AC almost ilikua off na nilikua very slow, kwasababu ya barabara, mvua inapunguza visibility na fuel efficiency inakua nzuri sana.
View attachment 3581943
Kwahiyo kituo cha kwanza ni Dar hadi Kilwa Kivinje, hapo sikulala ila nilizurura like 2 hours baada ya kupark gari. Kilwa Kivinje ni kamji flani hivi ka-wavuvi kana vibe lake lakini kamepoa sana.
View attachment 3581944
Then nikaondoka nikaenda Kilwa Masoko hapa nikalala. Hadi hapa nikawa nimetumia zaidi ya kilometa 320. Huu ni mji mkubwa zaidi, na ndio makao makuu ya Wilaya. Nao ni mji mdogo, ila una vibe zaidi ya Kivinje, ofisi kubwa zipo hapa pia.
Hali ya barabara tokea Dar hadi Kilwa ni mbaya. Kwa rate ya 10, ningeipa 6.5 hivi. Ni ngumu sana kuendesha gari zaidi ya 60 km/h kwa muda wa zaidi ya dakika 10 kabla haujakutana na korongo.
View attachment 3581945
Kesho yake ikawa safari ya kwenda Lindi. Kilwa hadi Lindi ni zaidi ya kilometa 140 hivi. Njiani hamna kitu chochote cha maajabu, so ni kuendesha tu. Hii ndio barabara mbovu kuliko zote ulizowahi kukutana nazo. Kuipa 4/10 ni kuipendelea sana. Serious yale sio mashimo ni makorongo barabarani.
View attachment 3581955
Baada ya kufika Lindi nikaspend a day na kulala. Ni kamji flani kazuri kwa kukaa siku 2 hadi week ila aada ya hapo kanaanza kuboa. Kana mitaa iliyopangika kama Tanga, barabara yoyote inatoa, ila wana challenge kubwa sana maeneo ya kulala. Unagusa Lodge ya kawaida sana ambayo Dar haizidi elfu 25 huku unaambiwa elfu 50.
View attachment 3581949
Kesho yake safari ya Mtwara ikaanza, barabara nayo mbaya tu like 5/10. Jumla ni kama kilometa 110 hivi, kwahiyo ndani ya masaa mawili nikawa nimefika. Nahindwa kuprove ila kiwanda cha Dangote kwa namna moja kinachangia sana kuharibika kwa hii barabara. Nasema ivo kwasababu ukishavuka hiki kiwanda, barabara sio mbaya sana. Just my theory!
View attachment 3581950
Mji poa, sema una vurugu kama Dar flani so hapakunivutia ata kulala na kukaa sana nikaondoka. Ninavyoondoka nikaweka mafuta kituo cha Puma ya Elfu 50 tu. Kile kituo hafu wezi, wanasema hawana risiti ila kuna ujanja wanafanya. Maza Faka!
View attachment 3581951
Nilichopenda kuhusu Mtwara ni kamji flani kanaitwa Mikindani, ni kama 10 km kabla haujafika Mtwara mjini. Ni mji wa Kihistoria kama Bagamoyo, hapa wakati wa kurudi nilisimama na kuzurura kama 1 hour. Pa zuri sana, unaweza kaa pale ata siku 2 panamuonekano flani wa kipekee. Pia wana view nzuri sana ya bahari.
View attachment 3581953
Baada ya hapo ni trip ya kurudi Dar. Nikasema nitest uwezo wangu wa kuendesha non-stop. So baada ya kufika Lindi nikala hafu nikaanza kuondoka mazima, ishakua saa 2 usiku hapo.
Usingizi ulinizidi njiani nikapark mahala nikalala aisee but nkafika Dar safe.
Summary:
View attachment 3581946
- Umbali niliotembea wote ni kilometa: 1,230
- Mafuta niliotumia ni Tsh 150,000/=
- Average fuel consumption inayosoma ni: 31 km/L
- Average Speed ni ndogo sana: 30 km/h
- Masaa gari lilikua ON ni: 42 hours
View attachment 3581947Uwa napenda trip za kuzunguka, yaani mfano unatoka Dar unaenda Mtwara then Songea kisha Njombe, Iiringa, Moro then Dar. Ila hii ya kwenda na kurudi, mara nyingi safari ya kurudi haiwi na excitement sana. Nitatafuta nyingine ya kuzunguka.
Pamoja!
Kule Mtwara kote mpaka Lindi mpaka Rufini kulitakiwa kujengeke sana pale kuna miradi mingi ya gas ilitakiwa kupaendeleza.Dah sema mikoa ya Kusini imepoa sana
Hapo umezunguka Mtwara mjini sasa. Barabara uliyopita na kukuta soko la ghorofa ndiyo Chuno road hiyo na hilo soko linaitwa Chuno pia. Mji upo kimya sana, vurugu utazikuta eneo la Bima ulipojaza mafuta labda na upande wa nyuma kule wa pale Puma. Hilo ghorofa pichani ndiyo moja ya landmarks za Mkoa, jirani hapo kuna kanisa jeupe. Ungekuwa unatokea Puma kuja uelekeo wake usingesita kulipiga picha, mkoloni alituliza akili sana eneo hilo.Kaka, ya 2014 Hybrid. Ni cc 1,500 7 gear DCT.
Tatizo waliviuza Japan tu kwahiyo Lugha nimeangaika nimeshindwa. Nimeshazoea sahivi.
Kusema kweli Mtwara nimejaribu kuzunguka ila moyo haujapaelewa. Nilipita kule kuna soko kubwaaaaaaa la ghorofa hafu watu wanauzia vitu chini. Nikapita sehemu ni kama ghost town sioni mtu wala gari. Nikaja ushuani huku jirani na bahari. Nikasogea njia ya port. Nikashuka na barabara ya Bodi ya Korosho.
Nikarudi roundabout ya samaki, Nikarudi tena juu kuzurura zurura nikaenda beach pale dah.
View attachment 3582062
Moyo haujakupenda sijui. nikaamsha.
Barabara ya kusini si weather proof. Kwa kipindi hiki cha mvua haiwezi kukosa hitilafu.Nafikiria kudrive kushuka huko maana kuna jamaa kaniambia diversion zote za madaraja na makaravati zimekamilika na road ni nzuri sasa nashangaa we unasema kuna mahandaki, sielewi
Basi wakuu nikaenda Mtwara kutokea Dar na kurudi Dar. Trip ilikua ni kupunguza stress za huu mji, na haikua direct, nilienda kwa vituo vitatu jumla, na nilitumia Fit Hybrid.
View attachment 3581942
Safari ilianzia Mlimani City Puma pale, nikaweka wese la 100k nikachomoka. Kwasababu ya mvua, AC almost ilikua off na nilikua very slow, kwasababu ya barabara, mvua inapunguza visibility na fuel efficiency inakua nzuri sana.
View attachment 3581943
Kwahiyo kituo cha kwanza ni Dar hadi Kilwa Kivinje, hapo sikulala ila nilizurura like 2 hours baada ya kupark gari. Kilwa Kivinje ni kamji flani hivi ka-wavuvi kana vibe lake lakini kamepoa sana.
View attachment 3581944
Then nikaondoka nikaenda Kilwa Masoko hapa nikalala. Hadi hapa nikawa nimetumia zaidi ya kilometa 320. Huu ni mji mkubwa zaidi, na ndio makao makuu ya Wilaya. Nao ni mji mdogo, ila una vibe zaidi ya Kivinje, ofisi kubwa zipo hapa pia.
Hali ya barabara tokea Dar hadi Kilwa ni mbaya. Kwa rate ya 10, ningeipa 6.5 hivi. Ni ngumu sana kuendesha gari zaidi ya 60 km/h kwa muda wa zaidi ya dakika 10 kabla haujakutana na korongo.
View attachment 3581945
Kesho yake ikawa safari ya kwenda Lindi. Kilwa hadi Lindi ni zaidi ya kilometa 140 hivi. Njiani hamna kitu chochote cha maajabu, so ni kuendesha tu. Hii ndio barabara mbovu kuliko zote ulizowahi kukutana nazo. Kuipa 4/10 ni kuipendelea sana. Serious yale sio mashimo ni makorongo barabarani.
View attachment 3581955
Baada ya kufika Lindi nikaspend a day na kulala. Ni kamji flani kazuri kwa kukaa siku 2 hadi week ila aada ya hapo kanaanza kuboa. Kana mitaa iliyopangika kama Tanga, barabara yoyote inatoa, ila wana challenge kubwa sana maeneo ya kulala. Unagusa Lodge ya kawaida sana ambayo Dar haizidi elfu 25 huku unaambiwa elfu 50.
View attachment 3581949
Kesho yake safari ya Mtwara ikaanza, barabara nayo mbaya tu like 5/10. Jumla ni kama kilometa 110 hivi, kwahiyo ndani ya masaa mawili nikawa nimefika. Nahindwa kuprove ila kiwanda cha Dangote kwa namna moja kinachangia sana kuharibika kwa hii barabara. Nasema ivo kwasababu ukishavuka hiki kiwanda, barabara sio mbaya sana. Just my theory!
View attachment 3581950
Mji poa, sema una vurugu kama Dar flani so hapakunivutia ata kulala na kukaa sana nikaondoka. Ninavyoondoka nikaweka mafuta kituo cha Puma ya Elfu 50 tu. Kile kituo hafu wezi, wanasema hawana risiti ila kuna ujanja wanafanya. Maza Faka!
View attachment 3581951
Nilichopenda kuhusu Mtwara ni kamji flani kanaitwa Mikindani, ni kama 10 km kabla haujafika Mtwara mjini. Ni mji wa Kihistoria kama Bagamoyo, hapa wakati wa kurudi nilisimama na kuzurura kama 1 hour. Pa zuri sana, unaweza kaa pale ata siku 2 panamuonekano flani wa kipekee. Pia wana view nzuri sana ya bahari.
View attachment 3581953
Baada ya hapo ni trip ya kurudi Dar. Nikasema nitest uwezo wangu wa kuendesha non-stop. So baada ya kufika Lindi nikala hafu nikaanza kuondoka mazima, ishakua saa 2 usiku hapo.
Usingizi ulinizidi njiani nikapark mahala nikalala aisee but nkafika Dar safe.
Summary:
View attachment 3581946
- Umbali niliotembea wote ni kilometa: 1,230
- Mafuta niliotumia ni Tsh 150,000/=
- Average fuel consumption inayosoma ni: 31 km/L
- Average Speed ni ndogo sana: 30 km/h
- Masaa gari lilikua ON ni: 42 hours
View attachment 3581947Uwa napenda trip za kuzunguka, yaani mfano unatoka Dar unaenda Mtwara then Songea kisha Njombe, Iiringa, Moro then Dar. Ila hii ya kwenda na kurudi, mara nyingi safari ya kurudi haiwi na excitement sana. Nitatafuta nyingine ya kuzunguka.
Pamoja!
Atakua anatumia Land Cruiser za Serikali. Niamini mimi, kama umepita Morogoro Rd, Dodoma Rd, au huku Bagamoyo Rd ukasema izo ni mbaya, basi huko Ni mara 3 yake. Mkuu barabara sio nzuri kabisa.Nafikiria kudrive kushuka huko maana kuna jamaa kaniambia diversion zote za madaraja na makaravati zimekamilika na road ni nzuri sasa nashangaa we unasema kuna mahandaki, sielewi
Mkuu nipo interested na consumption ya gari 31km/L ni gari aina gani? Ni hybrid?Basi wakuu nikaenda Mtwara kutokea Dar na kurudi Dar. Trip ilikua ni kupunguza stress za huu mji, na haikua direct, nilienda kwa vituo vitatu jumla, na nilitumia Fit Hybrid.
View attachment 3581942
Safari ilianzia Mlimani City Puma pale, nikaweka wese la 100k nikachomoka. Kwasababu ya mvua, AC almost ilikua off na nilikua very slow, kwasababu ya barabara, mvua inapunguza visibility na fuel efficiency inakua nzuri sana.
View attachment 3581943
Kwahiyo kituo cha kwanza ni Dar hadi Kilwa Kivinje, hapo sikulala ila nilizurura like 2 hours baada ya kupark gari. Kilwa Kivinje ni kamji flani hivi ka-wavuvi kana vibe lake lakini kamepoa sana.
View attachment 3581944
Then nikaondoka nikaenda Kilwa Masoko hapa nikalala. Hadi hapa nikawa nimetumia zaidi ya kilometa 320. Huu ni mji mkubwa zaidi, na ndio makao makuu ya Wilaya. Nao ni mji mdogo, ila una vibe zaidi ya Kivinje, ofisi kubwa zipo hapa pia.
Hali ya barabara tokea Dar hadi Kilwa ni mbaya. Kwa rate ya 10, ningeipa 6.5 hivi. Ni ngumu sana kuendesha gari zaidi ya 60 km/h kwa muda wa zaidi ya dakika 10 kabla haujakutana na korongo.
View attachment 3581945
Kesho yake ikawa safari ya kwenda Lindi. Kilwa hadi Lindi ni zaidi ya kilometa 140 hivi. Njiani hamna kitu chochote cha maajabu, so ni kuendesha tu. Hii ndio barabara mbovu kuliko zote ulizowahi kukutana nazo. Kuipa 4/10 ni kuipendelea sana. Serious yale sio mashimo ni makorongo barabarani.
View attachment 3581955
Baada ya kufika Lindi nikaspend a day na kulala. Ni kamji flani kazuri kwa kukaa siku 2 hadi week ila aada ya hapo kanaanza kuboa. Kana mitaa iliyopangika kama Tanga, barabara yoyote inatoa, ila wana challenge kubwa sana maeneo ya kulala. Unagusa Lodge ya kawaida sana ambayo Dar haizidi elfu 25 huku unaambiwa elfu 50.
View attachment 3581949
Kesho yake safari ya Mtwara ikaanza, barabara nayo mbaya tu like 5/10. Jumla ni kama kilometa 110 hivi, kwahiyo ndani ya masaa mawili nikawa nimefika. Nahindwa kuprove ila kiwanda cha Dangote kwa namna moja kinachangia sana kuharibika kwa hii barabara. Nasema ivo kwasababu ukishavuka hiki kiwanda, barabara sio mbaya sana. Just my theory!
View attachment 3581950
Mji poa, sema una vurugu kama Dar flani so hapakunivutia ata kulala na kukaa sana nikaondoka. Ninavyoondoka nikaweka mafuta kituo cha Puma ya Elfu 50 tu. Kile kituo hafu wezi, wanasema hawana risiti ila kuna ujanja wanafanya. Maza Faka!
View attachment 3581951
Nilichopenda kuhusu Mtwara ni kamji flani kanaitwa Mikindani, ni kama 10 km kabla haujafika Mtwara mjini. Ni mji wa Kihistoria kama Bagamoyo, hapa wakati wa kurudi nilisimama na kuzurura kama 1 hour. Pa zuri sana, unaweza kaa pale ata siku 2 panamuonekano flani wa kipekee. Pia wana view nzuri sana ya bahari.
View attachment 3581953
Baada ya hapo ni trip ya kurudi Dar. Nikasema nitest uwezo wangu wa kuendesha non-stop. So baada ya kufika Lindi nikala hafu nikaanza kuondoka mazima, ishakua saa 2 usiku hapo.
Usingizi ulinizidi njiani nikapark mahala nikalala aisee but nkafika Dar safe.
Summary:
View attachment 3581946
- Umbali niliotembea wote ni kilometa: 1,230
- Mafuta niliotumia ni Tsh 150,000/=
- Average fuel consumption inayosoma ni: 31 km/L
- Average Speed ni ndogo sana: 30 km/h
- Masaa gari lilikua ON ni: 42 hours
View attachment 3581947Uwa napenda trip za kuzunguka, yaani mfano unatoka Dar unaenda Mtwara then Songea kisha Njombe, Iiringa, Moro then Dar. Ila hii ya kwenda na kurudi, mara nyingi safari ya kurudi haiwi na excitement sana. Nitatafuta nyingine ya kuzunguka.
Pamoja!
Kama mchuzi wa jogooDah sema mikoa ya Kusini imepoa sana