Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

Wewe jamaa ni mwanafalsafa mzuri mno. Ni kweli siyo Wachagga
 
yanapita sikio la kulia yanatokea sikio la kushoto akiwepo na wewe mleta mada
mwanamke tako akili tutatumia za kwangu(walisikika wanaume wa jf)
Mbona umekurupuka? Kabila gani wewe? Haifai kwa mwanamke kuwa mropokaji
 
Kwamba Robert Heriel ni Mzungu au? [emoji38][emoji38][emoji38] mbona muoga muoga weweee. We' wa mkoa gani?[emoji38]
 
Umeupiga mwingi sana.

Wewe Sina shaka, utakua Mwamba wa Kanda ya ziwa !!
 
binti kiziwi leo kazi unayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…