Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 2,269
- 5,399
Pia swali lingine Mkuu.Yaani ukifika, ukaweka P, dakika 2 tu unazima. Haina wasiwasi.
Hii wataalam watanisaidia. Ila ni vyema kuiangalia kwanza hali ya oil. Kama upo safi kiuchumi unaweza sogeza ata km kadhaa.Pia swali lingine Mkuu.
Kama Gari imetoka Japan this week, Kuna haja ya kubadili Oil kabla ya Safari mfano ya Kigoma?
Au oil inaweza badilishwa baada ya kufika huko?
Barabara mbovu sana mkuu. Hafu maroli ya kutosha.Njia ya Mtwara shimo za kutosha kama unaenda na gari ndogo ni vizuri utembee mchana. Endesha speed ya kawaida, Acha tabia ya kuhama upande ili ukwepe shimo ni hatari sana kuna maroli hayatakupa fair utajikuta uvunguni.
Usiku ndio wanatembea kwa fujo, na wanafatana ukisema uhame site unatafuta matatizo.Barabara mbovu sana mkuu. Hafu maroli ya kutosha.
Kaka, ya 2014 Hybrid. Ni cc 1,500 7 gear DCT.
Tatizo waliviuza Japan tu kwahiyo Lugha nimeangaika nimeshindwa. Nimeshazoea sahivi.
Kusema kweli Mtwara nimejaribu kuzunguka ila moyo haujapaelewa. Nilipita kule kuna soko kubwaaaaaaa la ghorofa hafu watu wanauzia vitu chini. Nikapita sehemu ni kama ghost town sioni mtu wala gari. Nikaja ushuani huku jirani na bahari. Nikasogea njia ya port. Nikashuka na barabara ya Bodi ya Korosho.
Nikarudi roundabout ya samaki, Nikarudi tena juu kuzurura zurura nikaenda beach pale dah.
View attachment 3582062
Moyo haujakupenda sijui. nikaamsha.
Nilikua na wasiwasi na barabara mkuu. Nikasema nisijekwama huko kilometa za kutosha kutoka town. Nilipenda sana nizunguke Mbamba Bay uko hadi Songea. Ila wasiwasi road.Kwanini hukwenda Masasi hadi Tunduru then akaanza kugeuza mdogomdogo..
Hivi hilo Jengo la bodi ya Korosho limejengwa mwaka gani maana naona halichoki miaka yote
Kutoka Tunduru to Songea naona wana Barabara mashine sana, Iko vizuri pia ni Pana. Ungeteseka kidogo MTWARA to MASASI hiyo road tiamaji tiamajiNilikua na wasiwasi na barabara mkuu. Nikasema nisijekwama huko kilometa za kutosha kutoka town. Nilipenda sana nizunguke Mbamba Bay uko hadi Songea. Ila wasiwasi road.
Ili jengo sikua na info nalo kabisa nadhani icon maarufu sana Mtwara.
Shukrani sana MkuuHii wataalam watanisaidia. Ila ni vyema kuiangalia kwanza hali ya oil. Kama upo safi kiuchumi unaweza sogeza ata km kadhaa.
Uzuri JP wakifanya service wanabandika stika flani upande wa mlango wa dereva, so unaweza kucheki toka first day unaipata.
Ila mimi uwa navuta miezi ata 4-6 ndio nachange.
Jengo lile lilijengwa miaka ya 70's. Kabla ya bodi ya korosho. Likitumiwa na mamlaka ya korosho Tanzania.Kwanini hukwenda Masasi hadi Tunduru then akaanza kugeuza mdogomdogo..
Hivi hilo Jengo la bodi ya Korosho limejengwa mwaka gani maana naona halichoki miaka yote
Kitambo sana kumbe, Jengo bora sana wakilifanyia maboresho hata ya rangi litadamshi sanaJengo lile lilijengwa miaka ya 70's. Kabla ya bodi ya korosho. Likitumiwa na mamlaka ya korosho Tanzania.
Fanya oil change yaani badili oil na filter ya oil basi. Kwasababu hujui lini gari hio ilifanyiwa service na inawezekana ilikaa sana kabla kukufikia.Pia swali lingine Mkuu.
Kama Gari imetoka Japan this week, Kuna haja ya kubadili Oil kabla ya Safari mfano ya Kigoma?
Au oil inaweza badilishwa baada ya kufika huko?
Shukrani MkuuFanya oil change yaani badili oil na filter ya oil basi. Kwasababu hujui lini gari hio ilifanyiwa service na inawezekana ilikaa sana kabla kukufikia.
Hapo mbona limefanyiwa renovation ya kiaina. Si unaona siku hizi pana mwanga sana.Kitambo sana kumbe, Jengo bora sana wakilifanyia maboresho hata ya rangi litadamshi sana
Pia swali lingine Mkuu.
Kama Gari imetoka Japan this week, Kuna haja ya kubadili Oil kabla ya Safari mfano ya Kigoma?
Au oil inaweza badilishwa baada ya kufika huko?