Ighombe
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 1,181
- 675
Hukatazwi kuwapiga mkia ila msing'ang'aniane.Watumie kama toilet paper kama wao wanavyotutumia!Wazungu mwanzo wa kupigana mikia wenyewe kwa wenyewe ilianzia hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukatazwi kuwapiga mkia ila msing'ang'aniane.Watumie kama toilet paper kama wao wanavyotutumia!Wazungu mwanzo wa kupigana mikia wenyewe kwa wenyewe ilianzia hapa
Hana Ukweli wowote.Jamaa ana ukweli Kwa mbaali lakini ukimsogelea kwa karibu anaeneza chuki
Ooh sawa kakaMkuu nimeqndika nahisi wanaotumia miwani hataona vzr!
Ndugu yangu asavali umejifikirisha.Kuna wakati huwa najiuliza hivi ROBERT HERIEL anaishi vipi na mke wake?Nakosa majibu
Wala haenezi! Kawaida tu .Aliyoandika ni ukweli mchungu.Sio wote lakini asilimia kubwa wanawake wanawatumia wanaume kama big G utamu ukiisha tupa kule.
Wakati huo Sabuni hamna?Shida ni kwamba, hauwezi kuwapuuzia. Na ndio wanafanya tutafute pesa Kwa nguvu na jitihada zote.
Mwanamke akikukataa unaitafuta pesa Kwa hasira zote kuweka heshima.
Kumbe ni wew uliyekuja dukani kwangu ukilalamika Tv za kichina hazina ubora ukataka nikuuzie kwa discount kumbe unataka kwenda kuhonga? Oyaa broo rudisha hiyo Tv dukan kwangu haraka, nitakurudishia pesa yako yote bila kukudai risiti...kulko kuhonga hiyo Tv bora urushe dukan, na pesa nikikupa mtumie ndugu yako huko kijijin anunue mbolea, achana na madem..rudisha kabla sijakuitia polis kwa jaribio la wizi.ahahahahahaha JOKE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..Daaa umenigutua usingizini kabisa. Kuna kadada kalikuwa kameshaniingiza king kabisa eti ili tudate nikanunie Kwanza Hisence nchi 42 na makochi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Wakati hata Binti kiziwi hajawahi niletea hizo pigo pamoja na kuwa ni a a first class women[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Hao viumbe hawana huruma na pesa ya mwanaumeKuna ng'ombe moja nimeipiga x inaomba hela hyo imeingia timing zangu nilikuwa nimeitega ikajichanganya imebaki kulalamika tu maana sio uongo nilikuwa nampa hela tena nyingi tu ila haina shukran.
Mungu akubariki sana mtu wa Mungu, ujumbe mujarabu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa!ROADMAP2023 KWA VIJANA: WAPUUZE WANAWAKE YAANI USIWAZINGATIE!
Anaandika Robert Heriel
Kuhani.
Hili ndio andiko ninalofungulia nalo Mwaka 2023. Ni Mahususi Kwa Vijana walio Chini ya miaka 40.
Hii ndio Roadmap yenu Vijana. Pitieni humohumo. Mkitoka mtajijua wenyewe.
Ninapenda kuwausia Vijana Kwa sababu wengi Zama hizi kuna mafunzo hamkuyapata Kutokana na sababu mbalimbali. Mojawapo kutokulelewa na Wazazi Wawili.
Elewa kuwa Wanawake hawatakuzingatia na watakupuuza kama huna lolote la maana.
Nataka nikuambie kuwa Wanawake ambao ndio Mama zetu, Dada zetu, shangazi zetu na wake zetu ndio viumbe ambavyo ni Materialists kuliko kiumbe chochote hapa Duniani.
Usifanye vitu kuwa- impress Wanawake. Yaani usitafute kupendwa na Wanawake. Elewa kuwa Wanawake hawanaga kitu inaitwa upendo wa kweli. Wanaupendo lakini sio Ile upendo halisi.
Kama hujaoa, kamwe usipoteze nguvu zako Ati kuhonga ili upendwe na Mwanamke.
Utakwama! Ni uzuzu na upumbavu kufanya vitu ili uwa-impress kina Dada.
Vijana wengi WA Zama hizi wanaumizwa na mapenzi Kwa sababu ya ujingaujinga. Eleweni kuwa Wanawake waliowengi wanatamaa(Materialists) utakufa siku sio zako.
Roadmap ya mwaka 2023 ni kuishi Maisha yako Kwa furaha. Bila kutaka kujipendekeza Kwa Watoto wakike.
Kadiri unavyokuwa huna habari nao hawa Wanawake ndivyo unavyokuwa bize na Maendeleo yako. Kadiri unavyojishughulisha nao ndivyo unavyopoteza Focus ya Maisha.
Wanawake wengi Kwa sehemu kubwa ni chombo cha starehe hata kama wapo wanaobisha lakini huo ndio ukweli wenyewe. Iwe ni Kwa wazungu au wachina. Ipo hivyo.
Ukitaka kufanikiwa na kuwa na Utulivu wa Akili na Maisha usiwaendekeze Wanawake. Usipende kuwasikiliza wanataka nini au wanataka uweje.
Usipende wakusifie, Wanawake hawanaga Tabia ya kusifia wao hupenda kusifiwa tuu, ukiona mwanamke anakusifia ujue kuna kitu anapata Kutoka Kwako.
Mwanamke hawezi kukusifia hivihivi.
Roadmap ya Mwaka huu ni kutokuwa mtumwa wa kuwatumikia Watu ambao ni Materialists, yaani bila Pesa huwezi kuishi Naye.
Mwanamke WA hivyo fukuza. Usipomfukuza ukiwa na nguvu watakufukuza wewe Kwa kusaidizana na watoto wake siku utakapokuwa Mzee usiye na nguvu.
Wanaume mliondoani, msiwaendekeze Wake zenu, mtakufa siku si zenu kisa ujinga. Anataka kwenda kwao kisa mambo yenu magumu, hakuna cha kumbembeleza mwambie Aende. Mpe msimamo kuwa ukiondoka kinaingia Chuma kingine. Akileta maneno ya kashfa mpuuze.
Sijakataza kuhonga, nimekataza MTU kuhonga ili ati apendwe. Huo ni uzuzu. Upendo haununuliwi.
Pesa zako hazikufanyi upendwe, ila zinakufanya uonekane mtumwa wa Wanawake, msukule, mgodi au shamba la Bibi.
Huwaga nashauri, kama Mwanamke anahitaji umpe Pesa ndio mahusiano ya-exist ni Bora ukanunua Makahaba ya bei za rejareja kwani utatumia siku ukilihitaji.
Lakini sio ujibebeshe zigo la misumari Kwa ujinga,
Nataka nikuambie kuwa Kabla hujamweka Mwanamke ndani unayemhonga ili uwe kwenye mahusiano naye, elewa kuwa sio kila Siku utafanya naye Mapenzi.
Ndani ya siku 30 tuu utakuwa ushamchoka, na katika hizo siku 30 ninauhakika hautafanya kila Siku.
Hivyo kuingia kwenye relationship na Mwanamke WA namna hiyo ni kujigeuza Msukule Mbele ya Kigagula.
Ooh! Sasa nahitaji MKE wakuoa ili tusaidiane Maisha. Hakuna aliyekukataza kuoa, Ola elewa kuwa Kuoa Mwanamke materialist(mwenye tamaa ya vitu kama Pesa/Mali, magari) huyo hamsaidizani Maisha huyo anakudidimiza.
Ooh! Sasa Nani atanipikia, naoa ili anipikie. Acha ujinga.
Hizo Pesa ulizompangia nyumba nzima au unayomlipia Kodi ilhali wewe bado unajitafuta ni Bora ununue Pressure Cooker ya Tsh 150,000/= au Majiko ya oven Yale yenye kupikia hapohapo.
Kisha nunua Mashine ya kufulia ya laki tano(Tsh 500,000/=) Nunua na Zile Mashine za kuwatishia nyumba ni laki tatu tu.
Huna haja ya kusema Nani atanifulia, kwani kazi za Mashine ni nini boya wewe. Ni kweli huwezi kutengeneza wala kubuni Mashine. Basi hata kununua zile za bei chee ushindwe?
Penda Kula, hiyo Pesa unayofanywa Msukule nazo na Wanawake watakaokupa Ukimwi na UTI ni Bora ununulie Nyama au pombe alafu Asubuhi umeweka Bill ya maziwa Lita moja. Fanya kazi Kula bata.
Mbona Vijana mnapesa hata kama ni ndogondogo lakini mnaweza Kula Maisha ni vile mnaendekeza upumbavu na uzuzu alafu mnataka Taikon niwachekee na kuwaambia Kwa upole. Mimi sipo hivyo, hata mnichukie au hao Wanawake Materialists wanachukie huwaga Mimi sio MTU wa kujali majitu mazuzu
Unataka Watoto wazuri, nenda Casino, nenda club chagua mtoto mkali mlipie siku tatu, kisha mkiachana endelea na Maisha mengine. Fanya Maisha yako.
Waza kujenga nchi, sio kuwaza Wanawake kama lijinga jinga.
Hakuna ujana mwingine zaidi ya huo ulionao, kijana mdogo miaka 30 alafu unateswa kwa upuuzi upuuzi!
Roadmap ya Mwaka huu ni Kupiga Pesa, Kula bata upendavyo, Maisha ni leo tuu.
Kumbuka; Wakati wewe unawazingatia wanawake, wao hawakuzingatii wewe isipokuwa vitu ilivyo navyo. AMKA!
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam.
Upuuzi mtupu. Nawe unapaswa kupuuziwa kwa vile u mpuuzi na upuuzi wako wa kujumlisha. Na mama yako naye apuuziwe siyo?ROADMAP2023 KWA VIJANA: WAPUUZE WANAWAKE YAANI USIWAZINGATIE!

Hata mama yako siyo?Mwanamke usimuhurumie hata kidogo
Kama hamuwajali au kuwahitaji akina mama akiwamo mama yako basi geuzaneni muone mtaishia wapi. Hili andiko halina akili. Ni ujinga na utopolo mtupu wenye wingi wa mjumuisho na uvivu wa kufikiri.Ushauri huo chukuenj Adam aliendeleza mwanamke akaanguka, Samsoni aliendekeza mwanamke akaanguka uhalisia haufi hata wewe bwana mdogo ukiendekeza wanawake utaanguka na ukianguka unaachwa kama kawaida, jijenge mwenyewe kama mnavoshauriwa, panga familia yako na mtu sahihi na usiwe mtumwa utaumia, mkisikia wanapigania haki sawa mnakenua meno huku inakula kwenu, utadaka stress then utakufa ghafla hakikisha unailinda amani yako hakuna atakaekupa furaha isipokua wewe mwenyewe, Taikon kamaliza kila kitu,