Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

Kuna wimbo unatrend sasa hivi unasema..
Mapenzi yataniua Bora nitafute pesa nipate jishaua..Mwaka mpya naona umeanza na nasaha mbalimbali.Safi Sana.
 
Kuna wakati huwa najiuliza hivi ROBERT HERIEL anaishi vipi na mke wake?Nakosa majibu
Ndugu yangu asavali umejifikirisha.

Jee ana Mama? Mama ake au Mke ni Pisi kali?

Sasa kwa wengine wakuchukulia kijuu juu anayobandika humu ndani lazima utadhoofika kifikra kimila Kiutamaduni.

Inawezekana mke wake ni mwanaume???

Dhamira yake haswa ni nini?

Kuna mengi tu. I dare him. Kama kweli haya anayobandika humu yana miguu au Kichwa akabandike Facebook, Au Twitter au kokote kule Tuone kama atapata kura ya aina yeyote ile....Anabebwa sehemu huyu, inawezekana kabisa. Haijalishi misingi ya kuropoka chochote kile vitaleta Madhara au la. Hafai kwenye Jamii yeyote iliyosukwa kimaadili na Kitamaduni.
...au Labda akubalike huko huko alikotoka. Sio Afrika.
 
Basi wanaume wengi , walio vyema ki biolojia , wataishia tuuu KUJichua ili kujiridhisha kimwili yaaani ,,





Muhimu ni kuishi na mwanamke kwa akili na maarifa , na sio kuacha kuishi nao
 
Wala haenezi! Kawaida tu .Aliyoandika ni ukweli mchungu.Sio wote lakini asilimia kubwa wanawake wanawatumia wanaume kama big G utamu ukiisha tupa kule.

Mkuu hata sisi tunawatumia vibaya sana wanawake mkuu kaa utafakari tatzo unaegemea upande mmoja
 
Kuna ng'ombe moja nimeipiga x inaomba hela hyo imeingia timing zangu nilikuwa nimeitega ikajichanganya imebaki kulalamika tu maana sio uongo nilikuwa nampa hela tena nyingi tu ila haina shukran.
 
Shida ni kwamba, hauwezi kuwapuuzia. Na ndio wanafanya tutafute pesa Kwa nguvu na jitihada zote.

Mwanamke akikukataa unaitafuta pesa Kwa hasira zote kuweka heshima.
Wakati huo Sabuni hamna?
 
Kumbe ni wew uliyekuja dukani kwangu ukilalamika Tv za kichina hazina ubora ukataka nikuuzie kwa discount kumbe unataka kwenda kuhonga? Oyaa broo rudisha hiyo Tv dukan kwangu haraka, nitakurudishia pesa yako yote bila kukudai risiti...kulko kuhonga hiyo Tv bora urushe dukan, na pesa nikikupa mtumie ndugu yako huko kijijin anunue mbolea, achana na madem..rudisha kabla sijakuitia polis kwa jaribio la wizi.ahahahahahaha JOKE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
 
Kuna ng'ombe moja nimeipiga x inaomba hela hyo imeingia timing zangu nilikuwa nimeitega ikajichanganya imebaki kulalamika tu maana sio uongo nilikuwa nampa hela tena nyingi tu ila haina shukran.
Hao viumbe hawana huruma na pesa ya mwanaume
 
Mungu akubariki sana mtu wa Mungu, ujumbe mujarabu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Wacha inyeshe tuone panapovuja!
Uzuri kila mtu atakuwa analia akiwa kwake. Wapo wataotafuta kumwambia bwana Robert kwanini ulitudanganya, naye atawaambia "MANENO YANGU SIO SHERIA" 🤣🤣🤣

Niko paleeeee nacheza amapiano nikisubiri kuona jua likichomoza kaskazini na kuzama kusini!
 
Upuuzi mtupu. Nawe unapaswa kupuuziwa kwa vile u mpuuzi na upuuzi wako wa kujumlisha. Na mama yako naye apuuziwe siyo?
 
Kama hamuwajali au kuwahitaji akina mama akiwamo mama yako basi geuzaneni muone mtaishia wapi. Hili andiko halina akili. Ni ujinga na utopolo mtupu wenye wingi wa mjumuisho na uvivu wa kufikiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…