Kama mchuzi wa jogoo
Hapo kwenye matrafiki uko sahihi. Labda kwenye border za kuhama Mkoa mmoja kwenda mwingine.Kusini ni balaa, kule hata traffic barabaran ni wa kuhesabu! Nilitoka Songea mpka nafika Namtumbo sikupishana na gari hata moja..magari naanza kupishana nayo tena moja moja nakaribia Tunduru..na hapo Songea niliondoka saa 12 asubuhi.
Miaka 19 iliyopita, Nina dogo kapata kazi mtwara one day nitaendaNaamini ukirudi Lindi hakujabadirika.
Good staff...Ni hybrid mkuu. Honda Fit Hybrid.
We kaa uko US ukirud utatukuta sisi tupo na nangurukuru yetu, tunaendelea kuuza samaki za kuoza.Umenikumbusha Muhoro na Nangurukuru.
Mkuu kuwa serious kidogo! dar-masasi ni mwendo kama wa km 600 ndo iwe kufika mwezi december imetengenezwa? wakati zile km 60 za masasi-newala wanakwenda kumaliza mwaka wa pili sasa bado wanahangaika.December MUNGU akitupa uhai nitaenda MASASI pengine barabara itakuwa imetengenezwa angalau
Ilikua mwaka gani huo mkuu, maana sikuhizi huwezi kutembea nusu saa hujapishana na gari,Kusini ni balaa, kule hata traffic barabaran ni wa kuhesabu! Nilitoka Songea mpka nafika Namtumbo sikupishana na gari hata moja..magari naanza kupishana nayo tena moja moja nakaribia Tunduru..na hapo Songea niliondoka saa 12 asubuhi.
Hii njia nilishawahi kupita. Nilikua naenda songea lakini inabidi nipitie mbinga kwanza. Kwa kusema kwell hiyo njia ni kisanga.Wabunge wao wapige kelele aisee. Kuna siku tulikua humu tunaongelea safari ya kwenda Songea kupitia Mtwara aisee mara 100 upite Morogoro. Utasimbuliwa na jam ya maroli ila ukivuka Moro ushatoboa.
Aibu Sana aiseee!!!Mkuu kuwa serious kidogo! dar-masasi ni mwendo kama wa km 600 ndo iwe kufika mwezi december imetengenezwa? wakati zile km 60 za masasi-newala wanakwenda kumaliza mwaka wa pili sasa bado wanahangaika.
Mkuu, naona BYD wamefungua show room hapa Tanzania. Wana BYD Dolphin Surf, Tshs. 25,000,000/=, unavionaje hivyo vigari? Naviita vigari sababu ni vidogo sanaKaka, ya 2014 Hybrid. Ni cc 1,500 7 gear DCT.
Tatizo waliviuza Japan tu kwahiyo Lugha nimeangaika nimeshindwa. Nimeshazoea sahivi.
Kusema kweli Mtwara nimejaribu kuzunguka ila moyo haujapaelewa. Nilipita kule kuna soko kubwaaaaaaa la ghorofa hafu watu wanauzia vitu chini. Nikapita sehemu ni kama ghost town sioni mtu wala gari. Nikaja ushuani huku jirani na bahari. Nikasogea njia ya port. Nikashuka na barabara ya Bodi ya Korosho.
Nikarudi roundabout ya samaki, Nikarudi tena juu kuzurura zurura nikaenda beach pale dah.
View attachment 3582062
Moyo haujakupenda sijui. nikaamsha.