Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe jamaa ni mwanafalsafa mzuri mno. Ni kweli siyo WachaggaKuna kabila moja nalijua hapa TZ kanda ya kaskazini (Sio Wachaga lakini) .Ukioa hao hakuna rangi utaacha kuiona! Wanaanza kuwashawishi/kuwateka watoto tangu wadogo na wanawapa Sera kidogo kidogo ukiwa haupo .Mkifikia uzeeni huna watoto! Na utaachwa uteseke uzee wote! Hayo niliyaona kwa rafiki yangu.Watoto wanafanya kazi Ila simu nyingi kwa mama hawana hata habari na baba!
Mbona umekurupuka? Kabila gani wewe? Haifai kwa mwanamke kuwa mropokajiyanapita sikio la kulia yanatokea sikio la kushoto akiwepo na wewe mleta mada
mwanamke tako akili tutatumia za kwangu(walisikika wanaume wa jf)
Hajakuita hapa. Sisi wengine tunapenda hizo chuki zake. Kila mmoja ale anakopeleka mboga.Hana Ukweli wowote.
Ni Chuki tuu.
Hahahah huyu jamaa kumuelewa ni lazima uwe na akili kubwa kama yeyeKuna wakati huwa najiuliza hivi ROBERT HERIEL anaishi vipi na mke wake?Nakosa majibu
The same applies to males. Mwanaume ni kama maji halina ubishi.Sisi mademu wapenda pesa tunakwambia hiviii "Mwanamke ni kama maji tuu usipoyaoga utayachambia"... [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Kwamba Robert Heriel ni Mzungu au? [emoji38][emoji38][emoji38] mbona muoga muoga weweee. We' wa mkoa gani?[emoji38]Ndugu yangu asavali umejifikirisha.
Jee ana Mama? Mama ake au Mke ni Pisi kali?
Sasa kwa wengine wakuchukulia kijuu juu anayobandika humu ndani lazima utadhoofika kifikra kimila Kiutamaduni.
Inawezekana mke wake ni mwanaume???
Dhamira yake haswa ni nini?
Kuna mengi tu. I dare him. Kama kweli haya anayobandika humu yana miguu au Kichwa akabandike Facebook, Au Twitter au kokote kule Tuone kama atapata kura ya aina yeyote ile....Anabebwa sehemu huyu, inawezekana kabisa. Haijalishi misingi ya kuropoka chochote kile vitaleta Madhara au la. Hafai kwenye Jamii yeyote iliyosukwa kimaadili na Kitamaduni.
...au Labda akubalike huko huko alikotoka. Sio Afrika.
HahahahahahahaBeta males humu wamekuwa highly motivated sana kwa uzi huu.. wakishakuwa horny tu wanapoteza msimamo ..... !
Umeupiga mwingi sana.ROADMAP2023 KWA VIJANA: WAPUUZE WANAWAKE YAANI USIWAZINGATIE!
Anaandika Robert Heriel
Kuhani.
Hili ndio andiko ninalofungulia nalo Mwaka 2023. Ni Mahususi Kwa Vijana walio Chini ya miaka 40.
Hii ndio Roadmap yenu Vijana. Pitieni humohumo. Mkitoka mtajijua wenyewe.
Ninapenda kuwausia Vijana Kwa sababu wengi Zama hizi kuna mafunzo hamkuyapata Kutokana na sababu mbalimbali. Mojawapo kutokulelewa na Wazazi Wawili.
Elewa kuwa Wanawake hawatakuzingatia na watakupuuza kama huna lolote la maana.
Nataka nikuambie kuwa Wanawake ambao ndio Mama zetu, Dada zetu, shangazi zetu na wake zetu ndio viumbe ambavyo ni Materialists kuliko kiumbe chochote hapa Duniani.
Usifanye vitu kuwa- impress Wanawake. Yaani usitafute kupendwa na Wanawake. Elewa kuwa Wanawake hawanaga kitu inaitwa upendo wa kweli. Wanaupendo lakini sio Ile upendo halisi.
Kama hujaoa, kamwe usipoteze nguvu zako Ati kuhonga ili upendwe na Mwanamke.
Utakwama! Ni uzuzu na upumbavu kufanya vitu ili uwa-impress kina Dada.
Vijana wengi WA Zama hizi wanaumizwa na mapenzi Kwa sababu ya ujingaujinga. Eleweni kuwa Wanawake waliowengi wanatamaa(Materialists) utakufa siku sio zako.
Roadmap ya mwaka 2023 ni kuishi Maisha yako Kwa furaha. Bila kutaka kujipendekeza Kwa Watoto wakike.
Kadiri unavyokuwa huna habari nao hawa Wanawake ndivyo unavyokuwa bize na Maendeleo yako. Kadiri unavyojishughulisha nao ndivyo unavyopoteza Focus ya Maisha.
Wanawake wengi Kwa sehemu kubwa ni chombo cha starehe hata kama wapo wanaobisha lakini huo ndio ukweli wenyewe. Iwe ni Kwa wazungu au wachina. Ipo hivyo.
Ukitaka kufanikiwa na kuwa na Utulivu wa Akili na Maisha usiwaendekeze Wanawake. Usipende kuwasikiliza wanataka nini au wanataka uweje.
Usipende wakusifie, Wanawake hawanaga Tabia ya kusifia wao hupenda kusifiwa tuu, ukiona mwanamke anakusifia ujue kuna kitu anapata Kutoka Kwako.
Mwanamke hawezi kukusifia hivihivi.
Roadmap ya Mwaka huu ni kutokuwa mtumwa wa kuwatumikia Watu ambao ni Materialists, yaani bila Pesa huwezi kuishi Naye.
Mwanamke WA hivyo fukuza. Usipomfukuza ukiwa na nguvu watakufukuza wewe Kwa kusaidizana na watoto wake siku utakapokuwa Mzee usiye na nguvu.
Wanaume mliondoani, msiwaendekeze Wake zenu, mtakufa siku si zenu kisa ujinga. Anataka kwenda kwao kisa mambo yenu magumu, hakuna cha kumbembeleza mwambie Aende. Mpe msimamo kuwa ukiondoka kinaingia Chuma kingine. Akileta maneno ya kashfa mpuuze.
Sijakataza kuhonga, nimekataza MTU kuhonga ili ati apendwe. Huo ni uzuzu. Upendo haununuliwi.
Pesa zako hazikufanyi upendwe, ila zinakufanya uonekane mtumwa wa Wanawake, msukule, mgodi au shamba la Bibi.
Huwaga nashauri, kama Mwanamke anahitaji umpe Pesa ndio mahusiano ya-exist ni Bora ukanunua Makahaba ya bei za rejareja kwani utatumia siku ukilihitaji.
Lakini sio ujibebeshe zigo la misumari Kwa ujinga,
Nataka nikuambie kuwa Kabla hujamweka Mwanamke ndani unayemhonga ili uwe kwenye mahusiano naye, elewa kuwa sio kila Siku utafanya naye Mapenzi.
Ndani ya siku 30 tuu utakuwa ushamchoka, na katika hizo siku 30 ninauhakika hautafanya kila Siku.
Hivyo kuingia kwenye relationship na Mwanamke WA namna hiyo ni kujigeuza Msukule Mbele ya Kigagula.
Ooh! Sasa nahitaji MKE wakuoa ili tusaidiane Maisha. Hakuna aliyekukataza kuoa, Ola elewa kuwa Kuoa Mwanamke materialist(mwenye tamaa ya vitu kama Pesa/Mali, magari) huyo hamsaidizani Maisha huyo anakudidimiza.
Ooh! Sasa Nani atanipikia, naoa ili anipikie. Acha ujinga.
Hizo Pesa ulizompangia nyumba nzima au unayomlipia Kodi ilhali wewe bado unajitafuta ni Bora ununue Pressure Cooker ya Tsh 150,000/= au Majiko ya oven Yale yenye kupikia hapohapo.
Kisha nunua Mashine ya kufulia ya laki tano(Tsh 500,000/=) Nunua na Zile Mashine za kuwatishia nyumba ni laki tatu tu.
Huna haja ya kusema Nani atanifulia, kwani kazi za Mashine ni nini boya wewe. Ni kweli huwezi kutengeneza wala kubuni Mashine. Basi hata kununua zile za bei chee ushindwe?
Penda Kula, hiyo Pesa unayofanywa Msukule nazo na Wanawake watakaokupa Ukimwi na UTI ni Bora ununulie Nyama au pombe alafu Asubuhi umeweka Bill ya maziwa Lita moja. Fanya kazi Kula bata.
Mbona Vijana mnapesa hata kama ni ndogondogo lakini mnaweza Kula Maisha ni vile mnaendekeza upumbavu na uzuzu alafu mnataka Taikon niwachekee na kuwaambia Kwa upole. Mimi sipo hivyo, hata mnichukie au hao Wanawake Materialists wanachukie huwaga Mimi sio MTU wa kujali majitu mazuzu
Unataka Watoto wazuri, nenda Casino, nenda club chagua mtoto mkali mlipie siku tatu, kisha mkiachana endelea na Maisha mengine. Fanya Maisha yako.
Waza kujenga nchi, sio kuwaza Wanawake kama lijinga jinga.
Hakuna ujana mwingine zaidi ya huo ulionao, kijana mdogo miaka 30 alafu unateswa kwa upuuzi upuuzi!
Roadmap ya Mwaka huu ni Kupiga Pesa, Kula bata upendavyo, Maisha ni leo tuu.
Kumbuka; Wakati wewe unawazingatia wanawake, wao hawakuzingatii wewe isipokuwa vitu ilivyo navyo. AMKA!
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam.
Hujaitwa. Toka tuachie andiko letuKama hamuwajali au kuwahitaji akina mama akiwamo mama yako basi geuzaneni muone mtaishia wapi. Hili andiko halina akili. Ni ujinga na utopolo mtupu wenye wingi wa mjumuisho na uvivu wa kufikiri.
Daah hayo ni makasiriko makubwa,,,, ina maana unaish na marehemu geto au
Unajistukia tu[emoji38]Mnatukanda sana jamani [emoji16]
binti kiziwi leo kazi unayoDaaa umenigutua usingizini kabisa. Kuna kadada kalikuwa kameshaniingiza king kabisa eti ili tudate nikanunie Kwanza Hisence nchi 42 na makochi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
Wakati hata Binti kiziwi hajawahi niletea hizo pigo pamoja na kuwa ni a a first class women😊😊😊😊😊
kati yangu mimi na wewe nani mkurupukaji,complete imbecile.Mbona umekurupuka? Kabila gani wewe? Haifai kwa mwanamke kuwa mropokaji
Full imbecilekati yangu mimi na wewe nani mkurupukaji,complete imbecile.